Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Ujumbe gani?Hata ww mwenyewe ujumbe ulioupata unatosha....
Ujumbe gani?Hata ww mwenyewe ujumbe ulioupata unatosha....
ni misukule ya MATAGA pekee ndiyo inayoweza kuwaza kumlaumu Ummy badala ya real culprit. you know why? because ni brainless misukule!Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.
Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
Kikeke hajasema kitu......yeye alisikiliza kinachozungumzwa na ripota wa BBC aliyeko Dodoma kadhalika mwananchi wa Arusha aliyefiwa na shangazi yake na kuzikwa na serikali katika mazingira ya kutatanisha!alisemaje wengine tulikuwa nje ya luninga
Tupe link basi.Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Acha kukariri bwashee.ni misukule ya MATAGA pekee ndiyo inayoweza kuwaza kumlaumu Ummy badala ya real culprit. you know why? because ni brainless misukule!
Kweli sijaangalia. Ngonja nisubiri akiweka YouTube nitaangalia.Mpenzi hujaangalia kweli?
Naiomba video mkuuNamshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Kuna wakati ukisoma comment kama hizi unapata hasira hadi kutamani kumfahamu muhisika wa comment ili angalau ujiridhishe Kama anauelewa wa kutosha kuhusu wajibu wa serikali kwa wananchi?
Pengine yawezekana umri, elimu au hata mihangaiko ya hapa na pale inaweza kumpotezea umakini mtu anapojadili swala fulani.
Hayo yameelekezwa kwa wananchi na wizara na WHO, kwa hiyo huo ndo mwisho wa mapambano?
Mazingira yameandaliwa kuhudumia walioathirika? Wahudumu wa afya wana vifaa Kinga na vifaa tiba ambavyo viko recommended na WHO?
Kwa uwezo wako wa kufikiri, kuwaambia wananchi wanawe tu na kujifukiza ndo serikali imemaliza kazi yake?
Ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akikamatwa anajaribu kujinyonga anashitakiwa?
Serikali zote duniani kipaumbele kinatakiwa kuwa uhai wa wananchi kuliko kitu chochote. Je, katikati hili kuwaambia wananchi wanawe tu inatosha kuwahakikishia usalama wao dhidi ya Corona? Ni kweli serikali na watu wake wote wameona hii ndo njia mwafaka pekee?
Unavyosema watu washauri, una uhakika huo ushauri haujatolewa? Yamesemwa mangapi ambayo huenda yangetekelezwa tangu mapema madhara tunayopata tusingeyapata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe hongera kwa mawazo tegemezi.Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Inakusaidia nini. Huko duniani hata hawajui kiswahili wala nchi inaitwa Tanzania. Acha kupoteza mudaNamshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Hivi huyu mgonjwa wa akili unamjibu wa nini Kaka achana naye usipoteze muda wako dunia itamfunza adabuNikikutukana nitakuwa nimekosea?
yaani almradi tu upinge. jinga kabisa weweNani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Nikikutukana nitakuwa nimekosea?