Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa.
Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na hiyo ilifanya iwe shurti kwa mwanaume kumuhudumia mwanamke
Lakini katika society dynamics ya leo ambayo mwanaume na mwanamke wana fursa sawa. Mwanaume anatakiwa kuendelea kubeba hilo jukumu?
Ukiuliza hilo swali utajibiwa hiyo imeandikwa kwenye vitabu vya dini, ni wajibu wa mwanaume, ni tamaduni, ni natural design n.k. Hakuna logical explanation kwamba katika ulimwengu wa fursa sawa kwanini mwanaume aendelee kumuhudumia mwanamke.
Kiuhalisia hii idea inapingana na nyakati tulizopo sasa. Wanawake wetu kwa sasa wana fursa sawa na mwanaume, na tuna wanawake wengi kwenye jamii wanafanya vizuri kiuchumi zaidi ya wanaume wanaowazunguka.
Mfumo dume ambao wanawake wanaupinga(ingawa bado wanazitaka benefits zake) unamfanya mwanaume ajikute kwenye mtego wa kubebeshwa matarajio ya kumwezesha na kumwinua mwanamke hata kwenye nyakati ambazo kufanya hivyo kunachelewesha au kunapunguza maendeleo ya mwanaume husika.
Women are still holding on to the traditional values of patriarchy when it benefits them while disadvantages men, but fight the traditional values of patriarchy that don't work in their favor like male authority and gender roles.
Lakini linakuja swali: kwanini wanaume wanaendelea kuwahudumia wanawake wakati jinsia zote zimepewa fursa sawa?
Jibu ni kwa sababu wanaume wanaona ni wajibu wao. Male dominance assumed that mwanaume ndie mwenye access ya fursa na resources zote kwahiyo anawajibika kum-support mwanamke.
Huu wajibu umetoka wapi? Mfumo dume uliupandikiza wajibu huo kwenye akili za wanaume. Kumbuka ni mfumo dume huo huo unapingwa na wanawake, jamii na dunia kwa ujumla.
Sasa hawa wanaume wanawainua wanawake ambao tayari wana programs nyingi za kuwawezesha (women empowerment), wakati huo wanaume hawa wanabaki hawana chochote cha kuwainua wao watakapokua kwenye nafasi ya kuhitaji msaada.
And since the times have changed most of the women these young men invest in, they don't end up staying in their lives. These men end up alone and broke after pouring all their resources into temporal women who eventually become more successful than them and move on.
The patriarchy which teaches men to provide for women is no longer relevant when we apply the value of equal opportunity for men and women. If we agreed to abolish patriarchy we must get lid of this idea of men providing for women. You can't condemning patriachy and still want it benefits. Men providing for women is patriarchy.
Feminists are strong and independent women. They don't need a man to pay their bills.
Don't be a simp.