mod njooni mueditiIla wewe sijui maisha yako nje ya JF yakoje
Why uniquote na kujiongezea maneno uliyoamua wewe kmmk 🚮
mod njooni mueditiIla wewe sijui maisha yako nje ya JF yakoje
Why uniquote na kujiongezea maneno uliyoamua wewe kmmk 🚮
Mjini Daslamu, umekutana na mtu siku ya kwanza siku inayofuata simu yake imepasuka kioo tayari anataka kununua simu mpya ila hana pesa😁🤣🤣🤣Watu wana raha, na mnawapa? With no strings attached? Ni wapi huko na mimi nije?
Umenikumbusha juzi nimesoma mahali mwanaume anadai ameoa mwanajeshi siku moja ikasikika purukushani nje mwanamke akatoka, akamkimbiza mwizi mpaka akamkamata. Sasa mwanaume anadai anaogopa hata kuchepuka maana anajua atachezea kichapo...anataka kutoa talaka 🤣Na ndo tofauti ya gender equality na gender equity. Ukishasema usawa sio upande mmoja tu, ni pande zote bila kujali uhitaji.
Yaani kwenye equality huwezi kusema mwanaume hana haki ya kuwa na mtoto wake miezi ya kwanza sababu hamnyonyeshi. That's not equality, ila linapokuja suala la gender equity ndo tunapima vitu kama hivi ulivyosema.
Gender equity ni nzuri sababu inazingatia justice sio usawa tu ambao haufanyi kazi kila eneo. Mfano, equality it means tukiwa ndani tukasikia mngurumo nje mwanamke anaweza pia kwenda kutazama ni nini, si tuna haki sawa? Hata haki ya kuchunguza hatari nayo ni kwa usawa. But gender equity itaangalia mwenye muscles capacity ndo aende kuichunguza hatari.
Kwenye gender equity kama wote wawili mwanaume na mwanamke ambao ni wapenzi wanafanya kazi za kuwapa kipato au wana wazazi wao nani anatakiwa amuhudumie au ampe mwingine pesa?Na ndo tofauti ya gender equality na gender equity. Ukishasema usawa sio upande mmoja tu, ni pande zote bila kujali uhitaji.
Yaani kwenye equality huwezi kusema mwanaume hana haki ya kuwa na mtoto wake miezi ya kwanza sababu hamnyonyeshi. That's not equality, ila linapokuja suala la gender equity ndo tunapima vitu kama hivi ulivyosema.
Gender equity ni nzuri sababu inazingatia justice sio usawa tu ambao haufanyi kazi kila eneo. Mfano, equality it means tukiwa ndani tukasikia mngurumo nje mwanamke anaweza pia kwenda kutazama ni nini, si tuna haki sawa? Hata haki ya kuchunguza hatari nayo ni kwa usawa. But gender equity itaangalia mwenye muscles capacity ndo aende kuichunguza hatari.
Wakati mwingine huwa ni coincidence tu. Ila kama mna mahusiano ni haki uombwe bwashe hilo halikwepekiMjini Daslamu, umekutana na mtu siku ya kwanza siku inayofuata simu yake imepasuka kioo tayari anataka kununua simu mpya ila hana pesa😁
HahahaUmenikumbusha juzi nimesoma mahali mwanaume anadai ameoa mwanajeshi siku moja ikasikika purukushani nje mwanamke akatoka, akamkimbiza mwizi mpaka akamkamata. Sasa mwanaume anadai anaogopa hata kuchepuka maana anajua atachezea kichapo...anataka kutoa talaka 🤣
Kwenye equity wanaangalia gender justice.Kwenye equity kama wote wawili mwanaume na mwanamke ambao ni wapenzi wanafanya kazi za kuwapa kipato au wana wazazi wao nani anatakiwa amuhudumie au ampe mwingine pesa?
Hii sio gender justice, ni utamaduni tu uliozoeleka Africa zaidi.Kwenye equity wanaangalia gender justice.
It means kama wote mna kipato mwanaume atachukua majukumu makuu ya kiuchumi na mwanamke atacover gap inapotokea huku akifanya majukumu yake ya kike kwa mwanaume.
It does not mean kuwa ni lazima mwanaume ateseke kama hana huku mwanamke yupo na cash ndani, ni haki kabisa mwanamke kuspend pale ambapo kuna uhitaji wa kufanya hivyo.
Kama mwanamke ana kipato na mwanaume hana atahudumia familia bila kumgeuza mwanaume kuwa mwanamke huku mwanaume akijaribu kurudi kwenye nafasi yake ya kubeba jukumu la huduma kwa familia yake.
Balance nzuri kabisa, No chaos just respect
Coincidences zikiwa mara nyingi zinajirudia au nyingi za kufanana zinakuwa ni pattern.Wakati mwingine huwa ni coincidence tu. Ila kama mna mahusiano ni haki uombwe bwashe hilo halikwepeki
Anatimiza wajibu wake kama mtu mzima. Angeishi mwenyewe angepata kila kitu free?Atakataaje wakati unampunguzia mzigo?
Sawa, unaweza kuiita utamaduni but ni utamaduni ambao unakubalika na nature na hausababishi behaviors chaos. Kama tu wanyama walivyo na utamaduni.Hii sio gender justice, ni utamaduni tu uliozoeleka Africa zaidi.
Maana tungeteseka sana katika Dunia ya sasa.Hahaha......bora tumezeeka sasa 😅
Kwa hiyo kama mwanamke ataishi kama alivyokuwa anaishi wakati yupo single mchango wako wewe mwanaume kwenye hiyo ndoa ni upi? Maana toka mkeo ameingia hapo haujifulii, haupiki, hausafishi nyumba, haununui tena malaya, na mengine mengi siwezi kuyaandika yote hapa....bado unataka ulishwe, ulipiwe kodi.Anatimiza wajibu wake kama mtu mzima. Angeishi mwenyewe angepata kila kitu free?
Basi kila mtu akae na chake, kama unaona utelezi si kituHuu waraka uwafikie wadangaji wote. Yaani wanafikiri wanastahili kula jasho la mwanaume kwa kutoa utelezi tu.
Ila mtu ukitaka kulinda mfuko wako suluhisho si linaeleweka 😁Coincidences zikiwa mara nyingi zinajirudia au nyingi za kufanana zinakuwa ni pattern.
Hakika Mkuu 😅Maana tungeteseka sana katika Dunia ya sasa.
Tunaendelea kujifunza Mkuu, elimu haina mwishoBasi hapa inabidi na wazee wetu mchukue somo kwamba batch ya wanawake mliyo-deal nayo nyie ni tofauti na batch ya wanawake wa kisasa. Wanawake wetu wa kisasa wakisikia neno kuhudumiwa hawajui tofauti ya needs na wants