Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Natunza hii comments kwa screenshotsMwanaume anayehudumia gf namuona mjinga.
Natunza hii comments kwa screenshotsMwanaume anayehudumia gf namuona mjinga.
Assumption ni ulimwengu ambao wanawake hawahitaji huduma kabisa wala pesa, wanajitegemea.Katika ulimwengu huo wanaume wa aina yako mtapata wanawake wa miaka 40+ wasio na pesa.
Hata sasa hivi sio wanaume wote wenye pesa ila bado hata wasio na pesa wanapata wanawake na wanawazalisha, kinachotokea unakuta wengi wao tu sio wale wanawake wa malengo yao.Assumption ni ulimwengu ambao wanawake hawahitaji huduma kabisa wala pesa, wanajitegemea.
Mwanamke ametajwa kama mwakilishi wa wanawake wote na pia ni specific kwa mwanamke ambaehayupo katika qualifications tajwa chini yake.Hapa unamaanisha mkeo au mwanamke tu unayetaka kumuingilia uburudike?
Sina shida wala chuki na wahongaji. Naelewa kabisa linapokuja suala la sexual desire wapo wanaume ambao hakuna logical explanation utawapa watakuelewa.Huu ndio ukweli mchungu ambao mleta uzi anapaswa kufahamu japo ana point muhimu kwenye uzi wake.
Bado hamjui mnataka nini kwa ujumla wake kati ya mfumo dume na usawa wa kijisnia. Mnabadilika badilika kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment.Kwani mtoa mada ukiambiwa na nani kuwa sisi tunachukia mfumo dume?
Na tamaduni pia zina nafasi yake, kama vile ambavyo wengi labda hata ikiwemo wewe huwezi kupinga mahari kwa wanawake.Sina shida wala chuki na wahongaji. Naelewa kabisa linapokuja suala la sexual desire wapo wanaume ambao hakuna logical explanation utawapa watakuelewa.
Huduma siyo chakula na labda mavazi tu ht kutombwa ni huduma, ulitaka hiyo huduma atoe naniKuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa.
Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na hiyo ilifanya iwe shurti kwa mwanaume kumuhudumia mwanamke
Lakini katika society dynamics ya leo ambayo mwanaume na mwanamke wana fursa sawa. Mwanaume anatakiwa kuendelea kubeba hilo jukumu?
Ukiuliza hilo swali utajibiwa hiyo imeandikwa kwenye vitabu vya dini, ni wajibu wa mwanaume, ni tamaduni, ni natural design n.k. Hakuna logical explanation kwamba katika ulimwengu wa fursa sawa kwanini mwanaume aendelee kumuhudumia mwanamke.
Kiuhalisia hii idea inapingana na nyakati tulizopo sasa. Wanawake wetu kwa sasa wana fursa sawa na mwanaume, na tuna wanawake wengi kwenye jamii wanafanya vizuri kiuchumi zaidi ya wanaume wanaowazunguka.
Mfumo dume ambao wanawake wanaupinga(ingawa bado wanazitaka benefits zake) unamfanya mwanaume ajikute kwenye mtego wa kubebeshwa matarajio ya kumwezesha na kumwinua mwanamke hata kwenye nyakati ambazo kufanya hivyo kunachelewesha au kunapunguza maendeleo ya mwanaume husika.
Women are still holding on to the traditional values of patriarchy when it benefits them while disadvantages men, but fight the traditional values of patriarchy that don't work in their favor like male authority and gender roles.
Lakini linakuja swali: kwanini wanaume wanaendelea kuwahudumia wanawake wakati jinsia zote zimepewa fursa sawa?
Jibu ni kwa sababu wanaume wanaona ni wajibu wao. Male dominance assumed that mwanaume ndie mwenye access ya fursa na resources zote kwahiyo anawajibika kum-support mwanamke.
Huu wajibu umetoka wapi? Mfumo dume uliupandikiza wajibu huo kwenye akili za wanaume. Kumbuka ni mfumo dume huo huo unapingwa na wanawake, jamii na dunia kwa ujumla.
Sasa hawa wanaume wanawainua wanawake ambao tayari wana programs nyingi za kuwawezesha (women empowerment), wakati huo wanaume hawa wanabaki hawana chochote cha kuwainua wao watakapokua kwenye nafasi ya kuhitaji msaada.
And since the times have changed most of the women these young men invest in, they don't end up staying in their lives. These men end up alone and broke after pouring all their resources into temporal women who eventually become more successful than them and move on.
The patriarchy which teaches men to provide for women is no longer relevant when we apply the value of equal opportunity for men and women. If we agreed to abolish patriarchy we must get lid of this idea of men providing for women. You can't condemning patriachy and still want it benefits. Men providing for women is patriarchy.
Feminists are strong and independent women. They don't need a man to pay their bills.
Don't be a simp.
Yes, upo sahihi.Hata sasa hivi sio wanaume wote wenye pesa ila bado hata wasio na pesa wanapata wanawake na wanawazalisha, kinachotokea unakuta wengi wao tu sio wale wanawake wa malengo yao.
Itakuwa dunia poa sana, mapenzi yatakuwa ya kweli kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyo sasa.Yes, upo sahihi.
Mimi nimejaribu tu kuassume dunia ambayo mwanamke yeyote hataki huduma wala pesa kutoka kwa mwanaume kabisa. Itakuwa dunia ya aina gani.
So, assumption ni wanawake wote. Let's assume tumefanikiwa wakawa hawataki huduma wanajiweza, kila mtu ana nyumba yake, pesa zake, kila mtu amhitaji mwenzake kifedha wala kihuduma. Nini kitafata? Happly ever after? Sidhani. Kuna balaa jipya litazaliwa.Mwanamke ametajwa kama mwakilishi wa wanawake wote na pia ni specific kwa mwanamke ambaehayupo katika qualifications tajwa chini yake.
-ana nguvu na akili timamu(hapa tunaexclude watoto wadogo, walemavu n.k
-sio ndugu yangu
-hajanisaidia kutafuta(hapa ndipo kundi kubwa la parasites women lipo)
Mke anaweza kuwa na mchano au asiwe nao, lakini mara nyingi kama umeona anafaa mpaka ukamuoa maana yake mchango wake umeuona
Mmh, sidhani, ukifuta access ya ngono kwa mwanaume mpaka apendwe ndo aipate utazalisha tatizo kubwa mno.Itakuwa dunia poa sana, mapenzi yatakuwa ya kweli kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyo sasa.
Commercialization of sex sio huruma, ipo influenced zaidi na umasikini wa wanawake. Jamii yetu ni masikini na kujua au kutojua tumeamua kuikumbutia dhana kwamba mahusiano ni njia ya kumwezesha mwanamke kuondokana na umasikini au kupunguza ukali wa maisha. Kwahiyo tuache kuipamba hii biashara ya ukahaba kwa majina matamu tamu ya kuhudumiwa, sijui huruma n.kSure ila mahusiano na mwanamke na umhudimii ni mahusiano ya kuhurumiwa hayo, very risk.
Kijana kama hutaki kuhudumia option ni kujichua, kutafuta asiye na options kabisa na sijui kama yupo, kununua Malaya au kutafuta mshangazi ulelewe maana option ya kuonewa huruma kuna siku utatoa tu mlio.
Wanaume wata adapt tu, lakini pia hao wanawake wenye pesa watakuwa wananua malaya wanaume kama sasa hivi ambavyo wanaume wenye pesa wananunua malaya wanawake, kitakachobadilika ni kwamba biashara hautakuwa kubwa kama sasa. Pia wanawake watakuwa free zaidi na ngono bila kujali gharama za mimba na ujauzito kwa sababu ya uwezo wao wa kipesa.Mmh, sidhani, ukifuta access ya ngono kwa mwanaume mpaka apendwe ndo aipate utazalisha tatizo kubwa mno.
Wanaume hatufanyi ngono sababu ya mapenzi pekee, ngono kwetu ni hitaji la kudumu, ni pleasure.
Mkuu, wanawake wakiwahitaji wanaume kifedha ni advantage kwa wanaume kuliko mbadala wake. Trust me wanawake wakiwa matajiri tatizo ni kubwa kuliko wakiwahitaji wanaume.Commercialization of sex sio huruma, ipo influenced zaidi na umasikini wa wanawake. Jamii yetu ni masikini na kujua au kutojua tumeamua kuikumbutia dhana kwamba mahusiano ni njia ya kumwezesha mwanamke kuondokana na umasikini au kupunguza ukali wa maisha. Kwahiyo tuache kuipamba hii biashara ya ukahaba kwa majina matamu tamu ya kuhudumiwa, sijui huruma n.k
Suala la kununua malaya sio minimum choice kama ulivyoliweka wewe. Kuna watu wana uwezo wa kuhudumia lakini wanaprefer kununua kwa sababu ya kuepukana na drama za wanawake, kukosa uhuru unapokua kwenye mahusiano n.k
Mimi binafsi sina shida na commercialization of relationship, na wala silalamiki kusema kwamba sina uwezo wa kuingia tinder na kufanya mpango wa ku-import mzigo geto, lakini kuna consequences zake kama wanawake kutumika kama chombo cha starehe, epidemic of single mothers and fatherless kids n.k. Hizi consequences zikifika kwenye familia zetu tutaendelea kuunga mkono hii relationship commercialization?
Sio kweli, angalia nchi kama China, Japan, Marekani, Ulaya au Scandinavia ambazo wanawake wana pesa na wanajitegemea zaidi wenyewe uone kama kuna shida yoyote.Mkuu, wanawake wakiwahitaji wanaume kifedha ni advantage kwa wanaume kuliko mbadala wake. Trust me wanawake wakiwa matajiri tatizo ni kubwa kuliko wakiwahitaji wanaume.
Nafurahi sana nikiona mtu ameelewa msingi wa point yangu.Jamii imewekeza mabilioni ya fedha kwenye Girl Child Empowerment , mashirika, ufadhili wa masomo, fursa za ajira, ujasiriamali na mikopo kwa wanawake. Wakati huohuo, Boy Child mara nyingi anaachwa ajipambanie mwenyewe kwenye ushindani uleule wa maisha.
kama jamii imeweka nguvu zote hizo kumwezesha mwanamke awe na uwezo wa kujitegemea kiuchumi, kwa nini baadaye mwanamke huyo huyo aelekezwe kwamba ni lazima ahudumiwe na mwanaume ambaye hakupata fursa hizo za uwezeshaji?
Kama tunataka usawa, basi tuwe na msimamo mmoja: uwezeshaji uwe kwa wote, na majukumu ya kifedha yasigeuzwe kuwa haki ya upande mmoja. Huwezi kumfundisha mtu kujitegemea kwa miaka mingi, halafu ukamwambia bado lazima ategemee mtu mwingine.
Duh, mkuu, Hapo kwenye wanawake kununua Malaya wanaume ndo kabisaa kunanifanya nione hii idea hapana.Wanaume wata adapt tu, lakini pia hao wanawake wenye pesa watakuwa wananua malaya wanaume kama sasa hivi ambavyo wanaume wenye pesa wananunua malaya wanawake, kitakachobadilika ni kwamba biashara hautakuwa kubwa kama sasa. Pia wanawake watakuwa free zaidi na ngono bila kujali gharama za mimba na ujauzito kwa sababu ya uwezo wao wa kipesa.
Haswaa kila mtu anafanya hivyo, hata ninyi mnapenda mfumo dume linapokuja suala la kumweka mwanamke kwenye kiganja ila majukumu yanayoambatana na huo mfumo dume mnayakimbiaBado hamjui mnataka nini kwa ujumla wake kati ya mfumo dume na usawa wa kijisnia. Mnabadilika badilika kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment.