Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Na wewe ,kumbe hukumwelewa LISu ,kwamba Kuna clip ilisikika kwamba sisi ndo tumetumwa na serikali tufanye hayo
Wewe chambua mambo wachawi tu.
Huku kwenye Sheria achana napo. Unapuyanga!
Nikikumbuka ya kina nape , february na abdi kina enzi za baba jesy dah! Kila mmoja anadukuliwa na gavoo kwa wakati wake.
Serikali ina Kesi ya Kujibu
Mashtaka dhidi ya Serikali
Katika mazingira ya tukio la kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, maswali mengi yanajitokeza kuhusu ikiwa serikali inayo kesi ya kujibu. Hii inahusisha uchunguzi wa jinsi taarifa zilizokusanywa zilivyotumika, na kama serikali ilihusika katika kupanga au kuwezesha tukio hilo. Kuwepo kwa uhusiano kati ya taarifa za mawasiliano na vitendo vya ukandamizaji wa kisiasa kunaweza kuleta wasiwasi kuhusu usalama wa raia na uhuru wa watu wenye mawazo tofauti.
Majukumu ya Serikali
Serikali ina wajibu wa kulinda raia wake, kuhakikisha usalama na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, wajibu huu unakuja na dhamira ya kufuata sheria na taratibu zinazotakiwa. Ikiwa itabainika kwamba serikali ilihusika katika uhalifu wa aina yoyote, kama vile kupanga au kuruhusu tukio la vurugu dhidi ya Lissu, basi itakuwa na majukumu ya kujibu mashtaka hayo. Hii inamaanisha kwamba kuna haja ya uchunguzi huru na wa kina ili kubaini ukweli na kuwajibisha wahusika, kuhakikisha haki inatendeka.
Kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji katika masuala kama haya kunaweza kuathiri imani ya umma kwa serikali, na pia kuleta taharuki miongoni mwa wapinzani wa kisiasa. Hivyo, ni muhimu kwamba hatua zinazofanywa na serikali katika kukabiliana na mashtaka haya zizingatie sheria na haki za binadamu, ili kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Katika muktadha huu, mashtaka dhidi ya serikali yanaweza kuwa na athari kubwa si tu kwa Lissu bali pia kwa mfumo wa kisiasa nchini Tanzania. Hata hivyo, ni lazima kukumbuka kuwa haki ya mtu binafsi inapaswa kuheshimiwa na kulindwa, na serikali inapaswa kuwa tayari kujibu maswali kuhusu majukumu yake katika ulinzi wa raia.
Kwa hiyo, kesi hii ni muhimu katika kuelewa uhusiano wa serikali na raia, na inatoa fursa ya kuangazia jinsi masuala ya usalama na haki za binadamu yanavyoweza kuunganishwa katika muktadha wa kisiasa.
Kuna controls kwenye kampuni, mtu mmoja hawezi kufanya kituHapo ni sawa umpe gari dereva aendeshe akiwa kalewa mwajiri anahusika vipi ikitokea ajali imesababishwa na dereva mlevi
Big....Kwamba NI kick tuu
Big....
NDiO
Kama hutaki kufuatiliwa unazima location, na ikitokea umezima location halafu bado wanatoa Taarifa za location yako....
Labda unayo kesi??
Zaidi ya hapo ni kiki tu hizi.
Nani asiyejua Kampuni za Simu zina taarifa zako nyingi tu?
Nani asiyejua Serikali yeyote ile Duniani wakikohoa tu, Taarifa zako wanazo?
Muulizeni hata huyu MMello. Akipewa tu barua kutoka mahakamani, anacheua tu.
Mbingu gani ?Yupo mbinguni?
Tigo unayo?Hapo Hakuna namna Maana kama Hawana vithibitisho waô kama Kampuni kûbwa watajishushia heshima kuwa wanaendesha mambo Yao kiholela, pia itaondoa uaminifu Kwa wateja
Sawa, kwa hiyo unamfariji Samia kuwa Taswira yake kimataifa ndo sasa itaimarika zaidi au siyo? nyau kasoro mkia😂Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.
Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.
Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.
Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.
Haya
Changamoto husababishwa na binadamu. Binadamu anaweza kukusababishia changamoto kwa makusudi ama bila kujua hata wewe mwenyewe waweza jisababishia changamote kwa upumbavu, uzembe, ujinga, ushamba, na uvivu wa kufikiri ama kutendaKwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.
Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.
Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.
Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.
Haya
Mkuu Kamundu , Mtibeli Robert Heriel Mtibeli is very right, serikali ina mamlaka ya kuingilia mawasiliano ya mtu yoyote for security reasons, ila lazima waandike baruaKampuni ya simu isubiri barua! tuacheni ujinga wakati mwingine. Watu wana voice note, record za simu, text wewe unaongelea barua!
Sawa, kwa hiyo unamfariji Samia kuwa Taswira yake kimataifa ndo sasa itaimarika zaidi au siyo? nyau kasoro mkia😂
Mkuu Kamundu , Mtibeli Robert Heriel Mtibeli is very right, serikali ina mamlaka ya kuingilia mawasiliano ya mtu yoyote for security reasons, ila lazima waandike barua
P
Magufuli hawezi kuwa Mbinguni !Yupo mahali anapostahiliHaya mambo ya JPM huko mbinguni yatahitaji session maalum mfanano wa criminal session za duniani, na zinaweza kuchukua miaka kuisha
Na ndo iko hivyo,ni mfanyakazi mmoja tu ndo alihusikaInawezekana hata wasihusike, ikaishia kwa mfanyakazi tu.
Tumefundishwa tusihumu tusije tukahukumiwa, Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!Magufuli hawezi kuwa Mbinguni !Yupo mahali anapostahili
Kama hakuna barua hapo, serikali itasema hao walioomba hizo taarifa haikuwa serikali bali watu binafsi