Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Mkuu funguka basi?? Enock ni Nani? Maana Nimepitia ID zote zilizochangia Uzi sijamuona, Tuambie au ni tapeli ili tukae chonjo,, wewe ni GT hebu saidia Jamii acha kumficha ficha muovu.
 

Si kwa sababu waliohusika wako nyuma hawajazi nafasi zao? yeye afanyaje sasa?
 
Mkuu funguka basi?? Enock ni Nani? Maana Nimepitia ID zote zilizochangia Uzi sijamuona, Tuambie au ni tapeli ili tukae chonjo,, wewe ni GT hebu saidia Jamii acha kumficha ficha muovu.
We jamaa umengangania kumhua enock!!![emoji1] [emoji1]
 
unashangaa nini cha kushangaza hapa ni wewe hujui kwamba magufuli analindwa kuliko raisi yeyote wa tz aliyepita.......... sasa ujue lazima anajulikana vizuri ndo maana yuko hapo ngoja nimtafute kwenye video nijionee mwenyewe
Umeeleza thread au umerukia tu?
 

Mkuu nakushauri jaribu kupitia tena comments zako - kuwa mkweli, ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza kuomba umsaidie kuandika thesis yake, NANI???

Hapa umekazania kuwasema wengine kuwa ni vilaza wakati wewe unaonekana huna tofauti nao,reading between the lines that is!! - A pot calling a kettle BLACK!!
 
upo hapo kwa sababu ulisoma magogoni. vingnevyo ur empty minded. nakumbuka kuna kija hna tofauti na wewe. kutwa kucha mkoani kwa wakubwa. akijipenfekeza. yaweza kuwa wewe

Come again please, how do you mean "EMPTY MINDED?"
 
Hata mimi nimeshangaa!
Ila tu aweke wazi enock kamfanya nini bwana na sisi tujue maana wabongo sisi kwa kupenda kujua siri za watu hatujambo,yaani apa ata mimi nnataka kujua japo simjui uyo enock wala uyo anaemlalamikia nijue tuuu,alafu ata sijui nikijua itanisaidia nini,mimi bwana sijui nikoje.
 
Kulikuwa na ulazima gani kwenda bandarini kama sio kutafuta cheap publicity.
 

Well said Mkuu, jamaa hawa ni wauaji, watu hawajui tu - yanaweza kuchanganya vegetable oil na tallow oil ku-maximise profit, hawana utu - hawajali chochote kwa kuwa wanajua ndugu na familia zao hawatumii an adultated cooking oil, kwa nini wajali?

Serikali, specifically Wizara ya Afya inasema magonjwa ya moyo yanaongezeka exponentially Nchini, cha ajabu hakuna anaye unganisha ongezeko la magonjwa ya moyo na mafuta kama ya Korie nk kwa mfano,tuna kazania kulalama magonjwa ya moyo yanaongezeka, yanaongezeka lakini Wizara ya Afya haifanyi jitihada zozote kubaini chanzo za matatizo haya, wanakazania kusingizia eti "mabadiriko ya life style ndio chanzo cha matatizo" wakati hoja hiyo si kweli by 100%!!

Mbona zamani watu walipo kuwa wanakula mafuta ya pamba na karanga ambayo ni semi-refined na mengine ni almost crude hatukuwa na ongezeko la magonjwa ya moyo?
 
Reactions: UCD
Aliyeelewa hapa naomba anisimulie[emoji19] [emoji20]
 
yaani hawa jamaa walitakia mpaka Raisi aongee au ilikuwa kiki ya kutengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…