Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

Najua ni jambo ambalo haliwezi kuisha kwa threads mbili au tatu litahitaji muda. Kwa sasa tupo kwenye hatua za mwanzo mwanzo sana za wanaume kuanza kuhoji hela ya mwanamke ina mchango gami kwenye familia. Uenda miaka 20 mbele kama tukijaliwa uzima watu watarudi hapa watasema Natafuta Ajira aliandika hiki kitu.
Kubadilisha hili suala ni vigumu sana kwa sababu ni utamaduni unaoanza katika ngazi ya familia kabisa na nyumba za dini.

Nyumbani kwenu dada yako akifanya jambo au kama hajui kupika ataulizwa ataolewa na nani?

Mahubiri yote makanisani na misikitini ni wanaume wahudumie wake zao

Muziki na Sanaa yote ya Kitanzania inamuonyesha kama mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa zaidi kama mtoto mdogo tu

Mahari nayo ni mojawapo ya tamaduni kubwa za kuonyesha mwanamke ni kiumbe cha kuhudumiwa tu na mwanaume
 
Kitabu gani cha dini kinachosema mwanaume amhudumie mwanamke? ,, je kama umeoa mwanamke hana kazi wala fedha utaacha kumpa chakula afe njaa? Suala la sisi wanaume kuwapa wanawake chakula na malazi ni hisani . Kama vile mzazi anavyowapa watoto wake chakula
 
Yes, upo sahihi.
Mimi nimejaribu tu kuassume dunia ambayo mwanamke yeyote hataki huduma wala pesa kutoka kwa mwanaume kabisa. Itakuwa dunia ya aina gani.
Itakua dunia nzuri sana mwanamke akiwa submissive kwako unajua ni character yake. Akikwambia "nakupenda" unajua inatoka moyoni.
 
Kitabu gani cha dini kinachosema mwanaume amhudumie mwanamke? ,, je kama umeoa mwanamke hana kazi wala fedha utaacha kumpa chakula afe njaa? Suala la sisi wanaume kuwapa wanawake chakula na malazi ni hisani . Kama vile mzazi anavyowapa watoto wake chakula
Hili jambo la dini ninalokuambia hili hapa Natafuta Ajira
 
So, assumption ni wanawake wote. Let's assume tumefanikiwa wakawa hawataki huduma wanajiweza, kila mtu ana nyumba yake, pesa zake, kila mtu amhitaji mwenzake kifedha wala kihuduma. Nini kitafata? Happly ever after? Sidhani. Kuna balaa jipya litazaliwa.
Haha hata mm niliwaza mfano itokee siku moja duniani wanawake woote wawe matajiri, hlf hali ya wanaume kipesa iwe hivi hivi Kuna wanaume wengi sana watateseka na upwiru.. na wanaume wengi hawatopata nafasi ya kua na watoto genes zao zitakua extinct Tsh
 
Hakutakua na commercialization of relationship kwenye jamii, na mwanaume na mwanamke wataangaliana kama washirika, sio sponsor na chombo cha starehe kama ilivyo sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Labda ni tafsiri pia unaposema wanawake wasiwahitaji wanaume kifedha kabisa

Labda kwanza tujue kama sasa hivi wanaume wote wanajitegemea na hawawahitaji wanawake kifedha kabisa.
Nimepita kidogo Shule mkuu, kwenye somo la uchumi unaweza weka assumptions kuwa factors nyingine zisiathiri assumption yako. Sasa kwenye hili factors halisi zote nimeassume haziathiri assumption kuwa wanawake wana pesa na hawamhitaji mwanaume kifedha linapokuja suala la mapenzi. Then ndo swali sasa, what will happen?
 
Haha hata mm niliwaza mfano itokee siku moja duniani wanawake woote wawe matajiri, hlf hali ya wanaume kipesa iwe hivi hivi Kuna wanaume wengi sana watateseka na upwiru.. na wanaume wengi hawatopata nafasi ya kua na watoto genes zao zitakua extinct Tsh
Sasa imagine mwanaume umbile ni mvuringo. Yaani Kichwa kimeungana na mabega halafu vyote vimeungana na kitambi then vikabebwa na miguu membamba.

Ikitokea kila mtu hataki pesa zako Utapatwa na nini zaidi ya upwiru mpaka upate bipolar?
 
Mkuu hili jambo rahisi sana, wanawake nao watakuwa wanatofautina kiwango cha pesa kwa hiyo hata machaguzi yao yatakuwa tofauti, wapa wanawake watakuwa na IST, wengine Range, wengine ndege, wengine wanamiliki maghorofa, wengine bado wamepanga tu
 
Mkuu, wanawake wakiwahitaji wanaume kifedha ni advantage kwa wanaume kuliko mbadala wake. Trust me wanawake wakiwa matajiri tatizo ni kubwa kuliko wakiwahitaji wanaume.
Basi tuachane na usawa wa kijinsia. Fursa zote tumpe mwanaume ili aweze kumudu ilo takwa la kutegemewa na mwanamke.

Ukupewa elimu maana yake anajengewa uwezo wa kutafsiri mazingira na kupata majibu ya changamoto zinazokuzunguka.

Ukipewa ajira maana yake unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi. Utawajibika kujihudumia mahitaji yako pamoja na kuchangia kila kitu unachotumia

Sasa mwanamke apewe elimu lakini matatizo yake asuluhishiwe na mwanaume, apewe ajira lakini mahitaji yake kifedha yabebwe na mwanaume. Kuna maana gani ya mtoto wa kike kupewa hizo fursa za ajira na elimu kuanzia mwanzo.
 
Itakua dunia nzuri sana mwanamke akiwa submissive kwako unajua ni character yake. Akikwambia "nakupenda" unajua inatoka moyoni.
Hapa tu wamewezeshwa unaona hizi fujo mitaani za I am independent sasa imagine anakila kitu hataki fedha yako wala sijui huduma.
 
Mkuu hili jambo rahisi sana, wanawake nao watakuwa wanatofautina kiwango cha pesa kwa hiyo hata machaguzi yao yatakuwa tofauti, wapa wanawake watakuwa na IST, wengine Range, wengine ndege, wengine wanamiliki maghorofa, wengine bado wamepanga tu
Hahaha Kwa hiyo nisiogope ntapata tu wa kuninunua ambaye hana option? NO.

Sasa kwanini nikubali hiyo idea wakati hali ilivyo sasa pesa ikiwepo mimi ni handsome boy navuta yoyote naweka ndani?
 
Duh, mkuu, Hapo kwenye wanawake kununua Malaya wanaume ndo kabisaa kunanifanya nione hii idea hapana.
Kwani mashangazi wanaohudumia marioo wanafanya nini. Si ndio hiyo hiyo tu commercialization of sex.
 
Basi tuachane na usawa wa kijinsia. Fursa zote tumpe mwanaume ili aweze kumudu ilo takwa la kutegemewa na mwanamke.
Hii Naunga mkono hoja maana najua mwanaume anaweza mhudumia mwanamke na kusiwe na chaos as long as mwanaume ana ubinadamu na mwanamke ana heshima.
 
😂😂😂aaaah wanaume bahili ni tatizo
5a49d0d3ab7b28254269f165fcd1cc27.jpg
 
Uoni ilivyokaa kishamba na kitumwa? Mwanaume kulelewa na mwanamke unanyonya mpaka visivyonyonywa sio sababu umependa bali sababu umelipwa?
Hata Matajiri wanaume ambao wanawapa wanawake kila kitu wananyonya hivyo ambavyo unafikiri havipaswa kunyonywa.

Lakini kama sasa hivi wanawake wananyonya kwa sababu ya pesa sijui kwa nini unafikiri ni vibaya zaidi kwa wanaume wakinyonya kwa sababu ya pesa pia.
 
Sio kweli, angalia nchi kama China, Japan, Marekani, Ulaya au Scandinavia ambazo wanawake wana pesa na wanajitegemea zaidi wenyewe uone kama kuna shida yoyote.
Wakati fulani hivi nasoma Arusha nilijenga urafiki na demu mmoja mzungu mtu wa Itary. Kuna siku tukapanga kutoka tukaenda zetu pale hotel ya mount meru kwenye swimming pool.

Picha linaanza bill ya msosi imeletwa naona demu katoa hela yake kalipa wakati mimi nilishapanga kulipa bill zote mbili nichukue point 3. Nikasema sio kesi.

Umefika wakati wa kuondoka nikamwitia text nikamwelekeza dereva sehemu ya kumfikisha. Sasa ile natoa hela nimlipe dereva text demu akamaindi akapanda gari kwa hasira akamwambia dereva waondoke. Sijui shida nini hapo.

Baadae nikamcheki kumuuliza vipi mbona uliondoka kwa hasira. Demu akaanza kusema alikasikishwa na mimi kutaka kumlipia hela ya usafiri. Ni kama vile niliona amekuja kutumia hela zangu wakati yeye alichukulia kama meeting tu ya kukutana, kupiga story na kujuana. Ikabidi nianze kumuelekeza sikua na maana hiyo aliyofikiria.

Nikavuta picha hawa dada zetu wa kibongo hapo ungemlipia bill ya chakula, hela ya text angeiminya apande bodaboda na bado angekupiga mzinga
 
Back
Top Bottom