Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Mwl Jimmy katajwa kma sababu ya mwanafunz kutoroka shule kwenda kwa muuza mkaa?? Bado siamini, dogo anatafuta huruma kupitia kwa mwalimu
 
Fact
 
Mwalimu Jimmy hana tatizo...

Huyo Esther ni wale "Difficult Students", na hii haikuwa mara yake ya kwanza kutoroka shule..

Hapa wameungana wazazi na mtoto kuichafua shule na mwalimu kwa sababu wanajua hawezi kurudi pale tena.
Tatizo credibility ya Esther ndogo sana kutokana na historia yake.Ni mwanafunzi mtukutu(kaingia na kibomu,ame dare kunyoa kiduku shule strict,yaani ni yule mwanafunzi anayeenjoy kuwajaribu walimu/ kusumbua walimu/ hana nidhamu!!)
Maswali ninayojiuliza:
1.Kama ni mwanafunzi mzuri ilikuwaje yuko bwenini muda wa kuwa madarasani!(eti alichelewa kwenda kuchukua chakula sijui...kwann awe nyuma ya ratiba ya shule!)
2. Tukio la kudisappear disapper na baadaye kutoroka lilitokea baada ya kukutwa na kibomu kwenye mtihani(kwa mujibu wa maelezo ya wiki zilee),mwalimu Jimmy anaingiaje hapo?
3.Iweje isemwe aliokotwa na muuza mkaa.Mbona muuza mkaa baada ya kumuokota mtu hakumpeleka polisi au hata kwa viongozi wa kijiji au mtaa au kitongoji?Na kama binti alitoroka ili kujiokoa na unyanyasaji wa mwl Jimmy au shule kwa ujumla kwanini hakwenda nyumbani kwao au hata kwa ndugu ikiwa wazazi ni wakali?Si alikuwa anaokoa maisha/ usalama wake?sasa kwanini asiende sehemu sahihi baada ya ku escape shule? If at all!!
4 Kwa kawaida mashuleni na hasa boarding walimu wa nidhamu huchukiwa sana( ni utoto tu lakini ukikua unagundua walimu wale walikuwa na mchango sana kutufanya tuwe bora), na kweli wengi ni wafuatiliaji.Na kwa za tabia Esther tulizoambiwa watz,ni wazi kwa vyovyote alikuwa subject wa mwalimu wa nidhamu mara kwa mara.Hivyo isije ikawa anatumia mwanya huu kujikosha kwa kumuangushia msala mwalimu wa nidhamu.
5.Ile sentensi ya barua ya Esther kuwa sijui mwl jimmy alimfanya awe na maisha magumu shule iangaliwe kwa upana.Huenda maisha magumu kwa huyu binti ilikuwa ni kule kufuatiliwa kinidhamu.
Potentially haka kabinti ni manipulative.Suala hili litazamwe vizuri wanajamii.
 
Vipimo vya hospitali vinasemaje?
Ubaya vinaweza kutoa majibu kwmba dogo ameingiliwa ila tatzo kuu litakuja ni nani uyo alimuingilia kimwili?
Labda dogo awe amepata ujauzito kwenye ayo mapambano ndo tutajua kati ya muuza mkaa na mwl.Jimmy nan mtuhumiwa kwa msaada wa kupima DNA test
Tofauti na apo mwl jimmy na baba Jose wapo huru wavute glass [emoji1635] dogo anaongea pumba
 
Kaka wewe ni mwalimu?? Shule zote zina matron kwa mabweni ya watto wa kike na mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kwa wasichana hata iweje
 
Kaka wewe ni mwalimu?? Shule zote zina matron kwa mabweni ya watto wa kike na mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kwa wasichana hata iweje
Sasa unauliza swali au majibu?
 
We baba esther nn???
Nasimama kama mwalimu, mzazi na mlezi pia.
 
Wamekutana malayer kwa malayer.
Huyu kainama huyu kachungulia huyu kapanua imoooooooo.
 
We baba esther nn???
Nasimama kama mwalimu, mzazi na mlezi pia.
Kwamba unaunga mkono katoto kakiwa kamalaya kabakwe tu hakuna namna ety?

Simama kama mzazi hawa watoto wanahitaji kulindwa hata kama ni Malaya! Wakikaidi wafukuzwe warudishwe kwetu wazazi!
Huyu mtoto hata kama ni kahaba wa kutupwa ukisimama kama mzazi unajiuliza mwalimu tabia yake haifai kabisa!
Anatumia mshahara kuwalaghai watoto na vitisho!

Kama mzazi inauma sana hawa watoto wanahitaji msaada sana kuwajenga, waliopewa dhamana hawataki hata kidogo kuhofia kuwa chanzo cha tatizo
 
Mwalimu Jimmy hana kosa kwa sababu hilo litoto lilimtega ikabidi ale kimasihara halafu hilo litoto ni lizuri hata ningekua mimi ningelitomba

Nasimama kama mpenda mbususu
 
Kwa uz
Kwa uzoefu wa shule zetu sometimes walimu wa kiume wanafika kwenye mabweni ya kike hasa kama kuna special operation za kukimbiza watu etc au mfano mwl wa zamu hiyo wiki akiwa anahangaika kutimiza wajibu wake anaweza fika mabwenini kuwafurumusha.(nilikaa boarding miaka ya 90s na pia mimi sio mwalimu)
 
Binti anatoroka shule, aenda kukalia mti mwezi mzima, wazazi wanajua tabia za mtoto. Leo zigo ashushiwa mwalimu, kisa ni mwalimu mnoko mwenye tamaa ya kunyoosha nidhamu za wanafunzi. Tuwahurumie walimu. Na nyinyi walimu achaneni na matoto ya watu, kizazi Cha ngono na kutiana hiki, wazazi wanapenda tabia za matoto yao
 
Bro umeshinda, mwl jimmy afukuzwe kazi na sio kuhamishwa
 
Aloo kweli
 
Imefikia siku hizo walimu wengi wamrwageuza watoto vimada wao!

Shule nyingi tu watoto wanagombania mwalimu!
Serikali ikipitisha kura ya siri walimu wengi watatajwa kula wanafunzi!

Nachukia sana hii tabia

Nasimama kama mzazi
 
Bro umeshinda, mwl jimmy afukuzwe kazi na sio kuhamishwa
Apelekwe boys huko, sasa hatoshi kubaki kwenye watoto wa kike huyu hawezi tena kuwa na faida ashakuwa anawadindia watoto waliokwrnye balehe wabaohitaji msaada wa haki ya juu kuhusu makuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…