Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

Hujui lolote.
 
Ghafla nimejikuta nampenda Lissu. Ni watanzania wachache sana wana akili na uwezo wa kumuelewa. Hawawezi kumuelewa lakini kwa akili zao ndogo wamejiaminisha wanamuelewa. Miongoni mwa waliojiaminisha hivyo wapo hadi maprofesa na madaktari wanaomuona kama mkurupukaji.. Hatari sana...kweli akili kubwa ni tunu.

Tik...tak...tik...tak...tik...tak...
 

Kumuelewa Mtu NI kipaji
 
Hiyo barua ipo mahakamani London.

Imetajwa kwenye appeal ya kwanza ambayo TIGO walishindwa kabla ya kukata rufaa mahakama kuu ya rufaa.

Subirini na yataibuka mengi.
Is it genuine?! Au Wahuni tu waliichoronga kisha wakafoji signature ambayo hata Tigo wenyewe huenda hawajui ni ya nani, na wao waka-act upon that letter?!
 
Hata kama njia rasmi ilitumika.. wanaweza wakapindisha wakadai nyaraka ni feki
 
The tigo watabeba zigo lao, next time wajifunze
Hata tiGO under new supervision hawana kesi hapo!
-Utanunua kampuni na madeni kama yapo lakini siyo lawama, lawama ni poor service kwa kampuni kwa wakati wa usimamizi / lawama za management kwa wakati husika!
 
Sidhani kama upo sahihi kuhusiana na suala hili, hii ni kutokana na Mazingira halisi ya kiutawala yaliyopo kwenye nchi hii pamoja na unyeti wa suala lenyewe.

Aidha, Executive Orders or Assassination Orders kwenye nchi nyingi Sana Kama siyo zote kabisa zenye tawala ambazo siyo za kidemokrasia au nchi ambazo hakuna Rule of law, huwa haziandikwi mahali popote pale, na daima watoaji wa hizo orders huwa wanawaeleza tu kwa mdomo wale watekelezaji wa hizo orders.
Therefore, it is completely impossible to get any Documentary or electronic Evidences.
 
hakuna ushahidi wowote, hilo zigo kadondoshewa tigo atalitafuna peke yake serikali imekaa paleee inawaangalia tu. na nina uhakika hapatakuwa na barua. ndio wajifunze sasa.
 

Aksante kwa Uzi, naomba usome maswali yangu vizuri.

1. Nini kinakutia shaka kuwa kuvujishwa kwa taarifa za za lissu hakufanyika kupitia njia rasmi za barua au e mail za kuomba toka Serikalini??

2. Nini kinakufanya uhisi ni genge la watu wenye maslahi toka Serikalini liliomba taarifa za lissu???? badala ya serikali yenyewe.

3.Ni Nini kinakufanya kufikiri kuwa TIGO ni WAJINGA wakubali kutoa habari za client wao kwa serikali bila taratibu na miiko ya Kazi??

Tuanzie hapo naomba unijibu maswali haya.

Shukrani.🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…