Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

halafu tutaacha ya msingi tutagombana na kutukanana kwa malipo badala ya kuhojiana who did the murder attempt,who instructed them and where are the devils?tusiwe kama kuku waliokatwa vichwa!
 
Kuna baadhi ya viongozi huwa natamani nikutanenao niwalabue kelbu.Hivi Ndugai hoja ilkua ni CCM kugharamia au Serikali na bunge kugharamia??Ila hoja ya msingi ni nani kahusika na tukio na serikali na bunge linalichukulia vipi hili tukio.
 
Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji.
.mkuu wake keshamsifia Kwa hiyo kila linalofanyika hakuna atakae msumbua. Yani wapinzani anaona ni kama sisimizi.

Wanyoosheee..
Mapambano yanaendelea.

Mpumalanga
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.

Laughable chama cha upinzani Tanzania kutokuwa na hela? Kwani mliamua kumminia Lissu risasi ili kuona kama chama chake kina hela? Sio tu kwamba vyama vya upinzani havina hela, hawaruhusiwi hata kukutana. maCCM yamehodhi kila kitu.
 
Kwani huyo mbunge wa CCM alifanya hayo yote kwa Lissu kwa niaba ya serikali? Kwani kuna mahali ambapo Chadema imewatuhumu CCM na wabunge wake? Malalamiko ya Chadema ni kwa Ndugai na serikali na siyo wabunge wa CCM. Mbona wabunge bila kujali itikadi zao walimchangia Lissu. Ndugai ajibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na siyo kujibanza kwa huyu mbunge wa CCM. Basi aseme kama huyo mbunge wa CCM alifanya kwa niaba yake.
 
Halafu huyo mbunge anasema wazi kwamba malipo yamefanywa na Chadema, yeye alifanya tu kusaidia upatikanaji wa ndege.
 
Hivi nikikopa kwa mtu hela nikajenga nyumba hapo nakuwa nimejengewa nyumba wakati mkopo nimemrudishia? Serikali hukopa fedha uingereza kusomesha watoto wetu. Mbona sasa kila siku mnasema serikali inakarimia elimu bure?
 
Ahsante Mh Salim Hassan kwa kukata mzizi huu wa fitina!
Sasa ndio watanzania tuone na tujue aina ya viongozi tulio nao ktk mihili mikubwa na muhimu kama bunge!
This is very pathetic!
Kulikua na sababu gani ya kuutangazia umma habari za nani au gharama za kugharamikia usafiri wa maskini Lissu wakati hali yake yenyewe bado tunaiombea Mungu.Kama bunge halikugharamikia,basi Mungu angetumia tu njia nyingine kama alivyo mnusuru kwa hao maharamia.
Ona sasa aibu kwenye chombo chetu tukufu!
Sasa kuna hata sababu ya kuanza kuwa na wasiswasi na sharia zinazo simamiwa na huyu mtu!
 
Lengo la spika kusema yote hayo hasa ni nini? Ukimsaidia mtu ukaanza kumsimanga afadhali usingemsaidia. Halafu huyo mbunge alifanya ubinadamu kama yeye. hakufanya kwa niaba ya Ndugai, sasa Ndugai kinachomuuma ni nini kwa Lissu kusadiwa wakati si yeye aliyetoa huo udhamini?
 
Hayo yalikuwa ni mapatano ya viongozi wa Chadema na huyo mbunge. Ndugai kinachomuuma ni nini? Au alitaka huyo mbunge kwa vile ni wa CCM asitoe huo udhamini kwa Lissu? Ili iweje?
 
Mambo haya yalifanyika vizuri tu kuokoa maisha ya mbunge ktk hali ya dharura na panic za kila aina kutokana na taharuki ya tukio lenyewe. Hakuna itikadi ktk mambo ya aina hii

Hizi kiki za kina Msigwa zinatokana na nini?
 
Nape na Bashe wamelalamikia usalama wao, je, Ndugai kafanya nini kuhakikisha usalama wa wabunge wake? Au anasubiri nao hao yawakute ya Lissu ili aje aendelee kutupiana vijembe na wabunge wake? Ndugai timiza wajibu wako
 
Hivi ishu kubwa ni Nani kalipia au Nani kampiga risasi?
 
Unamaanisha nini kusema mgogo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…