Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mfano wapi ambako haki sawa inatekelezwaNi kweli Mimi naungana na mtoa mada , haki sawa ni pamoja nahuduma, kwanini kwenye vingine iwe haki sawa LAKINI kwenye matunzo iwe kazi ya mwanaume
Mfano wapi ambako haki sawa inatekelezwaNi kweli Mimi naungana na mtoa mada , haki sawa ni pamoja nahuduma, kwanini kwenye vingine iwe haki sawa LAKINI kwenye matunzo iwe kazi ya mwanaume
Wanaume wana upendo sana,Kinyama
Lolote liwakute wanaume bahili
Kwenye elimuMfano wapi ambako haki sawa inatekelezwa
Kwani nani huwa anadai kuhudumiwa na wanaume wa ofisini?Kwenye elimu
Ajira za maofisini
Washika pesa wote wa kampuni za mabasi sasa hivi ni wanawake ila ukiwatongoza bado wanaomba pesa tena!Mfano wapi ambako haki sawa inatekelezwa
kwani wao wanatupa niniWewe ni handsome nini mkuu? Maana sasa mwanamke kama asipotaka huduma na pesa kabisa ajitegemee alternative yake ni umbile zuri, umvutie ili upewe.
Sasa wengine tuna mapua kama vile wakati wa uumbaji kipande cha tope kilitupwa tu usoni kikatobolewa matundu mawili kila mwanamke akikataa kuhudumiwa tutoe nini ili tupewe?
Karibia 90% ya wanawakeKwani nani huwa anadai kuhudumiwa na wanaume wa ofisini?
Ila wewe sijui maisha yako nje ya JF yakojeWanaume wana upendo sana,
Hakuna atakayesema lolote liwakute wanawake ombaomba na tegemezi kwa kila kitu.
Ukishawatongoza wana haki ya kukuombaWashika pesa wote wa kampuni za mabasi sasa hivi ni wanawake ila ukiwatongoza bado wanaomba pesa tena!
Kabisatafuta bro
Kuna vitu ukivibadili vinaleta ugumu zaidi, mfano, gender equality tunapoelekea italeta shida sababu wanaume wakiitaka katika uhalisia wake itakuwa ni chaos.Balance gani mkuu?
Ni kwa sababu haya ndio maisha unayoyajua na uliyoyaona so far ndio maana unafikiri ni permanent order, inawezekana yakaja maisha ya mfumo mwingine kabisa na order ikaendelea kuwepo tu.
Inamaana hujui wanawake wanatoa nini mkuu?kwani wao wanatupa nini
Sio kweli, yaani mimi nimkamate tu shati mwanaume amejitokea kwao huko ana familia yake nianze kudai huduma? Si nitakuwa nimechanganyikiwaKaribia 90% ya wanawake
Nitakufuata DM tuwe tunaongea private kama hutaki niku quote.Ila wewe sijui maisha yako nje ya JF yakoje
Why uniquote na kujiongezea maneno uliyoamua wewe kmmk 🚮
Ni kweli, wanawake wengi wa mjini wamechanganyikwa maana hivi ndivyo wanavyofanya.Sio kweli, yaani mimi nimkamate tu shati mwanaume amejitokea kwao huko ana familia yake nianze kudai huduma? Si nitakuwa nimechanganyikiwa
Kwani lengo la likizo ya uzazi huwa ni nini tuanzie hapo kwanza 🤣🤣 unataka ukae nyumbani hata kumvika mtoto nepi hujui hiyo likizo utakaa unafanya nini? Ulibeba mimba na wewe kwamba hicho kipindi mwili wako una-heal? Au unanyonyesha kichanga?Kuna vitu ukivibadili vinaleta ugumu zaidi, mfano, gender equality tunapoelekea italeta shida sababu wanaume wakiitaka katika uhalisia wake itakuwa ni chaos.
Sasa hivi inatakiwa dunia iachane na gender equality iende kwenye gender equity.
Mfano makazini. Tukisema equality it means kama mwanamke ana likizo ya uzazi miezi mitatu na mwanaume naye awe na likizo ya uzazi miezi mitatu. Hii ndo equality, sasa unaona chaos hiyo?
Lakini gender equity inapima needs sio usawa tu. Inauliza kuna uhitaji na justice kwenye huo usawa?
Hili jambo nadhani unalikuza sana kuhusu uhalisia wake. Hivi mtu akiomba umnunulie soda ndio hiyo umetafsiri kuwa ni kudai huduma?Ni kweli, wanawake wengi wa mjini wamechanganyikwa maana hivi ndivyo wanavyofanya.
Wanaomba pesa ya kusuka, kununua simu, kulipa kodi na mtungi mkubwa wa gesi.Hili jambo nadhani unalikuza sana kuhusu uhalisia wake. Hivi mtu akiomba umnunulie soda ndio hiyo umetafsiri kuwa ni kudai huduma?
🤣🤣🤣Watu wana raha, na mnawapa? With no strings attached? Ni wapi huko na mimi nije?Wanaomba pesa ya kusuka, kununua simu, kulipa kodi na mtungi mkubwa wa gesi.
Na ndo tofauti ya gender equality na gender equity. Ukishasema usawa sio upande mmoja tu, ni pande zote bila kujali uhitaji.Kwani lengo la likizo ya uzazi huwa ni nini tuanzie hapo kwanza 🤣🤣 unataka ukae nyumbani hata kumvika mtoto nepi hujui hiyo likizo utakaa unafanya nini? Ulibeba mimba na wewe kwamba hicho kipindi mwili wako una-heal? Au unanyonyesha kichanga?