Ndivyo atakavyo chattleman.Hii nchi inavyoendeshwa ni balaa tupu! hakika kuna mgawanyiko mkubwa sana bado kidogo tutagawana vipande
Kumbe yeye ndiye aliyewadhamini halafu CHADEMA wakatoa fedha tasilimu,moyo huu ndio wa kiutu hata fedha tasilimu angekuwa nazo karibu angeweza kulipa.Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema CHADEMA ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. CHADEMA wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
Ukitaka kuelimishwa omba, usijifanye wajua.Na kama wewe ni mwerevu utang'amua kuwa CHADEMA wameandika hiyo 'INVOICE' (siyo receipt ya malipo) leo mchana baada ya Spika kuwaanika, vinginevyo hiyo bill ingekuwa kama 'mkopo' toka kwa Mbowe. Angalia hata kwenye invoive jina lililoandikwa na Mhe. Mbowe (MP) na siyo CHADEMA, na kwa kupaniki wamekosea na kuandika amount mbili tofauti.
Wale walio wengi ndo wanazidisha tatizo lake, kwa kumshangilia.Ndugai afungwe kamba kwa nguvu apelekwe hospitalini Milembe.
Ndugai kaumbuka..siku hizi anajikomba sana kwa SHIZONJE hadi anaboa
Usiwe na uwezo mdogo wa kufikiri ndugu. sidhani kama mlipaji ni tatizo, unaweza hata ukapewa ww ukalipe. Kumbuka ile ni Invoice na si receipt ya malipo. Pia hiyo $ 19,575,000 ni TSH after exchange rate ambayo i guess walifanyiwa sawana karibu 2150.Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
mkuu mbona unadanganya umma. ni wapi pameandikwa $19575?Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
naona ule ugonjwa wa kunyonyoka nywele kwa sasa unampanda kwenye ubongo..sio akili zake zile hakuwa vile yule mgogoyani imefika hatua Ndugai anampigia simu Pombe kumuomba majina ya wabunge wa kuteuliwa kama wajumbe wa kamati mbalimbali.
Ndugai kaumbuka..siku hizi anajikomba sana kwa SHIZONJE hadi anaboa
Mwenye ndege ungemlipa kiwanja?Mkuu ninayo zaidi kwa value ya kiwanja na Ukuta hadi kwenye lenter
Kwaiyo Mbowe na umaarufu wake kashindwa kudhaminiwa?cash money kwa muda ule chap chap si rahisi kupatikana, huyo alichukua dhamana yeye
alichukua dhamanaKaumbuka nini sasa wakati Salim Hassan amesema ni kweli alilipa USD 9,200 siku hiyo.
Kwa ulivyo mbumbumbu umeona imeandikwa usd?Wewe kweli msukuma feki! Kwenye hicho alichoandika unaona "TSh"????
Sent from Moto G
Kama hujaelewa ungeuliza ueleweshwe.huna hoja naona unamsemea ndugai kwamba alimaanisha udhamini ndio nineshindwa kukuelewa kama wewe ndio msemaji wake ama laa.
Kama kuna kitu kimenishangaza ni kukuta mbunge Wa CCM asiye mnafiki. Huyu Salim anaijua Dini na hata akisema aombewe Mungu anasikia maombi.Huyu Salim muungwana sana.