Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nawakumbusha tu, tusisahau mambo muhimu yanayoendelea nchini, ripoti ya CAG, wamekuja na mpya nyingine ya mafao ya wenza wa viongozi, amkeni wananchi wanategema kufanya maamuzi kutokana na tunavyowalisha!Nyuki wa mama mpo?
Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu.
Mioyo haijandaganyi jamani, utafurukuta wee lakini mwisho wa siku dhamira yako itajitokeza tu siku siku moja. Mwamba huyu hapa
Nawakumbusha tu, tusisahau mambo muhimu yanayoendelea nchini, ripoti ya CAG, wamekuja na mpya nyingine ya mafao ya wenza wa viongozi, amkeni wananchi wanategema kufanya maamuzi kutokana na tunavyowalisha!
Sent using Jamii Forums mobile app