Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Safari hii hakumtumia prof Mruma nyambafu, haya mkemia yuleyule aende na mgodini.
 
Mungu mtunze ndani ya hekima zako raisi wetu hakika mungu unajua zaidi yetu umefanya jambo kubwa kutupa uyu raisi hakika anafanya kazi inayostahili pongezi mara dufu,huu ni mwanzo wa tanzania kuheshimika kwa maana raisi anatuheshimu na hana tutendea kazi nzuriii na anatupenda sisi watz masikili na anataka tutoke tulipo,viva magufuli viva tanzania[emoji1241]
 
Huyu rais nnachojiuliza, wakati wabunge wanazipitisha hizi sheria yeye alikuwa wapi kuzikataa???
We jamaa sijui kwanini unakuwa mjinga.. Soma hapa alicho kisema Dr. Magufuli



=>Kwenye Ofisi ya AG alikuwa na tabia ya kufanya amendment
ya Muswada uliotoka bungeni. Yaani wabunge wanapitisha
sheria, yeye anaeda kubadilisha na kuweka maneno anayoyataka yeye ndo anampa rais asaini. Ni
tabia mbaya ilikuwa.
 
Reactions: SMU
TBS walinunuliwa na businessmans
 
Na alipoingia akamteua huyo huyo ....ilhali alikuwa anaujua mchezo wake..

Huyu Mzee ni Mzee wa maigizo tu....
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya nchi,hujui kwa nini rais anataka kodi halisi,endelea kupiga domokaya
 
25% import duty, 18%vat, exercise duty? Penalt, ishakuwa biashara kichaa.
 
Duuu tanzania ya viwonderrr mafuta ya kula ni shiidaaa
 
Sasa crude oil si ndo inatakiwa ichajiwe chini maana refine zifanyike hapa tz ila magu chemistry ulisoma kweli au
Nakusupport, kwenye swala la crude zichajiwe cheap.

Maana refining kufanyiwa hap, vild viwand Vitahitaji kuwepo=ajira.
 
Eti anamuuliza deputy wa TRA unafanya kazi gani??....ina.maana hajui[emoji16][emoji16]
Hapo hapo anasema najua wanakuchukia...[emoji23][emoji23][emoji23] please......ila bado kuna watakaoamini hii series
 
aendelee tu kushtukiza hadi miaka mitano yaishe hakuna namna. kwahiyo kesho tutakuwa na mafuta mtaani
 
Heshima kwenu wakuu,

Rais Magufuli afanya ziara ya kushitukiza bandarini Dar.

Atembelea kituo cha kupokea mafuta cha Kurasini (Kurasini Oil Jet; KOJ) kilichopo jijini Dar es Salaam na kupewa maelezo kuhusu Mafuta kukwama bandarini.
Kama ziara ya kushitukiza TBC wamejuaje? Huyu mzee kwa kutengeneza matukio auze sura hajamboo.. Aisee!
 
Nakusupport, kwenye swala la crude zichajiwe cheap.

Maana refining kufanyiwa hap, vild viwand Vitahitaji kuwepo=ajira.

Lengo la Crude kuwa juu Ni ku-encourage watu wawekeze kwenye kilimo cha alizeti na mazao mengine ya mafuta hivyo ajira kuwa maradufu kuanzia kwenye kilimo hadi viwanda vya ku-refine.
 
Safi sana kwa kuliona tatizo hili,wananchi tunaumia
 
Hiyo ni Tisa, kumi mmoja wapo wa hao AG's ni mwenyekiti pale bungeni (kengeza!)! Hili li nchi acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…