Ebu tuwekee ushauri wako hapa ili corona tusipate.. Nipe hata 3 ways ambazo Wizara ya Afya au WHO hawajazisema.
Muwe waaelewa, vita hii ni zaidi kwa kila mmoja wetu zaidi ya serikali tu, taarifa kila siku zinaendelea kutolewa namna ya kujikinga, hii ni vita yako na yangu, chukua hatua ww na waambie ndugu, jamaa na marafiki taarifa sahihi na njia asili za kutumia, maji ya moto yenye limao, tangawizi kali, kitunguu maji, kujivukiza na pia kukwepa vitu vyote vya baridi, hasa maji baridi, ice cream, soda ua bia baridi, AC baridi
Sasa sema ww serikali ifanye nn, maana unalaumu tu, toa solutions nn unajua vema kuliko serikali, being negative wakati huna solution bora yoyote ni akili ya mtu mjinga