Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #21
Hakuna ubaya wa kupenyeza rupia kwenye nyufa kama msuli huo unao. Lakini at any point ukiona ushapata unachokitaka unaweza kuwithdraw huduma unazotoa. Mimi naongelea ule wajibu ambao inaonekana uwekwa kama shurti kwamba mwanaume ni lazima amuhudumie mwanamke.Hapa kazi ipo maana kuna waongaji wengi wala hawaombwi kuhonga, wakishaona mwanamke ana kalio kubwa na mweupe kabla hawajaombwa weshahonga.
Hapa tunapojadili huu uzi kuna wenye makalio yao weshakatiwa tickets za kwenda Dubai halafu wala hawakuomba, ni surprise tu kutoka kwa wahongaji wabobevu na changamoto iliyopo ni kwamba, hawajali.
Pia nimegusia vijana ambao bado wanajitafuta sio salama kwao kubeba jukumu la kumuhudumia girlfrend.
Wanawake pia wanaweza kupata somo kwamba kama wanataka jamii yenye wanaume bora basi wanatakiwa kuwa tayari kutoa ushirikiano sio kuwa wanyonyaji, au kama wanaona kutoa ushirikiano ni risk(kuofia uko mbeleni mwanaume akifanikiwa atamuacha na kwenda kwa mwingine) basi angalao wawaache hawa vijana wajijenge bila ya wao kutaka kupata kwenye hicho hicho kidogo walichonacho hao vijana