Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello Great Thinkers..
HIli sakata limenisikitisha sana,
Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..
Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),
Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.
Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.
Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!
Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! 😀 😀 😳 😳 😳 ,
Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!
Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..
So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..
Then pataje,
Becky....