Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kubwa sana !Sema na wewe Mkuu.
mkuu angalia post #62 halafu utupe maoni yakoWajinga ndio waliwao.
Tafuta tafsiri ya ''Wajinga ndio waliwao''.mkuu angalia post #62 halafu utupe maoni yako
😆😆😆Hivyo bwana yule ameshaongea na taifa kulitakia happy new year?
Haijalishi kwavile matokeo ya mpasuko huo ni kuimarika kwa chama makini mshirika wenu ACT mlichopanda nacho milima na mabonde hadi kufika hapo mlipo sasa! Wao wanakula "bata" Zenji nyie mnagonga kuku wa Bara!
Wakati wa uchaguzi mlisema hatoshinda, sasa hivi mnasema hatomaliza 2021 😂😂😂 wabongo bhanaYule mwizi nafsi imemsuta kashindwa kutoa salaam za mwaka mpya. 2021 akiimaliza bila kupumzika kwa amani sijui!
Ushaambiwa ni mwizi. Sasa mwizi naye unasema alishinda??Wakati wa uchaguzi mlisema hatoshinda, sasa hivi mnasema hatomaliza 2021 😂😂😂 wabongo bhana
Hakushinda kweliWakati wa uchaguzi mlisema hatoshinda, sasa hivi mnasema hatomaliza 2021 😂😂😂 wabongo bhana
Hahahaaa kwa hiyo yeye anapiagania kupitia wapi? Huko aliko na mvinyo na mishikaki Au anakuja huku aingie jela kama mandela?Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
Na wewe pambana na mwizi jiwe hapa.Wapambane na shoga Amsterdam huko
una uwezo mdogo sana!Hahahaaa kwa hiyo yeye anapiagania kupitia wapi? Huko aliko na mvinyo na mishikaki Au anakuja huku aingie jela kama mandela?
Huyo mwacheni abinue kiuno huko na awaache watanzania wapambane kujiletea maendeleo...
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
Your mind is terribly under the influence, possibly a very potent newly discovered hallucinogen!What is "huru"? Is it the wording in the Act? Is it the person who heads it (a) lacks the required qualifications or (b) acts contrary to the law? I have seen many Tumes in the whole world, and here. If you ask me we are very huru...
Sijui kama ni 'TATIZO' kwetu, au ndiyo neema aliyotujalia Mungu: waTanzania hatuna kumbukumbu...umesahau kabla ya uchaguzi mkuu Prof alihudhuria mkutano mkuu wa ccm?
..ccm ina tabia ya kuwatumia wapinzani na baada ya muda huwatupa mkono.
..natumaini vyama vya upinzani vitalitambua hilo na kuamua kushirikiana kwa dhati.
Mara ya kwanza alitaka kumwua kwa sababu ipi?Nani amuuwe,kwa kipi kwanza mpaka iwe ivyo?
Kilicho mkimbiza ni aibu ya kushindwa vibaya uchaguzi na kupukutishwa wabunge wote aliowakuta Chadema.
Hata mimi naanza kuamini Lipumba siyo CCM isipokuwa shetani alijipenyeza ndani ya CUF kulipokuwa na ufa.Lissu anaposema kuwa ni vigumu upinzani kushinda chaguzi bila katiba mpya ni ina maana anakishauri chama chake CHADEMA kisidiriki kushiriki chaguzi zijazo.
Kwa maneno hayo maana yake anasadikisha kauli na msimamo wa CUF uliotolewa na mwenyekiti wake Prof. Lipumba kwenye kongamano liloitishwa na chama hicho la uzinduzi wa kudai katiba mpya.
Kuna mashibiki humu wasiojitambua wamesimama kubeza misimamo ya CUF au mwenyekiti wake Lipumba hata kama ina matiki.
Ukweli ni kwamba Lipumba ana maono ya mbali ambayo wasiojitambua hawawezi kuyaona bali yanapotimia wanajenga chuki binafsi dhidi yake na kumchafua.
Mathali, Lipumba alimkataa Lowassa hata akajiuzulu uwenyekiti na wasiojitambua wakamtuhumu kuwa anatumika na CCM kutenza nguvu ya UKAWA wakisahau kuwa ushirika huo ulibuniwa na yeye. Mbali na hilo, CUF ilitoa msimamo mapema kabla ya uchaguzi uliopita kuwa haitashirikiana na chama chochote kitakachosimamisha Mgombea kutoka CCM. CHADEMA wakaona Lipumba ni mjinga na matokeo yake wakajinasibisha na ACT waliomsimamisha Membe wa CCM. Mbaya zaidi, Lissu huyu alidiriki kumuweka pingamizi Lipumba badala ya Membe wa CCM kwavile tu chama chake kilijitenga na "utopolo" wao waliouita "Ushirika wa CHAFEMA na ACT".
Alichokikataa Lipumba leo kimekuja kudhihiri mapema baada ya uchaguzi huo. Leo CHADEMA hawana hamu tena ya kujinashibisha na ACT bali wanaanza kufuata muongozo na harakati zilizobuniwa na CUF/Lipumba kuhusu madai ya katiba mpya.
Ushauri wangu kwa CHADEMA na mashabiki "wamsujudie" Lipumba bali wasitarajie kupata ushindi kwa kumchafua yeye na kuwatukuza makada kutoka CCM.