Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wakatoliki husali jumuia majumbani?Siyo nyumba ya ibada hiyo.
Ukristo ni dini ya amani na upendo..mana Mungu ni upendo..achana na wale wazee wa kuvaa suicide vest..Mungu anajipigania hapiganiwi.Angekuwa anakashifu dini ya kislamu huyu angekuwa marehemu ila kwavile amekashifu ukristo mmegeuka kuwa watetez wake
Kwani kuna mtu ana haki ya ukristo. Unafikiri serikali inatambua kama kuna dini ya kikristo?Una shida kubwa Sana unahitaji msaada. Wewe unaichukulia dini Kama biashara kisa watu wachache wanafanya Mambo kinyume na mapenzi ya Mungu. Dini ya Kikristo misingi yake Ni amri kumi na kufuata Maisha ya Yesu Kristo ya utakatifu na utaua. Wewe macho yako yapo kwenye sadaka badala ya kuokoa roho za watu wasiangamie.
Naomba uelewe kidogo. Mimi Sina conflict na Zumaridi , ila nachosema tofautisha cult na ukristo. Haiwezekani mtu haamini kwenye misingi ya ukristo halafu unamwita mchungaji. Anauchafua ukristo wakati yeye sio mkristo, halafu lawama linapelekewa kanisa. Mtu yeyote asiyeamini kwamba Muhamad alikuwa mtume wa Allah huyo sio muislamu au kuamini nguzo tano za uislamu.
Shida yangu ni kwamba Zumaridi anajiita Mungu na anadai ya kwamba Yesu kwa Sasa Hana nguvu, yeye ndio ametumwa kuja kuukomboa ulimwengu. Sasa mtu anamkana Yesu Kristo na kujiita Mungu Chini ya jua utasemaje ni mkristo na kuanza kushutumu makanisa kwa ajili yake. Yeye aanzishe dini yake na imani yake ajitoe kwenye ukristo Hilo ndio nalo take, sio unajificha kwenye ukristo wakati humuamini Yesu Kristo.
Your just a rooster in a coop..siwezi jadiliana na wewe mana mawazo yako ni ya kihafidhina.Una shida kubwa Sana unahitaji msaada. Wewe unaichukulia dini Kama biashara kisa watu wachache wanafanya Mambo kinyume na mapenzi ya Mungu. Dini ya Kikristo misingi yake Ni amri kumi na kufuata Maisha ya Yesu Kristo ya utakatifu na utaua. Wewe macho yako yapo kwenye sadaka badala ya kuokoa roho za watu wasiangamie.
Naomba uelewe kidogo. Mimi Sina conflict na Zumaridi , ila nachosema tofautisha cult na ukristo. Haiwezekani mtu haamini kwenye misingi ya ukristo halafu unamwita mchungaji. Anauchafua ukristo wakati yeye sio mkristo, halafu lawama linapelekewa kanisa. Mtu yeyote asiyeamini kwamba Muhamad alikuwa mtume wa Allah huyo sio muislamu au kuamini nguzo tano za uislamu.
Shida yangu ni kwamba Zumaridi anajiita Mungu na anadai ya kwamba Yesu kwa Sasa Hana nguvu, yeye ndio ametumwa kuja kuukomboa ulimwengu. Sasa mtu anamkana Yesu Kristo na kujiita Mungu Chini ya jua utasemaje ni mkristo na kuanza kushutumu makanisa kwa ajili yake. Yeye aanzishe dini yake na imani yake ajitoe kwenye ukristo Hilo ndio nalo take, sio unajificha kwenye ukristo wakati humuamini Yesu Kristo.
Dah!....Shida yangu ni kwamba Zumaridi anajiita Mungu na anadai ya kwamba Yesu kwa Sasa Hana nguvu, yeye ndio ametumwa kuja kuukomboa ulimwengu. Sasa mtu anamkana Yesu Kristo na kujiita Mungu Chini ya jua utasemaje ni mkristo na kuanza kushutumu makanisa kwa ajili yake. Yeye aanzishe dini yake na imani yake ajitoe kwenye ukristo Hilo ndio nalo take, sio unajificha kwenye ukristo wakati humuamini Yesu Kristo.
Pia reptile ugeuka sura pindi ile nguvu iliyo ndani mwake inapomuingia kumpa confidence.Waubudu shetani wote wanasifa ya kubadalika sura.Cult ni Imani ambayo ipo kinyume na dini husika. Kwa mfano wewe Ni muislamu Halafu ukaanzisha imani ya kutokutambua Mfungo wa Ramadhan kuhiji na Utume wa Muhhamad. Wewe ukadai ndio mtume wa Allah, tunasema huo sio uislamu ni cult. Zumaridi ana sifa zote za Cult, maana anajiita mungu Chini ya jua, wakati Mungu aliye hai kupitia Biblia anakataza mtu kuchukua utukufu wake hata tone.
Kiukweli mwisho wa cult zote huwa Ni mbaya Sana watu wengi hufa au kupoteza mwelekeo wa Maisha. Mfano mzuri ni Jim Jones wa Marekani aliyeua wafuasi wake 900 kwa sumu aliwadanganya Ni meza ya Bwana huko Guyana porini walipoenda kujificha. Au David Koreish aliyepambana pamoja na wafuasi wake dhidi ya FBI kwa siku 51 na baadae kuamua kujilipua wote wakafa. Msome mtu anaitwa Apple white alichokifanya mwishoni kwenye cult yake na kibwetere.
Inawezekana polisi njia ya ukamataji haikuwa sahihi, lakini twende mbele huyu mama kuna sehemu kuna tatizo, kwa hii sio mala ya kwanza, kuna kipindi aliingia kwenye mzozo na serikali hadi akasitishiwa kutoa huduma, kutokana na mahubili yake, na jinsi anWakusanyikapo wawili watatu Mungu yuko mahala pale ! Serikali haina dini!
Wao waangalie kama kuna jinai na wafuate sheria siyo kuruka ukuta!
Hivi kweli kuzuia watoto wa shule kusoma, kwa kuwafungia humo ndani kwako, na polisi wanapokuja kufanya kazi yao, mnawashambulia hadi wanaenda kuongeza nguvu, hapo bado huoni kuna jinai?!!suala ni makosa halisi au laa, ni mahakama ndiyo itaamua!Ila huyo atakuwa na matatizo , kwani sio mala ya kwanza kuingia kwenye mzozo na serikali,Nyie chekeni tu lakini akija kamatwa kiongozi wa kisiasa kwa style ileile mtakuja kunielewa!
Hatukatai makosa! Lakini sheria zinafuatwa? Makosa wanayotuhumiwa na makosa ya Jinai kweli au ya kupikwa?
AIBU TUNAIPATA MAHAKAMANI
Ni mtizamo wako!!lakini kila mtu ana imani yake.Wachungaji wote mi naona matapeli tu
naomba sheria inayolazimu mtu kuitwa kwa barua polisiKwahiyo sheria ndo inavyosema kwamba Ukigonga asipofungua Basi LUKA UKUTA!? Je polisi sana barua yoyote ya kumuita ZUMALIDI Na kukaidi?
Kuna mahali sheria inasema kwamba kila kesi inayofunguliwa polisi lazima iende mahakama!?Haya subiri kama watampeleka mahakamani kwa hilo kosa la usafirishaji wa binadamu
Wapi sheria imeandikwa polisi akibisha na kukataliwa basi aruke ukuta.....Halafu siyo kila kitu lazima muingize siasa. Polisi waligonga, ila watuhumiwa wakagoma kufungua. Kwa mazingira kama hayo unataka waachwe? Hii chuki kwa Polisi itakuua usipokuwa makini.