Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

salaah Mohamedi Said.jpeg

SALAAH MOHAMED SAID
 
ni sahihi, huyo kijana alienda kushitaki Central Polisi, maafisa wa polisi wakamuambia hata sisi tuna familia na tumepigiwa simu nyingi sana kuhusu hii kesi hivyo hatuwezi fungua mashitaka na kuharibu kazi zetu. wakamsihi tu aende kutafuta namna ya kumalizana nae wao hawana uwezo huo.
Aisee
 
Mkuu mbona kama umepanic tangu mwanzo wa hii topic? Hatimae uzalendo umekushinda mpaka umejilipua.Tulia sisi wengine tunahesabu hayo masaa 72 tufunuliwe yale tusiyoyajua.
Hata kama nimepanic nakumabia ukweli ndio huo hakuna kitu chochote anachoweza kumfanya salaa sana sana yeye anaweza kufanywa. Kama alienda had central wakakataa kumfungulia amshtaka kwani wao ni wajinga? anaweza tu kuyatoa moyo wake uwe na amani ila hakuna chochote anachoweza kumfanya. Na hakuna kipya zaiid ya hivyo tunavyovijua na Seriakli inachojua
 
Kama umedhulumiwa mali Yako na ukiangalia huwezi mfanya lolote mdhulumati sababu mazingira yanampendelea.

Tafuta na wewe njia haramu peleka kilio kwake

Ila kama imekuuma sana moyo na unaona kabisa huwezi vumilia

Kuna watu ni wapole sana ila Siku ukimtibua ndio utajua kuwa hata shetani aliwahi kuwa malaika.

Mimi ikija tokea siku wakanifanyia ubaya ubayani yaani ikaa affect maisha yangu completely aisee simwachi mtu nitalipiza maradufu chamoto atakiona sitomuua ila lakini ajutie maisha yake yote yaliyobakia duniani.

Nitamwinda kama digidigi anavyomwinda swala hadi aingie kwenye 18 zangu.

Kuna watu wanaona sifa kuumiza wenzio Kila siku kisa wanyonge anatakiwa aibuke mnyonge mmoja atelekeze mkakati wake barabara! Ili madhalimu nao waipate waipate fresh.
 
Hata kama nimepanic nakumabia ukweli ndio huo hakuna kitu chochote anachoweza kumfanya salaa sana sana yeye anaweza kufanywa. Kama alienda had central wakakataa kumfungulia amshtaka kwani wao ni wajinga? anaweza tu kuyatoa moyo wake uwe na amani ila hakuna chochote anachoweza kumfanya. Na hakuna kipya zaiid ya hivyo tunavyovijua na Seriakli inachojua
Ehh ok

Ova
 
Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache stese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma alst born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
Ningeshangaa sana kama nisingekuta comment kama hii. Na wewe ni tajiri kama Salah?
 
Back
Top Bottom