johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,263
- 1,753
Labda wanasiasa na wanaharakatiKwani mtoa mada ukiambiwa na nani kuwa sisi tunachukia mfumo dume?
Kuhudumia nani?Hakuna kitu kinachompa furaha/raha mwanaume kama kuhudumia.
Huenda leo akafunguka na kumtaja mbaya wake 😅Sijui dada yupi alimnyima huyu jamaa mbususu,matokeo yake wadada wote wanapata shida
Kwenye hili nakiri Wazi hakukuwa na kupangwa foleniVipi na nyie mlikua mnaungwa tela. Kwamba kuna wa kulipa kodi, wa kulipia gharama za kupendaza, gate man wa club ili kupata free entry, bodaboda kwa ajiri ya mizungoko, lecturer wa kurekebisha masuala ya GPA wote mnawekwa kwenye foleni moja?
Nimejaribu kuwaza matokeo ya mwanamke kutokutaka kabisa huduma ya mwanaume.Huu ndio ukweli mchungu ambao mleta uzi anapaswa kufahamu japo ana point muhimu kwenye uzi wake.
Mke, watoto na watu anaowapenda.Kuhudumia nani?
Ka-weekend mubashara kabisa 😂😂
Tupate wadhamini kutoka kwa Vanessa
View: https://youtu.be/x2iUw2JcVFs?si=6T5MY2eMyiS0jodK
Cc: Joannah
Nilifikiri girlfriends wenye wazazi wao.Mke, watoto na watu anaowapenda.
Mwanaume anayehudumia gf namuona mjinga.Nilifikiri girlfriends wenye wazazi wao.
Jamii imewekeza mabilioni ya fedha kwenye Girl Child Empowerment , mashirika, ufadhili wa masomo, fursa za ajira, ujasiriamali na mikopo kwa wanawake. Wakati huohuo, Boy Child mara nyingi anaachwa ajipambanie mwenyewe kwenye ushindani uleule wa maisha.
kama jamii imeweka nguvu zote hizo kumwezesha mwanamke awe na uwezo wa kujitegemea kiuchumi, kwa nini baadaye mwanamke huyo huyo aelekezwe kwamba ni lazima ahudumiwe na mwanaume ambaye hakupata fursa hizo za uwezeshaji?
Kama tunataka usawa, basi tuwe na msimamo mmoja: uwezeshaji uwe kwa wote, na majukumu ya kifedha yasigeuzwe kuwa haki ya upande mmoja. Huwezi kumfundisha mtu kujitegemea kwa miaka mingi, halafu ukamwambia bado lazima ategemee mtu mwingine.
Jamii ambayo wanawake hawataki pesa kabisa wanaume watakuwa wanashindaniwa kutoa huduma kama sasa hivi ambavyo wanawake wanatafutwa na wanaume. Wanawake watakuwa na vigezo vyao kulingana na pesa zao (mfano wanaume warefu, uume nchi 7, wasio na vitambi, sick packs n.k) watakuwa na soko kubwa hata kama hawana pesa, wanaume kuwa na pesa haitakiwa guarantee tena ya kupata wanawake.Nimejaribu kuwaza matokeo ya mwanamke kutokutaka kabisa huduma ya mwanaume.
Hivi unajua mwanamke akiwa na hamu hakosi mwanaume wa kukata hamu yake ila mwanaume akikosa wa kukubali pesa au huduma zake anaweza kosa kabisa wa kumpa huduma?
Sasa imagine jamii ambayo wanawake hawana shida ya pesa wala huduma, wao wanamtafuta mwanaume wakiwa na hamu zao tu na wanaume tulivyo na minyege 24/7, ubakaji utaongezeka sana.
SahihiJamii imewekeza mabilioni ya fedha kwenye Girl Child Empowerment , mashirika, ufadhili wa masomo, fursa za ajira, ujasiriamali na mikopo kwa wanawake. Wakati huohuo, Boy Child mara nyingi anaachwa ajipambanie mwenyewe kwenye ushindani uleule wa maisha.
kama jamii imeweka nguvu zote hizo kumwezesha mwanamke awe na uwezo wa kujitegemea kiuchumi, kwa nini baadaye mwanamke huyo huyo aelekezwe kwamba ni lazima ahudumiwe na mwanaume ambaye hakupata fursa hizo za uwezeshaji?
Kama tunataka usawa, basi tuwe na msimamo mmoja: uwezeshaji uwe kwa wote, na majukumu ya kifedha yasigeuzwe kuwa haki ya upande mmoja. Huwezi kumfundisha mtu kujitegemea kwa miaka mingi, halafu ukamwambia bado lazima ategemee mtu mwingine.
Katika ulimwengu huo wanaume wa aina yako mtapata wanawake wa miaka 40+ wasio na pesa.Wewe ni handsome nini mkuu? Maana sasa mwanamke kama asipotaka huduma na pesa kabisa ajitegemee alternative yake ni umbile zuri, umvutie ili upewe.
Sasa wengine tuna mapua kama vile wakati wa uumbaji kipande cha tope kilitupwa tu usoni kikatobolewa matundu mawili kila mwanamke akikataa kuhudumiwa tutoe nini ili tupewe?
Milio itakuwa mingi sana.Jamii ambayo wanawake hawataki pesa kabisa wanaume watakuwa wanashindaniwa kutoa huduma kama sasa hivi ambavyo wanawake wanatafutwa na wanaume. Wanawake watakuwa na vigezo vyao kulingana na pesa zao (mfano wanaume warefu, uume nchi 7, wasi na vitambi, sick packs n.k) watakuwa na soko kubwa hata kama hawana pesa, wanaume kuwa na pesa haitakiwa guarantee tena ya kupata wanawake.