Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello Great Thinkers..

HIli sakata limenisikitisha sana,

Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..

Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),

Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.

Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.

Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!

Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! 😀 😀 😳 😳 😳 ,

Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!

Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..

So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..

Then pataje,

Becky....
 
Wamasai siyo watu special,ardhi ni Mali ya serikali,Kama serikali imeona Kuna manufaa kuwahamisha wahame waende huko arable land
Wamasai ni watanzania, mali ya Tanzania, halafu uko Arable land ni wapi eti??? 😀 😀 😀 😉
 
Tanzania hakuna serikali!?..wajibu wa raia kwa serikali no nini!?..Tanzania hakuna Sheria!?..Sheria inasemaje kuhusu ardhi!?
Serikali gani? hio ya Mafisadi??? Sheria gani? Mahakama imeshikiliwa na Mafisadi, Wajibu wa Raia ni upi??? na wajibu wa serikali kwa raia wake ni upi?
 
Wamasai siyo watu special,ardhi ni Mali ya serikali,Kama serikali imeona Kuna manufaa kuwahamisha wahame waende huko arable land
Wewe ndio mtu special sio?
Embu toa upumbavu wako hapo
Kama serikali iliweza kuhamishia wanyama pori burigi chato.
Watafute pori jingine wawahamishie hao wanyama wawaache wamasai nao ni binadamu kama Mimi na we we.
Nyie binadamu mliopata madaraka ya kuongoza acheni ulevi wa madaraka. na kuonea binadamu wenzenu
Kwangu Mimi binadamu mwezangu ni muhimu kulipo mnyama hata biblia inasema hivyo
 
Alichokuwa anakisemea PM bungeni yaan sijamwelewa kabisa ! mtu kaonekana damu inatoka kwenye mguu,katika maelezo yake haoneshi nini kimesababisha hadi yule mzee miguuni aonekane anavuja damu ,ni kama askari aliyefundishwa namna ya kupiga risasi kwenye miguu but PM anadai the whole scenario has been fabricated ! duhhh hii nchi ngumu sana kuishi aisee
Wewe ndio mtu special sio?
Embu toa upumbavu wako hapo
Kama serikali iliweza kuhamishia wanyama pori burigi chato.
Watafute pori jingine wawahamishie hao wanyama wawaache wamasai nao ni binadamu kama Mimi na we we.
Nyie binadamu mliopata madaraka ya kuongoza acheni ulevi wa madaraka. na kuonea binadamu wenzenu
Kwangu Mimi binadamu mwezangu ni muhimu kulipo mnyama hata biblia inasema hivyo
 
Hata ujumbe wa mtaa wako huna alafu uishauri serikali hehehehe nasekaga
 
sana sana mimi ndio nitamloga, anatafutaga sana kujulikana kupitia Becky, sio mara yake ya kwanza kuandika utumbo kwenye mada zangu...sijui nilimchukulia bwana?!...LOL
Nijulikane kupitia wewe Who tf are you?
Una nini kwenye hii forum?
Jf imekupa umaarufu gani wewe kiande?

Tenaaa kaa chonjo
 
Nijulikane kupitia wewe Who tf are you?
Una nini kwenye hii forum?
Jf imekupa umaarufu gani wewe kiande?

Tenaaa kaa chonjo
Im Becky, and who the hell are you...???

Eti JF imenipa nini?! kila siku kinachokusumbua kunifatafata nini kama sio unataka kuforce umaarufu kupitia mimi, dada hunidai figo, chukua time huko!

Kamtishie mala.ya wenzio huko, sio mimi shenzi wewe... eti nikae chonjo?? kwa kuwa wewe ni nani?? Mwenye Forum bwana Melo?!.... chukua time malay.a mbovu wewe!
 
Back
Top Bottom