MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 500
- 357
Mwl Jimmy katajwa kma sababu ya mwanafunz kutoroka shule kwenda kwa muuza mkaa?? Bado siamini, dogo anatafuta huruma kupitia kwa mwalimuHili swala ni 'delicate' sana kuweza kuchukua upande wa mmoja baina ya mwanafunzi na teacher.
Credibility ya binti inatia shaka kidogo kutokana na kukutwa kawekwa kimada na mtu ila kutajwa kwa Mwl. Jimmy napo kunaleta shaka hasa ya kwanini iwe ni yeye tu na si mwalimu mwingine yeyote.