Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Magufuli alijaribu akashindwa mwisho wa siku akatangulia akawaacha. Shida hamujui Silent ocean iko nyuma ya nani. Huo mnyororo umeanzia mbali sana. TRA walijaribu kidogo tu wale maafisa wote wakahamishwa
Mwenyewe yupo njia ya kwenda Tanga, hawa wengine ni maboya tu, huyu huwa anaua nyani bila kumtazama usoni huku akitabasamu kama loote.
 
Alipewa Ubalozi wakati aliishia kidato cha nne. Eti alipewa Ubalozi Guangzhou. Huyu JK hata hana aibu. Ndio maana kuna watu wanasema ni Mkongo. Hana uchungu na rasilimali za Tanzania kabisa.
Mwaga upupu huo basi mkuu Salah aanze kujikuna naona unatupa robo robo au unaogopa kutupiwa kifurushi cha majini? Tupe maneno mkuu usitunyime weka Mambo hadharani masaa 72 yamekwisha tayari na Salah kaendeleza utata wake kaweka ngumu hela hajakupa haya mwaga uozo tuuone,
 
Nikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Wewe point yako ni nini hasa??Anawasingizia, hana cha kuwafanya sababu wana pesa??Au ni nini....maana unaandika as if unajua kabisa kuna mtu anaonewa...si utulie jamaa afanye alichosema..shida yako ni nini???
 
Kumbe uozo upo mwingi mwageni mwageni sisi tunasoma aisee, yaan wamemsodoma jamaa kisa katembea na dada yao yaan hawataki mtu black amle dada yao wa kiarabu au mi sijaelewa?
 
Matajiri asilimia kubwa ni wazulumati wa watu masikini yaan ni watu wanaowatumia masikini kuwadhulumu masikini..

Mimi ishanitokea na niliacha kazi na mshahara nikasamehe tajiri alinitoza faini kwa kosa ambalo sijafanya faini ni mara 3 ya mshahara wangu inamaana nifanye kazi miezi 3 bila malipo nikaona huu sasa ni udhulumati nikasamehe pesa yangu ya mshahara wa mwezi nikaacha kazi rasmi kiroho safi Ila matajiri wengi ni wadhulumati wanapenda kudhulumu
 
Chawa promax wewe GSM, silent ocean FSM na huyo aliekuwa home shopping wote ndugu na wote majambazi na matapeli na wote wachafu.

Eti Kwa JPM Bado GSM alikuwa juu unataka kumdanganya nani humu kipindi cha JPM walihama na nchi kabisa na operations zao za kitapeli na ujanja walizifanya wakiwa nje ya nchi,waliishi south Africa na mpaka walisomesha watoto wao huko bada JPM kufariki ndiyo walirudi huku tena mazima.

Kwa taarifa Yako huyo GSM ndiyo mafia kuliko ndugu zake wote.

Peleka taarifa kwao Uzi huu Kuna wengi tume athirika na dhulma za hii familia ila Kuna channels tunazifuata za kutaka kutendewa haki ambazo mpaka Sasa haya yote yanayo ongelewa humu kwamba wameishika serikali ni kweli. but mtu ukimuona anakuja sehemu kama JF basi ujue ana duku duku lake ambalo serikalini au kokote wenye kutoa haki hakupata msaada.
 
Ongezea na bin slum naye wote dugu

Hawa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…