Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbona mnahangaika sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga wamechanganyikiwa ,hawaamini kabisa kama JIWE ameenda.Mbona mnahangaika sana?
ona wazungu wanavyo inamisha vichwa vyao paleKumbe alikua anatoa pesa zake za mshahara kujenga madaraja ya nchi nzima sababu aliikuta nchi ina madaraja ya miti eeh?
Yaani aliingia 2015 kulikuwa na barabara za vumbi nchi nzima.Kumbe alikua anatoa pesa zake za mshahara kujenga madaraja ya nchi nzima sababu aliikuta nchi ina madaraja ya miti eeh?
Hivi bado unaweweseka tu? Mbona wenzako
mama D
johnthebaptist
YEHODAYA
Pohamba
Jane Lowassa
Jidu La Mabambasi
Sumve 2015
Wameshakubali kuwa sasa jemedari aliyepo ni samia?
Mzungu gani anainamisha kichwa na marehemu alisema hao ni wakwamisha maendeleo aka mabeberu?ona wazungu wanavyo inamisha vichwa vyao pale
Wachina na Wajapan ni salaam zao hizo acheni ushambaona wazungu wanavyo inamisha vichwa vyao pale
C in C Samia Hassan Suluhu kisha sema " Mimi ndio Rais"Hivi bado unaweweseka tu? Mbona wenzako
mama D
johnthebaptist
YEHODAYA
Pohamba
Jane Lowassa
Jidu La Mabambasi
Sumve 2015
Wameshakubali kuwa sasa jemedari aliyepo ni samia?
mkuu sema Magufuli ni shujaa, rudia mara mbili, rudia tena.Wachina na Wajapan ni salaam zao hizo acheni ushamba
Huku ni kufosi sasamkuu sema Magufuli ni shujaa, rudia mara mbili, rudia tena.
Huku ni kufosi sasa
Ehee Mwamba wa TZ tena? Si tulikubaliana Africa?? Ehee ushaenda kwa Samia? Vipi Naye Mi10 tena?John Pombe Joseph Magufuli anabaki kuwa mwamba wa Tanzania, mchapa kazi na mtekelezaji na rais wa karne
Tutaendelea kumshukuru kwa kutuachia nchi imara na rasilimali za kutosha ikiwamo Ironlady Samia Suluhu Hassan🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan🇹🇿😍🙏
Mbona Maraisi wote wa mataifa member wa UN wanaofia Ofisini huwa wanashushiwa bendera za UN nusu mlingoti
Dah yan uko Twitter tundu kanichapa block sijui nimemkosea nini mpenda democrasia
mara pap Ndugai Makamu wa Rais, mtahama hii nchiMbona Maraisi wote wa mataifa member wa UN wanaofia Ofisini huwa wanashushiwa bendera za UN nusu mlingoti
Acheni ushamba !
Kwa mtizamo wangu kama kuna rais aliyewahi fanikiwa kuwagawanya watanzania na kuwapandikizia chuki ya kufikia kiwango cha kuuana kwa sababu ya tofauti zao ni Magu.Nawambieni msiposema kwamba JPM ni shujaa na mwamba wa Afrika hakika madaraja na maflaiova yatasema na barabara zitalalamika kwa kusagasaga tairi za magari yenu kila mtakapo funga breki na kuwakumbusheni.
View attachment 1734423
View attachment 1734424