Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu.
Mioyo haijandaganyi jamani, utafurukuta wee lakini mwisho wa siku dhamira yako itajitokeza tu siku siku moja. Mwamba huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
Nawakumbusha tu, tusisahau mambo muhimu yanayoendelea nchini, ripoti ya CAG, wamekuja na mpya nyingine ya mafao ya wenza wa viongozi. Amkeni, wananchi wanategema kufanya maamuzi kutokana na tunavyowalisha!
Safii Sanaa Makonda,kumbe una moyo safi bado unamkumbuka baba Yako!!Hapa kidogoooo umeanza kunishawishi....
Nakumbuka Lowassa alivyokuwa anagombania uraisi kila saa anakosea,CCM oyee!
Unakumbuka wale vijana wa YouTube walioandikaga Mwendazake atoroka freemason na kusimulia kila kitu🤣🤣🤣 Labda salamu za kutoka freemason huko.....nilicheka sana Jana🤣
Unakumbuka wale vijana wa YouTube walioandikaga Mwendazake atoroka freemason na kusimulia kila kitu🤣🤣🤣 Labda salamu za kutoka freemason huko.....nilicheka sana Jana🤣