Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

Dah yan uko Twitter tundu kanichapa block sijui nimemkosea nini mpenda democrasia
 
Kumbe alikua anatoa pesa zake za mshahara kujenga madaraja ya nchi nzima sababu aliikuta nchi ina madaraja ya miti eeh?
Yaani aliingia 2015 kulikuwa na barabara za vumbi nchi nzima.
Hata Daraja la mkapa limejengwa 2016
Daraja la kigamboni limejengwa 2018
HEP kidatu,mtera,nyumba ya mungu yamejengwa 2017.
 
Hivi bado unaweweseka tu? Mbona wenzako
mama D
johnthebaptist
YEHODAYA
Pohamba
Jane Lowassa
Jidu La Mabambasi
Sumve 2015


Wameshakubali kuwa sasa jemedari aliyepo ni samia?


John Pombe Joseph Magufuli anabaki kuwa mwamba wa Tanzania, mchapa kazi na mtekelezaji na rais wa karne

Tutaendelea kumshukuru kwa kutuachia nchi imara na rasilimali za kutosha ikiwamo Ironlady Samia Suluhu Hassan🙏

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan🇹🇿😍🙏
 
Sawa! Ila kuna roho za watu zitakazosononeka kwa kukatishwa uhai kabla ya wakati! Mungu amuweke anapostahili.
 
Huku ni kufosi sasa
Screenshot_20210323_165029.jpg
 
John Pombe Joseph Magufuli anabaki kuwa mwamba wa Tanzania, mchapa kazi na mtekelezaji na rais wa karne

Tutaendelea kumshukuru kwa kutuachia nchi imara na rasilimali za kutosha ikiwamo Ironlady Samia Suluhu Hassan🙏

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan🇹🇿😍🙏
Ehee Mwamba wa TZ tena? Si tulikubaliana Africa?? Ehee ushaenda kwa Samia? Vipi Naye Mi10 tena?
 
Huyo ndio haswaa dictator uchwara! Angekuwa na mamlaka angeku shoot! Au angetumia mamlaka yake kukunyamazisha milele🤔!
Dah yan uko Twitter tundu kanichapa block sijui nimemkosea nini mpenda democrasia
 
Nawambieni msiposema kwamba JPM ni shujaa na mwamba wa Afrika hakika madaraja na maflaiova yatasema na barabara zitalalamika kwa kusagasaga tairi za magari yenu kila mtakapo funga breki na kuwakumbusheni.

View attachment 1734423

View attachment 1734424
Kwa mtizamo wangu kama kuna rais aliyewahi fanikiwa kuwagawanya watanzania na kuwapandikizia chuki ya kufikia kiwango cha kuuana kwa sababu ya tofauti zao ni Magu.
Wengi tulimwonya na kuandika ila hakusikia.
Tulimwambia mtu kama Lissu mpinzani wake baada ya kupona risasi 16 na kurejea Tz asifikiri muujiza huu ni kwamba Mungu anamtia mikononi mwake. Ajihadhari, lakini sikio la kufa halisikii dawa. Kama farao na jeshi lake walivyoona maji ya bahari ya shamu yamefunguka kwa wana wa Israel kupita wakafikiri ni fursa yao pia kuwafuatilia na kuwaua katika ile hali. Ndipo walipofikilia mwisho wao. Mimi sio nabii na wala sina lililo jema zaidi ya mwingine ila ninachotaka kumaanisha hapa urais wa Magu ulikoma kipindi cha kwanza. Hii mitano tane alilazimisha akifikiri kuwa Mungu ni wa kufanyia mdhaha. Gharama aliyoilipa ni ile ambayo TB jushua alimtembelea akiwa peku ila Magu hakuweza kujifunza lolote juu ya ujio wa nabii yule.
Sina kinyongo na The late Magu zaidi ya kumwombea huko aendako.
Sauli mfalme hakujibiwa kwa ndoto wala urimu thumimu wala manabii ndipo chaguzi lake la mwisho liliangukia sehemu ya chini kabisa katika kudharaulika, yaani kwa mwanamke mchawi wa Endori.
Sauli sawa na israel alikuwa ndani ya neema ya kuokolewa kwa Israel kama taifa laiti ingekuwa hivyo hata sasa.
Kibaya kwetu sisi mataifa Mungu hashughuliki na taifa ila mtu binafsi.
R,I.P the late HE JPM.
 
Back
Top Bottom