Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Kwani hao watu 149 walikuwa kwenye nyumba ya ibada? If not; hauwezi kuwalinganisha na Mwamposa au Wakatoliki wanaokuwa sehemu rasmi ya ibada.
Tofauti ni nini?wote wamekusanyika kumuabudu Jehovah ambaye wote hatumjui wala hatujawahi muona.
 
Kwahiyo sheria ndo inavyosema kwamba Ukigonga asipofungua Basi LUKA UKUTA!? Je polisi sana barua yoyote ya kumuita ZUMALIDI Na kukaidi?
Yeye zumaridi alikuambia hakuitwa?
 
Mleta mada Mimi nakuunga mkoano kwa asilimia Mia.. Hili suala la Zumaridi nilishasema tangu siku ya kwanza ni la kulikemea... Wale watu wamekusanyika kwa hiari Yao binafsi eti police anawakataza.... na huyo style Yao ya kuvamia ndio utopolo kabisa wa Hilo linanifanya jeshi la polisi ni ounevu tu.. wafuate sheria na haki
 
Wale walikuwa wanaishi pale, hawakuwa wanaabudu. Wakatoliki hukutana tu kwa sala na hutawanyika
Sio kweli.. anawalisha vipi watu 149?Nyie is liangalieni vizuri hili Jeshi letu la polisi jamani
 
Sheria ipi?

Hawa wapuuzi wakamatwe maana wanawafanya watu kuwa wajinga wazembe na wapumbavu... She deserved hiyo treatment kuharibu watoto wa watu si sawa

Ahukumiwe iwe fundisho kwa matapeli wa mfano wake
Elimu itolewe kwa Hao watoto wenu.. hajawateka,wapo pale kwa hiari yao,hajamfunga mtu kamba,kudhihirisha wana furaha na kiongozi wao ndio maana walianza kupambana na police... Tafadhali msikuze mambo
 
Kwani hao watu 149 walikuwa kwenye nyumba ya ibada? If not; hauwezi kuwalinganisha na Mwamposa au Wakatoliki wanaokuwa sehemu rasmi ya ibada.
Jumba lake pia nadhani ni la ibada maana niliona youtube siku wanalizindua sijui jumba la mfalme zumaridi pia watu wanakaa pale.
Nadhani huyu mama kakamatwa kwasababu kaanzisha dhehebu lake la kiafrika sisi tumezoea madhehebu yaliyoletwa na wengine.
Sioni tofauti ya Zumaridi na wale wengi tu wanaojiita manabii.
 
Sio kweli.. anawalisha vipi watu 149?Nyie is liangalieni vizuri hili Jeshi letu la polisi jamani
Huyu kakamatwa tu kisa wasiompenda wanasema anakufuru.
Yeye kaanzisha dhehebu lake sasa wale walioozoea madhehbu ya kuletwa toka huko na meli ndio wanalalamika kila siku.
Iwapo Yesu akirudi kama Mwafrika, raia zitamkataa, labda aje akiwa mzungu
 
Halafu siyo kila kitu lazima muingize siasa. Polisi waligonga, ila watuhumiwa wakagoma kufungua. Kwa mazingira kama hayo unataka waachwe? Hii chuki kwa Polisi itakuua usipokuwa makini.
Sio kweli,siku ya kwanza hawakugonga... waliruka kama makondoo.... usitetee vitu ambavyo vinaweza kukupata siku moja.. tukemee huu uonezi wa jeshi la polisi sio kutungatunga kesi zisizo na kichwa wala miguu
 
Jumba lake pia nadhani ni la ibada maana niliona youtube siku wanalizindua sijui jumba la mfalme zumaridi pia watu wanakaa pale.
Nadhani huyu mama kakamatwa kwasababu kaanzisha dhehebu lake la kiafrika sisi tumezoea madhehebu yaliyoletwa na wengine.
Sioni tofauti ya Zumaridi na wale wengi tu wanaojiita manabii.
Uko sahihi,ile ndio number yake ya Ibadan.Hata hivyo anamtumia Mungu Jehovah. sikiliza mahubiri yake you tube sema tu kazidi manjonjo ndio kinachomcost
 
Usafirishaji watu haramu ni neno pana sana kisheria linahusisha pia kukamata watu, kuzuia, kushikilia, kufanikisha, bila ridhaa ya watu wenyewe.
Guts ya kumtia hatiani kwa kesi hio chance ni 21%.
Ishu ya ibada, imani ni pana ibada ni kukusanyika kwa lengo moja.
 
Huyu kakamatwa tu kisa wasiompenda wanasema anakufuru.
Yeye kaanzisha dhehebu lake sasa wale walioozoea madhehbu ya kuletwa toka huko na meli ndio wanalalamika kila siku.
Iwapo Yesu akirudi kama Mwafrika, raia zitamkataa, labda aje akiwa mzungu
Binafsi sioni hata sababu za kum Kanata.
 
Hata mimi sioni sababu.
Halafu Tanzania uwa inafurahisha. Akikamatwa mtu wanayempenda bila kufuata sheria, raia inalalamika, akikamatwa mtu wasiyempenda bila kufuata sheria, raia inasema hata kama ache akamatwe.
 
Sio kweli,siku ya kwanza hawakugonga... waliruka kama makondoo.... usitetee vitu ambavyo vinaweza kukupata siku moja.. tukemee huu uonezi wa jeshi la polisi sio kutungatunga kesi zisizo na kichwa wala miguu
Wewe ndio unatetea vitu ambavyo hata hauvijui.
 
Mleta mada Mimi nakuunga mkoano kwa asilimia Mia.. Hili suala la Zumaridi nilishasema tangu siku ya kwanza ni la kulikemea... Wale watu wamekusanyika kwa hiari Yao binafsi eti police anawakataza.... na huyo style Yao ya kuvamia ndio utopolo kabisa wa Hilo linanifanya jeshi la polisi ni ounevu tu.. wafuate sheria na haki
Sukule lingine hili
 
Back
Top Bottom