Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

Please upload the video
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.

Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.

Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.

Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.

Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
Wizara ikisifiwa kasifiwa Rais, wizara ikiboronga imeboronga yenyewe?? Hii Aina ya kufikiri kwenu kukoje?. Mleta mada kamtaja Rais kwasababu Co was wizara zote, ndio Nesi, Dr, mwlm,jaji kwahiyo usipenge kea mapungufu yakutokuelewa.
 
Unadhani tatizo lipo kwa nani? Ni kwanini ujinga huu ujitokeze baada ya hotuba ya Rais Magufuli?
Udhaifu uko kwa waziri kwa sababu yeye ndio katiba ya JMT imempa dhamana ya kusimamia afya za watanzania.
 
Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.

Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
Habari yeyote ikiletwa na mtu wa Bavicha 98% huwa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.

Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.

Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.

Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.


Ebu tuwekee ushauri wako hapa ili corona tusipate.. Nipe hata 3 ways ambazo Wizara ya Afya au WHO hawajazisema.

Muwe waaelewa, vita hii ni zaidi kwa kila mmoja wetu zaidi ya serikali tu, taarifa kila siku zinaendelea kutolewa namna ya kujikinga, hii ni vita yako na yangu, chukua hatua ww na waambie ndugu, jamaa na marafiki taarifa sahihi na njia asili za kutumia, maji ya moto yenye limao, tangawizi kali, kitunguu maji, kujivukiza na pia kukwepa vitu vyote vya baridi, hasa maji baridi, ice cream, soda ua bia baridi, AC baridi

Sasa sema ww serikali ifanye nn, maana unalaumu tu, toa solutions nn unajua vema kuliko serikali, being negative wakati huna solution bora yoyote ni akili ya mtu mjinga
 
Wanafanyakazi sio kwasababu hawaiogopi Corona, ni kwasababu ya umasikini wetu!! Hakuna anayetamani kutoka nje katika kipindi ambacho tunaona watu wanadondoka hovyo barabarani, na umasikini huu umeletwa na ccm akiwemo yeye hivyo Kama kutakuwa na free election mapema Sana anakaa
Asilimia 70 ya watanzania wanafanya kazi leo ili wale kesho na hao ndiyo huiweka CCM madarakani. Kwa maana hiyo basi JPM kushinda tena ni rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa 2015.
 
Kwa nini?

kama hujaelewa soma comments.
Nimegundua wana jf wengi hawafuatilii vyombo vya habari vya nje, ni hivi

Kuna watu mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wanahoji ukimya wa serikali ya Tanzania kutoa hali ya ugonjwa nchini,Mwandishi Famau akampigia waziri ummy sim mara nyingi simu inakatwa au haipokelewi

Kwa hiyo hata wao wanashangaa kwa nini serikali imekaa kimya lakini kule Zanzibar waziri anatoa takwimu na ili hali ni nchi moja

Wameongea mambo mengi sana mfano serikali kuzika watu halafu hawaambii familia kilichomuua mgonjwa,mmoja wa mfiwa ambaye shangazi yake amefia Arusha baada ya kusafiri kutoka Dar n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.

Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.

Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.

Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Acha uchonganishi wewe taarifa kama umeiona BBC kwanini usitaje chombo cha habari husika unamtaja mtu anaefanya kazi kwenye chombo hicho kana kwamba huyo mtu ndo chombo ili weje? achukiwe, aonekane adui, msaliti ama?
 
Waafrika tulipigana Vita nyingi Za kiafya na kisaiklogia,tulipuuzwa,kubaguliwa na kudharauliwa,kuseswa na hivyo kutuondolea/brainwashing asili yetu.
Kama tulishinda yote na kusahau mwenye enzi yote ataamua.
Cha msingi ni kuendelea kuzaana kwa wingi ili tusipotee kwa manufaa ya kizazi kijacho no matter what.
 
Back
Top Bottom