Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Hili swala ni 'delicate' sana kuweza kuchukua upande wa mmoja baina ya mwanafunzi na teacher.

Credibility ya binti inatia shaka kidogo kutokana na kukutwa kawekwa kimada na mtu ila kutajwa kwa Mwl. Jimmy napo kunaleta shaka hasa ya kwanini iwe ni yeye tu na si mwalimu mwingine yeyote.
Mwl Jimmy katajwa kma sababu ya mwanafunz kutoroka shule kwenda kwa muuza mkaa?? Bado siamini, dogo anatafuta huruma kupitia kwa mwalimu
 
Hapa mwl anaenda kuwa VICTIM na hii Kwa sababu ni yeye ni mwalimu tu . Hio kazi Kila tabu utasukumiwa wewe hawatakupa raha kidogo.

Usikute napo kamezeshwa script.

Yule Binti anaonekana tu ni kashenzi kwa tabia.

Muda wote kwanini hakushtaki kwa uongozi wa shule.!?

Unabakwa halafu unakaa kimya miezi inapita.

Kwa ushahidi utathibitisha mwalimu jimnmy alimbaka huyu Binti akitoka kulalwa na muuza mkaa.

Walimu Wana Hali ngumu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Fact
 
Mwalimu Jimmy hana tatizo...

Huyo Esther ni wale "Difficult Students", na hii haikuwa mara yake ya kwanza kutoroka shule..

Hapa wameungana wazazi na mtoto kuichafua shule na mwalimu kwa sababu wanajua hawezi kurudi pale tena.
Tatizo credibility ya Esther ndogo sana kutokana na historia yake.Ni mwanafunzi mtukutu(kaingia na kibomu,ame dare kunyoa kiduku shule strict,yaani ni yule mwanafunzi anayeenjoy kuwajaribu walimu/ kusumbua walimu/ hana nidhamu!!)
Maswali ninayojiuliza:
1.Kama ni mwanafunzi mzuri ilikuwaje yuko bwenini muda wa kuwa madarasani!(eti alichelewa kwenda kuchukua chakula sijui...kwann awe nyuma ya ratiba ya shule!)
2. Tukio la kudisappear disapper na baadaye kutoroka lilitokea baada ya kukutwa na kibomu kwenye mtihani(kwa mujibu wa maelezo ya wiki zilee),mwalimu Jimmy anaingiaje hapo?
3.Iweje isemwe aliokotwa na muuza mkaa.Mbona muuza mkaa baada ya kumuokota mtu hakumpeleka polisi au hata kwa viongozi wa kijiji au mtaa au kitongoji?Na kama binti alitoroka ili kujiokoa na unyanyasaji wa mwl Jimmy au shule kwa ujumla kwanini hakwenda nyumbani kwao au hata kwa ndugu ikiwa wazazi ni wakali?Si alikuwa anaokoa maisha/ usalama wake?sasa kwanini asiende sehemu sahihi baada ya ku escape shule? If at all!!
4 Kwa kawaida mashuleni na hasa boarding walimu wa nidhamu huchukiwa sana( ni utoto tu lakini ukikua unagundua walimu wale walikuwa na mchango sana kutufanya tuwe bora), na kweli wengi ni wafuatiliaji.Na kwa za tabia Esther tulizoambiwa watz,ni wazi kwa vyovyote alikuwa subject wa mwalimu wa nidhamu mara kwa mara.Hivyo isije ikawa anatumia mwanya huu kujikosha kwa kumuangushia msala mwalimu wa nidhamu.
5.Ile sentensi ya barua ya Esther kuwa sijui mwl jimmy alimfanya awe na maisha magumu shule iangaliwe kwa upana.Huenda maisha magumu kwa huyu binti ilikuwa ni kule kufuatiliwa kinidhamu.
Potentially haka kabinti ni manipulative.Suala hili litazamwe vizuri wanajamii.
 
Vipimo vya hospitali vinasemaje?
Ubaya vinaweza kutoa majibu kwmba dogo ameingiliwa ila tatzo kuu litakuja ni nani uyo alimuingilia kimwili?
Labda dogo awe amepata ujauzito kwenye ayo mapambano ndo tutajua kati ya muuza mkaa na mwl.Jimmy nan mtuhumiwa kwa msaada wa kupima DNA test
Tofauti na apo mwl jimmy na baba Jose wapo huru wavute glass [emoji1635] dogo anaongea pumba
 
Yule binti hakuwa bikira! Hivyo kubakwa kwake kuna mazingira ya kingono! Ni kama mkeo akibakwa na mtu alokuwa anamtongoza lazima ajishauri sana kufikia uamuzi wa kusema au kunyamaza!
Hivyo tunapomjadili huyu binti tujadili mazingira tabia yake kama ni Malaya ni udhaifu wa kibinadamu!
Tujadili waliostahili kumlinda je walitimiza wajibu?

Huyu binti hata kama ni Malaya kuna sehemu kakosewa kisaikolojia!

Ukiwa kama mzazi unaweza kuelewa maumivu ya mtoto!
Hata kama ni Malaya lakini hastahili kufanyiwa uzalilishaji wa kingono!

Nasimama kama mzazi
Kaka wewe ni mwalimu?? Shule zote zina matron kwa mabweni ya watto wa kike na mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kwa wasichana hata iweje
 
Kaka wewe ni mwalimu?? Shule zote zina matron kwa mabweni ya watto wa kike na mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kwa wasichana hata iweje
Sasa unauliza swali au majibu?
 
Aliyemnyandua ni mwendelezo tu! Lakini ni bora huyo layman asiyejua misingi ya wanafunzi ...labda umbo la binti alimuona mtu mzima akaona ampe hifadhi, ukarimu uliozaa marupurupu ya ngono!
Ukatili wa muuza mkaa una afadhali kidogo vile mwanafunzi hakuwa na yunifom hivyo alionekana kama wanawake wengine tu!

Tatizo lipo kwa mwalimu mwenye dhamana ya kulinda na kusaidia palipoharibika yeye kaamua kuwa chanzo cha uharibifu! Huyu mwalimu hafai hata kama kasingiziwa lakini hafai

Nasimama kama mzazi
We baba esther nn???
Nasimama kama mwalimu, mzazi na mlezi pia.
 
Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!

Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha wanafunzi!
Binti mwanafunzi kwakuwa alikuwa katoka kuoga akiwa na kanga alikabwa na mwl Jimmy akabakwa!
Baada ya hapo binti akaamua kutorokea mtaani hadi pale alipookotwa na muuza mkaa!

Ukiangalia kwa inje huyu binti unaweza kumuona ni anatabia za kimalaya Malaya huenda alimtega tega sana mwl Jimmy hata kumuahidi penzi lakini muda ulikuwa bado (playing around) yaan kama hataki nataka hadi pale mwl Jimmy akaamua kujichukulia ngono mkonononi! (Kama kweli)

Upande mwingine wa shilingi hata kama binti ni Malaya lakini ifike mahali wanaopewa dhamana hawastahili kuwa sehemu ya uharibifu!

1. Hata kama binti anadanganya je mwalimu Jimmy alifuata nini bwenini la wasichana wakati huwa kuna matron?
2. Hata kama binti anadanganya kwanini mwl atajwe tajwe?
3. Mwl Jimmy naye hatufai kabisa katika safari ya elimu ingawa kabinti kana umalaya lakini siyo sababu ya mwalimu kukiuka miiko ya ualimu
4. Yule binti tujiulize kwanini hajakwenda kwa mwalimu mkuu? Jibu ni jepesi tu HOFU, AIBU na kuhisi kutosikilizwa au kutopewa nafasi ya kusikilizwa huenda kulimfanya ajione hawezi kupata msaada!
5. Kwanini hakwenda kwa wazazi? Jibu ni lilelile hata wazazi wanajua tabia za kimalaya huenda mtoto aliona nako siyo pa kukimbilia sana pengine walimu walishawaambia wazazi mtoto mkaidi! N.k

Hivyo huyu binti pamoja na matatizo yake lakini haimuachi mwl Jimmy salama!

Huyo mwalimu Jimmy hafai kuitwa mwalimu hata kama wanafunzi ni Malaya!

Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo basi dakitali aone mama ananyege kumbe chango la uzazi tu
Wamekutana malayer kwa malayer.
Huyu kainama huyu kachungulia huyu kapanua imoooooooo.
 
We baba esther nn???
Nasimama kama mwalimu, mzazi na mlezi pia.
Kwamba unaunga mkono katoto kakiwa kamalaya kabakwe tu hakuna namna ety?

Simama kama mzazi hawa watoto wanahitaji kulindwa hata kama ni Malaya! Wakikaidi wafukuzwe warudishwe kwetu wazazi!
Huyu mtoto hata kama ni kahaba wa kutupwa ukisimama kama mzazi unajiuliza mwalimu tabia yake haifai kabisa!
Anatumia mshahara kuwalaghai watoto na vitisho!

Kama mzazi inauma sana hawa watoto wanahitaji msaada sana kuwajenga, waliopewa dhamana hawataki hata kidogo kuhofia kuwa chanzo cha tatizo
 
Hakuna ushahidi wa kumfunga mwalimu Jimmy! Pia hakuna ushahidi wa moja kwa moja kumfunga muuza mkaa Bali kuna tuhuma za watu hao kutokuwajibika kama wazazi!
Huyo binti anaumri wa miaka zaidi ya 18 muuza mkaa kumpa hifadhi hakudhibitishi moja kwa moja walijamiiana! Hivyo muuza mkaa atatuhumiwa kwa kosa la kuishi na mtu asiye ndugu yake pasipo kutoa taarifa polisi, mjumbe au wazazi ( kosa la muuza mkaa ni kushiriki katika utoroshaji ) kosa lina dhamana!
Mwalimu Jimmy pia hakuna ushahidi wa kumkamata lakini kwa tuhuma hizo siyo za afya kwa watoto waliobakia pale! Hivyo mwalimu Jimmy aondolewe haraka, hata uongozi wa shule akiwemo mwl mkuu unastahili kubadilishwa!!.
Hakuna miiko ya mwalimu wa kiume kuingia mabweni ya wanaschana!

Nasimama kama mzazi
Mwalimu Jimmy hana kosa kwa sababu hilo litoto lilimtega ikabidi ale kimasihara halafu hilo litoto ni lizuri hata ningekua mimi ningelitomba

Nasimama kama mpenda mbususu
 
Kwa uz
Ndiyo maana nikasema hata kama binti ni Malaya lakini mwalimu Jimmy hatufai kwenye malezi ya watoto! Nasimama kama mzazi!

Yaani ni sawa na mharifu aseme alikuwa mikononi mwa polisi lakini polisi mmoja alimpiga sana ! Halafu watu mseme huyo alokamatwa hana haki!

Natamani watu muelewe haki na wajibu pasipo kuangalia aliyefanyiwa ni Malaya au bikira!
Hakuna ushahidi wa kumfunga mwalimu Jimmy lakini hafai kuendelea kulea watoto! Ahamishiwe shule ya wavulana tu! Hafafai kubakishwa hapo hata kama hakuna ushahidi lakini hafai
Kwa uzoefu wa shule zetu sometimes walimu wa kiume wanafika kwenye mabweni ya kike hasa kama kuna special operation za kukimbiza watu etc au mfano mwl wa zamu hiyo wiki akiwa anahangaika kutimiza wajibu wake anaweza fika mabwenini kuwafurumusha.(nilikaa boarding miaka ya 90s na pia mimi sio mwalimu)
 
Binti anatoroka shule, aenda kukalia mti mwezi mzima, wazazi wanajua tabia za mtoto. Leo zigo ashushiwa mwalimu, kisa ni mwalimu mnoko mwenye tamaa ya kunyoosha nidhamu za wanafunzi. Tuwahurumie walimu. Na nyinyi walimu achaneni na matoto ya watu, kizazi Cha ngono na kutiana hiki, wazazi wanapenda tabia za matoto yao
 
Kwamba unaunga mkono katoto kakiwa kamalaya kabakwe tu hakuna namna ety?

Simama kama mzazi hawa watoto wanahitaji kulindwa hata kama ni Malaya! Wakikaidi wafukuzwe warudishwe kwetu wazazi!
Huyu mtoto hata kama ni kahaba wa kutupwa ukisimama kama mzazi unajiuliza mwalimu tabia yake haifai kabisa!
Anatumia mshahara kuwalaghai watoto na vitisho!

Kama mzazi inauma sana hawa watoto wanahitaji msaada sana kuwajenga, waliopewa dhamana hawataki hata kidogo kuhofia kuwa chanzo cha tatizo
Bro umeshinda, mwl jimmy afukuzwe kazi na sio kuhamishwa
 
Binti anatoroka shule, aenda kukalia mti mwezi mzima, wazazi wanajua tabia za mtoto. Leo zigo ashushiwa mwalimu, kisa ni mwalimu mnoko mwenye tamaa ya kunyoosha nidhamu za wanafunzi. Tuwahurumie walimu. Na nyinyi walimu achaneni na matoto ya watu, kizazi Cha ngono na kutiana hiki, wazazi wanapenda tabia za matoto yao
Aloo kweli
 
Binti anatoroka shule, aenda kukalia mti mwezi mzima, wazazi wanajua tabia za mtoto. Leo zigo ashushiwa mwalimu, kisa ni mwalimu mnoko mwenye tamaa ya kunyoosha nidhamu za wanafunzi. Tuwahurumie walimu. Na nyinyi walimu achaneni na matoto ya watu, kizazi Cha ngono na kutiana hiki, wazazi wanapenda tabia za matoto yao
Imefikia siku hizo walimu wengi wamrwageuza watoto vimada wao!

Shule nyingi tu watoto wanagombania mwalimu!
Serikali ikipitisha kura ya siri walimu wengi watatajwa kula wanafunzi!

Nachukia sana hii tabia

Nasimama kama mzazi
 
Bro umeshinda, mwl jimmy afukuzwe kazi na sio kuhamishwa
Apelekwe boys huko, sasa hatoshi kubaki kwenye watoto wa kike huyu hawezi tena kuwa na faida ashakuwa anawadindia watoto waliokwrnye balehe wabaohitaji msaada wa haki ya juu kuhusu makuzi
 
Back
Top Bottom