Salamu za upendo zimetolewa kwa wananchi kutoka kwa Magufuli badala ya Rais Samia!

Nawakumbusha tu, tusisahau mambo muhimu yanayoendelea nchini, ripoti ya CAG, wamekuja na mpya nyingine ya mafao ya wenza wa viongozi, amkeni wananchi wanategema kufanya maamuzi kutokana na tunavyowalisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi hayajifichi. Rais wetu Magufuli pokea salamu za upendo kutoka kwa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…