Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Mimi kwenye deni nina 22 mil. Ila nna kibanda changu na viwanja viwili kimoja kina pagala na usafiru wa pikipiki na kula 314,000 tu
 
Duh. Mkuu utakuwa unafanya kazi sehemu nzito nzito yenye Ulaji. Hongera mkuu. Japo nimetamani kujua ni Taasisi gani. Ila ndio hivyo unaweza usitaje jina tena.
 
Hili jamaa sijui likoje yaani TGS G iwe pungufu hata kwa yule wa TGS D? Siyo litumishi la umma hili!
Wewe mbona mgumu kuelewa? Amesema mshahara wake ni TGS G, baada ya makato yooote anabaki na 500k, sasa usichoelewa ni nini hapo?
 
Matusi ya nini sasa? Ni typing error tu ni TGS . Inaonekana una stress mno ndugu. Pole sana!
Siwezi kuwa na stress hata siku moja! Huku ninakofanyia tulishapigwa misasa ya kufa mtu kuhusu stress management! 😁😁😁😂😂😂
 
Wote hatuwezi kua madalali,division of Labour
 
kwa makato hayo hakuna benk inakopesha pesa hiyo hayo ni madhara ya ku top up.nampa pole asubiri deni litaisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…