Basi hapa inabidi na wazee wetu mchukue somo kwamba batch ya wanawake mliyo-deal nayo nyie ni tofauti na batch ya wanawake wa kisasa. Wanawake wetu wa kisasa wakisikia neno kuhudumiwa hawajui tofauti ya needs na wantsKwenye hili nakiri Wazi hakukuwa na kupangwa foleni
Unajua kwa mtu aliyezaliwa zamani, suala la kuchepuka lilifanywa kwa usiri sana
Na unachepuka na mtu mmoja tu kwa kificho kikubwa
Kwa nini unaogopa wanawake kuwa ndio wanaonunua wanaume Malaya?Duh, mkuu, Hapo kwenye wanawake kununua Malaya wanaume ndo kabisaa kunanifanya nione hii idea hapana.
Imekataaa tu kuclic akilini.Kwa nini unaogopa wanawake kuwa ndio wanaonunua wanaume Malaya?
Tukisema tutengeneze mfumo ambao kila mmoja ataji-adjust kwa namna yake tutakumbana na chaos nyingi sana uko mbeleni. Lazima tuweke mfumo ambao utakua pattern ya jamii nzima, ingawa wataotoka njie ya pattern wapo lakini iwe kwa uchache sana.Mimi nadhani tutafute hela wanaume, tuwekeze vya kutosha, yaani tuwekeze ili uchumi uimarike, baada ya hapo kiukweli vipapa ni vitam ila uwe na hela!!
In relationship or marriage each side has terms and condition. We can't hold many accountable on their side of the deal while telling women their side is optional and except everything to be normalIf you fail to provide someone will come and eat her chick what next you will end up in tears. I dont know what kind of family you want to establish. As man why you ignore your responsibilities?
Ni kwa sababu umeishi kwenye mfumo ambao wanaume ndio wamekuwa wanunuaji siku zote, ila Katika mfumo ambao wanawake watakuwa wanunuaji hata magonjwa ya ngono na mimba zisizopangwa vitapungua sana.Imekataaa tu kuclic akilini.
Wanawake mlio wengi huwa mnanisikitisha sana. Katika hali ya kawaida tulitegemea msimame mstari wa mbele kwenye mijadala kama hii kwa sababu nyie ndio mlienda kule Beijing kutaka usawa wa kijinsia. Lakini omments zenu soft, hamnaga hoja kuntu yaani ni ngumu sana kujua mwanamke msomi na asie na shule kichwaniMtoa mada na wanawake sijui walimfanya nini...pole mwaya
Usiwalalamikie sana wanawake wa bongo, ukweli ni kwamba wengi wao bado upeo wao uko chini kutegemea kuhudumiwa na wanaume na hawaoni shida ya contradictions kwa sababu Tanzania bado ni nchi ya kihafidhina sana ambapo bado wanawake wakati wanakuzwa wanaandaliwa kuwa wake zaidi, mama wa nyumbani, kumtegemea mwanaume na kuwa chini ya wanaume.Wanawake mlio wengi huwa mnanisikitisha sana. Katika hali ya kawaida tulitegemea msimame mstari wa mbele kwenye mambo kama haya kwa sababu nyie ndio mlienda kule Beijing kutaka usawa wa kijinsia. Lakini omments zenu soft, hamnaga hoja kuntu yaani ni ngumu sana kujua mwanamke msomi na asie na shule kichwani
Mkuu ume-base sana kwenye idea ya give money-get sex, lakini ukisoma thread yangu utaona mimi sipo huku. Nimejaribu kuelezea ni kwa namna gani tumeshindwa kuweka mzani sawa kati ya equal right na equal responsibility.Nimejaribu kuwaza matokeo ya mwanamke kutokutaka kabisa huduma ya mwanaume.
Hivi unajua mwanamke akiwa na hamu hakosi mwanaume wa kukata hamu yake ila mwanaume akikosa wa kukubali pesa au huduma zake anaweza kosa kabisa wa kumpa huduma?
Sasa imagine jamii ambayo wanawake hawana shida ya pesa wala huduma, wao wanamtafuta mwanaume wakiwa na hamu zao tu na wanaume tulivyo na minyege 24/7, ubakaji utaongezeka sana.
Hiki kicheko ni cha uchonganishiWeekend ya moto sana kwa baadhi ya watu kutoka kundi fulani.
Kazii ipoo. 😂😂😂
😂😂😂 ifike hatua wewe na wanawake (wa hovyo) km unavyodai, mfanye mmalizane.Hiki kicheko ni cha uchonganishi
Naona kama itakuwa umeshift total control kwa wanawake which kwangu mimi ni Chaos.Ni kwa sababu umeishi kwenye mfumo ambao wanaume ndio wamekuwa wanunuaji siku zote, ila Katika mfumo ambao wanawake watakuwa wanunuaji hata magonjwa ya ngono na mimba zisizopangwa vitapungua sana.
Nimeshakuelewa mkuu, unataka balance, kijana asitwikwe mzigo wa kuhudumia na jamii.Mkuu ume-base sana kwenye idea ya give money-get sex, lakini ukisoma thread yangu utaona mimi sipo huku. Nimejaribu kuelezea ni kwa namna gani tumeshindwa kuweka mzani sawa kati ya equal right na equal responsibility.
Sikatai mwanamke kuuza sikatai mwanaume kununua as long as kila mmoja anafanya hivyo kwa hiyali yake.
Wanawake wa Kitanzania, na hii ni kutokana na utamaduni wa Kiswahili zaidi na uhafidhina mkubwa wa dini.Nilichojifunza ni kwamba kadri mwanamke anavokuwa na kipato kikubwa ndivo anavozidi kuwa tegemezi. Tafuta madem wawili wenye utafauti wa vipato halafu linganisha mizinga yao. Most of the time mwenye kipato kikubwa ndo anakuwa na mizinga mikubwa wakati kimsingi mtu unategemea huyu mwenye kipato kikubwa anaweza kujimudu somehow.
Tatizo wanaume wa hivyo wengi wao hawana muonekano mzuri, hivyo mkiwapata mnaishia kuwavuruga, mara muwaweke friend zone MakiwendoWanaume wote wa namna hiyo Mungu asiwahi kuwapungukia.
Najua ni jambo ambalo haliwezi kuisha kwa threads mbili au tatu litahitaji muda. Kwa sasa tupo kwenye hatua za mwanzo mwanzo sana za wanaume kuanza kuhoji hela ya mwanamke ina mchango gami kwenye familia. Uenda miaka 20 mbele kama tukijaliwa uzima watu watarudi hapa watasema Natafuta Ajira aliandika hiki kitu.Na tamaduni pia zina nafasi yake, kama vile ambavyo wengi labda hata ikiwemo wewe huwezi kupinga mahari kwa wanawake.
Labda ni tafsiri pia unaposema wanawake wasiwahitaji wanaume kifedha kabisaNimeshakuelewa mkuu, unataka balance, kijana asitwikwe mzigo wa kuhudumia na jamii.
Mimi nipo na mkuu Yoda ndo kanivuruga na option zake za wanawake kuwa na uwezo wa kujitegemea wasiwahitaji wanaume kifedha kabisa.