Wangemwita ile siku ametajwa waondoe huu ukakasiyani hapo watadeal na ester tu huyo mwalimu watamsahau,, ni kweli wanafunz hawaaminik lkn kwann mwl.jimmy? ifike pahali haki ya kusikilizwa iwepo ata kam mwl ni mkubwa kuliko mwanafunz but wote Wana haki sawa.
Mpaka sasa wanaozungumza ni Esther na wazazi wake tu. Utasemaje hapati haki ya kusikilizwa?!yani hapo watadeal na ester tu huyo mwalimu watamsahau,, ni kweli wanafunz hawaaminik lkn kwann mwl.jimmy? ifike pahali haki ya kusikilizwa iwepo ata kam mwl ni mkubwa kuliko mwanafunz but wote Wana haki sawa.
Umekosea sana kumtukania mama yake kuwa ni malaya, je akikuambia na wewe mama yako ni malaya na ni mhusika?Kama umala hata mama yako ni mhusika.
Tujadili ubakaji wa Jimmy na RC kutoa maelekezo namna ya kuongea.
Umalaya wa Rster una ushahidi gani?
Una uhakika kuna baba Jose kweli?
Ikiwa walipewa maelekezo namna ya kuongea huenda hata baba Jose ni scrot tu ili kuihadaa jamii funguka
Daah mkuu, umewahi kumuina baba Jose kwa picha?Mpaka sasa wanaozungumza ni Esther na wazazi wake tu. Utasemaje hapati haki ya kusikilizwa?!
Muda utafika Mwl Jimmy atazungumza, classmates watazungumza, baba Jose (mume wa Esther) atazungumza, mama aliyekabiziwa Esther na baba Jose atazungumza
wasichana wengi wa chuo au high school wana tabia ya umalaya,laniki bado haiwapi haki walimu ya kuwabaka kinguvu,bila hiari yao,mambo ya kukutwa kwa muuza mkaa hiyo ni case nyingine,ila ya mwalimu jimmy yashughulikiwe kikamilifu.Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.
Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
Baba Rikboy mzee wa kimasihara.FORM fpur alitoroka kufataa dyudyuuu...leoo mwalimu jimmy kaipitishaa kwa juu tuu demu akaona hatosheki kaifata kwa baba jose mwezi mzimaa yupo kwa mwanaumeee kama angekuwa katendewa ubayaa angeenda kwao ni UMALAYAAA TU
Sio sahihi ilaa umalaya wakee asimtwishw mzigo mwalimuuu...huyo jimmy itakuwa alikuwa anakulaa kihalali kabisaa walikuwa wapenzi ni mambo ya kawaida na yapo sanaaaBaba Rikboy mzee wa kimasihara.
Nikuulize jambo, je ni sahihi kumbaka malaya bila ridhaa?
RikboySio sahihi ilaa umalaya wakee asimtwishw mzigo mwalimuuu...huyo jimmy itakuwa alikuwa anakulaa kihalali kabisaa walikuwa wapenzi ni mambo ya kawaida na yapo sanaaa
Kuna Mwl mkuu huko Mkuranga - Pwani ana "walk" na wanafunzi wake hapo hapo shuleni.Dogo anataka kumpa teacher shida, ila ni kweli unaweza baka shulen? Tena bwenini?
Na Jose kafikajeMkuu umewahi kupatwa na jambo ukawachukia hadi wazazi wako?
Kama kuna ukweli kuwa alibakwa anaweza kujikuta anawachukia watu wote hadi wazazi waliompeleka shule.
Pili hatuoni kuwa Jimmy alitajwa tangu mwanzo alipoacha barua kabla hajatoroka?
Angemtaja Jimmy baada ya kupatikana hata mimi ningetilia shaka