Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Namba moja nimeipenda. Ndo kiwe kiitikioKiitikio hakifai kabisa.
SAALAM.
Nawasalimu kwa jina na Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
KIITIKIO NAPENDEKEZA
1, Tuilinde na kuijenga nchi yetu
2. Tuwaenzi waasisi wake
Bora hata wakiristo kidogo wako rational kidogo.Unafahamu maana ya udini au unaongea mambo usiyoyafahamu
Je Adam na Hawa wapo mbinguni au motoni?
Adam na Hawa ndio watu wa kwanza na walifanya makosa
Unajua wapo wapi Mbinguni au Motoni?
Usiongee mambo usiyoyajua kuhusu udini
Rudi shule kasome sana maana ya hizi Dini
Zilikuwepo dini kabla ya uislamu na ukristo
uislam na ukristo ni Dini za karibu tu
Kwani unajua maana ya salamu aliyoitoa katanga ni nini????Wanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake,
Ikumbukwe pale kuna makundi mengi
Mama Samia aligundua kundi kubwa halijaridhika na ile Salamu Yeye akasalimia kwa Salamu mpya yaani"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni maoni yangu tu bora kama mtu anaona kusalimia kwa lugha za dini ni kero basi atumie" Habari zenu wananchi"
Wanasiasa wanasalimia kwa lugha zote ili kuleta umoja, Sasa ukisalimia kwa imani yako tu hii itagusa watu fulani tu
Nakupongeza sana Mama Samia kwa kuliona hilo na kulirekebisha pale pale kuna ujumbe umetuma kwa huyo msaidizi wako
Kwani salamu ya huyo wa kwanza ni ya kidini??? Acheni upuuzi. Tafuteni maana Hilo nenoNikikusoma vizuri mleta mada kwangu naona hata huyo unayemsifia kwa kurekebisha naona nae hakurekebisha chochote, kwani kusema "nawasalimu kwa jina la muungano" ndio salamu ya hilo kundi kubwa unalosema halikusalimiwa mwanzo?
Nae naona amekwepa kutoa salamu stahiki kwa hilo kundi jingine kama ambavyo unamlaumu huyo wa kwanza kutokutoa salamu, alitakiwa kuwa straight kutoa salamu stahiki, sio kuleta salamu mpya ya kijanja.
Mnasumbuliwa na v2 vdg snUdini utarudi kwa kasi ya 4G .taarabu kupigwa ikulu nk
Nani alikwambia Salaam Allahkum ni salaam ya kiislam?Wanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake,
Ikumbukwe pale kuna makundi mengi
Mama Samia aligundua kundi kubwa halijaridhika na ile Salamu Yeye akasalimia kwa Salamu mpya yaani"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni maoni yangu tu bora kama mtu anaona kusalimia kwa lugha za dini ni kero basi atumie" Habari zenu wananchi"
Wanasiasa wanasalimia kwa lugha zote ili kuleta umoja, Sasa ukisalimia kwa imani yako tu hii itagusa watu fulani tu
Nakupongeza sana Mama Samia kwa kuliona hilo na kulirekebisha pale pale kuna ujumbe umetuma kwa huyo msaidizi wako
Udini gani??? Hivi Unajua maana ya salamu aliyotoa Katanga ni nini???Udini utarudi kwa kasi ya 4G .taarabu kupigwa ikulu nk
Nani alikwambia Salaam Allahkum ni salaam ya kiislam?
Chawaaa....! Mtupumzishe jaman tushachokaaa..., twende na Samia
Wosia wa Rais wa awamu ya tano huoChawaaa....! Mtupumzishe jaman tushachokaaa..., twende na Samia
Udini utarudi kwa kasi ya 4G .taarabu kupigwa ikulu nk
Wajinga wapo wengi sana nchi hii! Akikujibu hilo swali nitagg
Asalam Alaykum sio salam ya waislamu.Wanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake,
Ikumbukwe pale kuna makundi mengi
Mama Samia aligundua kundi kubwa halijaridhika na ile Salamu Yeye akasalimia kwa Salamu mpya yaani"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni maoni yangu tu bora kama mtu anaona kusalimia kwa lugha za dini ni kero basi atumie" Habari zenu wananchi"
Wanasiasa wanasalimia kwa lugha zote ili kuleta umoja, Sasa ukisalimia kwa imani yako tu hii itagusa watu fulani tu
Nakupongeza sana Mama Samia kwa kuliona hilo na kulirekebisha pale pale kuna ujumbe umetuma kwa huyo msaidizi wako
Mama yetu ameanza vibaya. Namfuatilia sana. Kabeba sana Uislam na Uzanzibar. Sijui kama tutafika.Nikikusoma vizuri mleta mada kwangu naona hata huyo unayemsifia kwa kurekebisha naona nae hakurekebisha chochote, kwani kusema "nawasalimu kwa jina la muungano" ndio salamu ya hilo kundi kubwa unalosema halikusalimiwa mwanzo?
Nae naona amekwepa kutoa salamu stahiki kwa hilo kundi jingine kama ambavyo unamlaumu huyo wa kwanza kutokutoa salamu, alitakiwa kuwa straight kutoa salamu stahiki, sio kuleta salamu mpya ya kijanja.
Nakwambia kwa Kweli. Wajinga nchi hii wako wengi sana . Hawajui hata hao waarabu wapo wakristo, waislamu na hata wasio dini na wote wakisalimiana wanatumia salamu iyoiyo.Kweli wajinga wengi sana na kamwe hawawezi kuisha yaani bado anajua As-salamu alaykum ni kiislam hahaaa.
As-salamu alaykum is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you"