Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

Hapana bruh siwezi beba majukumu ya mzazi wake kisa papuchi, i can't....

Nipo natafuta mamsapu huyo ndo atakaye faidi my money Ila sio Hawa vibaka kwa kisingizio Cha penzi πŸ˜‚
Mkuu ,
Au nikutafutie mshangazi hapa ilala Ila nakuhurumia usije kua kama NUH MZIWANDA.

Haaahaa 😊 πŸ˜† natania TU ndugu yangu.

#Tunza kibunda ndoa ni scam utapeli wizi na ujambazi

πŸ–•Hio ndio hashtags za TEAM KATAA NDOA 😊😊
 
Ni kweli Ina mambo mengi mazuri kwa mabaya, Ila mwanaume ukasimama kwenye nafasi yako vzr kila kitu kitaenda sawa,

Mshangazi hapana πŸ˜‚ nataka nimzd kila kitu waifu kama umri, kipato, sasa mm kulala na mtu wa miaka 40, sjui 30+ aaaah hapo hapana mkuu,
 
secretarybird mdogo etu anaogopa mishangazi naomba utoe neno lakoo ndugu yangu ☺️😊

Kweli mkuu ni vyema kujipanga na kuwa na financial freedom Ila sisi tulichagua kwenda na vyotee na tukasema tutakutana navyo mbele kwa MBELEE
Monetary doctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…