Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Kitendo walichofanya polisi ni kuingilia uhuru wa kuabudu. Mbona wakatoliki wanafanya jumuia majumbani? Leo watamsakama Zumaridi sababu ni mdogo. Kesho watakuja kwenye dini kubwa zaidi.
 
Kwani kuna mtu ana haki ya ukristo. Unafikiri serikali inatambua kama kuna dini ya kikristo?
 
Your just a rooster in a coop..siwezi jadiliana na wewe mana mawazo yako ni ya kihafidhina.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!....
 
Pia reptile ugeuka sura pindi ile nguvu iliyo ndani mwake inapomuingia kumpa confidence.Waubudu shetani wote wanasifa ya kubadalika sura.
 
Mavazi yake tu ni chukizo mbele za Mungu imeelezwa wazi nguo atakiwazo kuvaa Mkristo, sema mawakala wengi wamepotosha kuhusu mavazi Ili kuvutia wengi upotevuni.
Sema tu sababu ya kimaadili lakini wanafahamika kabisa wachungaji wa kimapepo
 
85% ya makanisa ya Kikristo ni mahekalu ya shetani waumini wengi awajui Siri bali viongozi wao. Hasa haya makanisa makubwa ni hatari sana.
 
Makanisa yote mabodigadi madhabauni, vitambaa, mmiliki wake kuvaa rangi nyeupe,blue, nyekundu KILA siku unakuta rangi ni hizo hizo, waweka mikono mfukoni, wapo bize kuhubiri mafanikio zaidi kuliko utakatifu watu kuacha dhambi, mafuta, maji ya upako, watenda miujiza,kina Mungu wa au madhabau ya fulani,wote hao utumia nguvu za kuzimu, feel free church kina Mungu anaangalia roho na siyo mavazi, wote hawa ni mawakala. Si KILA kanisa ni la kuingia maana ukishaingia kwenye makanisa ambayo madhabauni zake kumefukiwa mafuvu ya vichwa vya watu huwezi toka kirahisi upo radhi uue mtu kwa ajili ya mchungaji wako
 
Mkristo atakiwi kuvaa mavazi ya kushawishi tamaa ya ngono, mavazi ya kuchochea uzinzi.
 
Wakusanyikapo wawili watatu Mungu yuko mahala pale ! Serikali haina dini!
Wao waangalie kama kuna jinai na wafuate sheria siyo kuruka ukuta!
Inawezekana polisi njia ya ukamataji haikuwa sahihi, lakini twende mbele huyu mama kuna sehemu kuna tatizo, kwa hii sio mala ya kwanza, kuna kipindi aliingia kwenye mzozo na serikali hadi akasitishiwa kutoa huduma, kutokana na mahubili yake, na jinsi an
Nyie chekeni tu lakini akija kamatwa kiongozi wa kisiasa kwa style ileile mtakuja kunielewa!

Hatukatai makosa! Lakini sheria zinafuatwa? Makosa wanayotuhumiwa na makosa ya Jinai kweli au ya kupikwa?

AIBU TUNAIPATA MAHAKAMANI
Hivi kweli kuzuia watoto wa shule kusoma, kwa kuwafungia humo ndani kwako, na polisi wanapokuja kufanya kazi yao, mnawashambulia hadi wanaenda kuongeza nguvu, hapo bado huoni kuna jinai?!!suala ni makosa halisi au laa, ni mahakama ndiyo itaamua!Ila huyo atakuwa na matatizo , kwani sio mala ya kwanza kuingia kwenye mzozo na serikali,
 
Halafu siyo kila kitu lazima muingize siasa. Polisi waligonga, ila watuhumiwa wakagoma kufungua. Kwa mazingira kama hayo unataka waachwe? Hii chuki kwa Polisi itakuua usipokuwa makini.
Wapi sheria imeandikwa polisi akibisha na kukataliwa basi aruke ukuta.....

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…