Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Hata mimi sioni sababu.
Halafu Tanzania uwa inafurahisha. Akikamatwa mtu wanayempenda bila kufuata sheria, raia inalalamika, akikamatwa mtu wasiyempenda bila kufuata sheria, raia inasema hata kama ache akamatwe.
Halafu sijui kwa nini huyu dada wanamsumbua hivi. maana kama issue ni misukule makanisa yoteeee yana misukule maana Hata kuna baadhi ya wakatoliki huwa na ubishi wa ajabuajabu wanapolezwa kuhusu matukio yanayofanywa na makasisi wao....
 
Halafu sijui kwa nini huyu dada wanamsumbua hivi. maana kama issue ni misukule makanisa yoteeee yana misukule maana Hata kuna baadhi ya wakatoliki huwa na ubishi wa ajabuajabu wanapolezwa kuhusu matukio yanayofanywa na makasisi wao....
Hata mm sioni kwanini wanamsumbua, anachofanya wakifanya wengine ni sawa.
Hapa kuna double standards
 
Hatu kama hao sio wa kuchekea
Wanamambo yao ya siri sana
Tuangalie kwa upande wa pili
 
Huyu mama ameonewa kinoma, huyu zumaridi huwa ana utaratibu wake wakualika watu mbalimbali kwake ili wanywe na kunywa, ata kama anapiga pesa lakini huwa anakumbuka kuzirudisha kwa maskini ni tofauti na manabii wote hapa Tanzania waliojaa ubinafsi, hii nazan ni hujuma dhidi yake, mimi nashauri na wachungaji wote na wanaojiita manabii nao wanakamatwe.
 
Lakini mbona anaenenda kimataifa .
1.Mavazi na dansi zake ni chukizo mbele za Mungu, kuna tofauti ya mavazi ya Mkristo na mpagani.
2.Anajiinua yeye zaidi kuliko Mungu Jehovah ana kaa mahali pa Mungu Jehovah kwa kujiita Mungu
1.Je!Biblia ilieleza style ya kudance unapomtukuza Mungu?kiungo chochote unachokiona kwenye mwili wa binadamu kimeumbwa kwa mfano wa Mungu,hata akikata mauno ni kiungo cha Mungu sema binadamu mmetunga sheria zenu,sijaona kwenye amri kumi za Mungu sehemu iliyokataza kucheza kwa kutumia style Fulani na viungo fulani tu. Kuhusu mavazi hakuna sehemu imesema haya ni mavazi ya kikiristo au haya ni kipagani....

2.Yehova kampa kila binadamu utashi wa kuchagua mema na mabaya. na kila mtu atalipwa ujira wake sawasawa na matendo yake... Wale watu kwa hiari Yao wameamua kumuamini nyie wana dunia mnaanza kuwahukumu,je? hiyo ni kazi yenu kuhukumu au kazi ya Yehova?Jamani tusiwe kama mafarisayo
 
Hata mm sioni kwanini wanamsumbua, anachofanya wakifanya wengine ni sawa.
Hapa kuna double standards
Waanze na Mwamposa pale wanakula Hadi nauli in the name of sadaka ya kujimaliza,afuatwe Gwajima nae ndio muasisi wa kufufua misukule... kama vipi wampotezee tu huyu bibie
 
Nonsense.
 
Yes,unaongea vitu vinamake sense.
 
Acha kuwa bendera kufuata upepo,Leo kwa Zumaridi kesho kwako... wafuate sheria waache uonezi
Kabisa! Akiguswa wanaempenda kwa kuvunja wanalia, lakini kwa mbinu ileile akiguswa wasiye mpenda wanashangilia!

Wanasahau kuwa KUNA MSEMO USEMA WAKIZOEA KUNYONGA , KUCHINJA KWA KISU WANAONA TABU!
Watanyonga kila anaekatiza
 
Huyo Mganga wa kienyeji, wakiweza wamfunge jiwe shingoni na kumtosa baharini tu.
 
Hakuna sehemu hakuna maovu......ila sehemu nyingi ni taasisi,siyo mtu anaabudiwa kama Mungu na mambo mengi ya ajabu kinyume hata na sheria za nchi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…