Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Hivyo bwana yule ameshaongea na taifa kulitakia happy new year?
 
Haijalishi kwavile matokeo ya mpasuko huo ni kuimarika kwa chama makini mshirika wenu ACT mlichopanda nacho milima na mabonde hadi kufika hapo mlipo sasa! Wao wanakula "bata" Zenji nyie mnagonga kuku wa Bara!

..umesahau kabla ya uchaguzi mkuu Prof alihudhuria mkutano mkuu wa ccm?

..ccm ina tabia ya kuwatumia wapinzani na baada ya muda huwatupa mkono.

..natumaini vyama vya upinzani vitalitambua hilo na kuamua kushirikiana kwa dhati.
 
Yule mwizi nafsi imemsuta kashindwa kutoa salaam za mwaka mpya. 2021 akiimaliza bila kupumzika kwa amani sijui!
Wakati wa uchaguzi mlisema hatoshinda, sasa hivi mnasema hatomaliza 2021 😂😂😂 wabongo bhana
 
Hahahaaa kwa hiyo yeye anapiagania kupitia wapi? Huko aliko na mvinyo na mishikaki Au anakuja huku aingie jela kama mandela?

Huyo mwacheni abinue kiuno huko na awaache watanzania wapambane kujiletea maendeleo.

Tundu lisu akija tanzania labda afanye kazi ya mgambo na kirungu😁😁😁😁😁😁

Kama anahitaji hayo mambo aje apambane hapa tz mpaka kieleweke na sio kula mishikaki huku akitaka watu waumie na yeye aje kula kilaini kabisa bila jasho.

Wapambane na shoga Amsterdam huko wakati sisi tuna wacheki tu na darubini kwa mbaali huku tuanachapa kazi.
 
Hahahaaa kwa hiyo yeye anapiagania kupitia wapi? Huko aliko na mvinyo na mishikaki Au anakuja huku aingie jela kama mandela?

Huyo mwacheni abinue kiuno huko na awaache watanzania wapambane kujiletea maendeleo...
una uwezo mdogo sana!
 
 
Hatoki mtu hapa, mtapiga kelele lakini JPM ndio kashika mpini na mtakonda kweli kweli.
 
What is "huru"? Is it the wording in the Act? Is it the person who heads it (a) lacks the required qualifications or (b) acts contrary to the law? I have seen many Tumes in the whole world, and here. If you ask me we are very huru...
Your mind is terribly under the influence, possibly a very potent newly discovered hallucinogen!
 
..umesahau kabla ya uchaguzi mkuu Prof alihudhuria mkutano mkuu wa ccm?

..ccm ina tabia ya kuwatumia wapinzani na baada ya muda huwatupa mkono.

..natumaini vyama vya upinzani vitalitambua hilo na kuamua kushirikiana kwa dhati.
Sijui kama ni 'TATIZO' kwetu, au ndiyo neema aliyotujalia Mungu: waTanzania hatuna kumbukumbu.
 
Hata mimi naanza kuamini Lipumba siyo CCM isipokuwa shetani alijipenyeza ndani ya CUF kulipokuwa na ufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…