ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Peleka kwa Ndugai halafu mwende polisi.Ha! Ha! Mbowe kashawapiga CHADEMA mkwanja, nimeshangaa Mbowe kuwa karibu kumuuguza Lissu kumbe kuna faida anapata. Risiti alizotoa Msigwa zimeandikwa Mbowe badala ya CHADEMA.
Atajulia wapi hayo? kazoea mipasho na udakukaka mambo ya biashara huyajui, inawezekana mbunge huyu ana credit facility na hiyo kampuni na dhamana ilikuwa kwake, hivyo kama chadema wasingelipa, basi ile kampuni ingemfata huyu mbunge na kumuamuru alipe, hivyo kuokoa roho ya lissu aliona adhamini yeye then baadae chadema wakalipe, nilivyoelewa mie, ni mtazamo wangu tu
Unajua maana ya kudhamini? Nakushauri rudi shule ulizo soma uwaambie wakurudishie pesa yako ya Ada make huna ulicho jifunzakwa hiyo chama kiliazimwa fedha hizo, basi spika yupo sawa na msigwa yupo sawa. Nyakati ndo tofauti tu
Wewe kweli msukuma feki! Kwenye hicho alichoandika unaona "TSh"????Ukiwa ccm lazima uwe zezeta kiasi hicho au hujui $ 9000 Ni saws na Tsh 19575000 au ujinga tu umejaa katika kichwa chako
sio kuwa CCM yaani hapo ni swala la umasikiniUkiwa ccm lazima uwe zezeta kiasi hicho au hujui $ 9000 Ni saws na Tsh 19575000 au ujinga tu umejaa katika kichwa chako
Unashangaa chama.kukosa Mil 18 wakati wa tukio la ghafla mchana na kitabu cha cheque kiko Dar, lakini hushangai CCM.kukosa pesa.za uchaguzi wa chama uliopangwa ndani ya miaka mitano! Hushangai kwa nini viongozi wanasafiri nje ya nchi kwa matibabu kwa kujuwa kuwa hospitali zetu ni mbovu wakati wanatwambia huduama za afya ni nzuri. Hishangai watoto wa mawaziri wanasoma private schools na shule za serikali hazina madesk. Hushangai watu wanashindwa kulipwa haki zao za mafao mpaka wanaaga dunia ref.EAC. Na hushangai spika kukabidhiwa fimbo wakati anayo historia ya kujuwa kuitumia kama silaha!Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Huyu ndiye mcha mungu Wa kweli,husaidia wagonjwa sii yule jamaa Wa mipasho bungeni mpiga rungu wagombea wenzakeMbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema CHADEMA ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. CHADEMA wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588145
Kauli hii imekuja baada ya Spika kusema Salim Hassan ndiye kalipia Ndege iliyoMbeba Lissu.
Habari zaidi soma=>Spika Ndugai: Ndege ya Lissu ilikodiwa na Mbunge wa CCM
Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA
Turky awe makini kuanzia sasa,usishangae akaanza kufatiliwa biashara zake chuki chuki tuuMbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema CHADEMA ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. CHADEMA wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588145
Kauli hii imekuja baada ya Spika kusema Salim Hassan ndiye kalipia Ndege iliyoMbeba Lissu.
Habari zaidi soma=>Spika Ndugai: Ndege ya Lissu ilikodiwa na Mbunge wa CCM
Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA
Hata kama wanazo usiku ule wangezitoaje wakati mgonjwa yuko Dodoma, bank iko Dar?Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Baada ya kuuzwa, muhimili sasa umekuwa wa malumbano ya "kishambenga". Kama kawaida yao wale waliyo wengi wanashangilia.Huyu muheshimiwa spika naona toka atoke matibabu India hajawa sawa hata kidogo sijui maradhi hayajamtoka bado.
Hoja?Huyo mbunge wa CCM angekataa kuwadhamini hawa vizabizabina. Sasa wameamua kumpeleka Lisu India baada ya kutumbua mamilioni kadhaa huko Nairobi.
mkuu ukumsikiliza spika vizuri alisema mhesimiwa turky alilipia ndege kwa makubaliano ya kurudishiwa baadae. Video ipo youtube mkuu msikilize vizuri, japo mimi sipendi chama tawala spika leo kaongea kwa busara sana amekosea alipomalizia kwa kusema arusha deserve better.