frasher HT
Member
- Oct 13, 2011
- 22
- 9
Anza kubadili hapo kwa shemeji yako, uone moto wake kama na wewe utabaki.Wakati wa kubadili uongozi ndio huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kubadili hapo kwa shemeji yako, uone moto wake kama na wewe utabaki.Wakati wa kubadili uongozi ndio huu.
Ukiiona ni wazi utaamini mleta uzi anajaribu kumchonganisha kikeke na serikali. Mleta uzi kaweka mafuta kibao. Sijaona alichofanya kikeke mpaka uje na title ya ajabu.
Mimi nimesema kweli iliyo kweli wewe unaombea mzazi wangu apate corona, hakuna uhusiano.
By the way, hichi kinywaji kinaruhusiwa na hali ilivyo sasa? (Avatar)
Hata ww mwenyewe ujumbe ulioupata unatosha.Nani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Kuna wakati ukisoma comment kama hizi unapata hasira hadi kutamani kumfahamu muhisika wa comment ili angalau ujiridhishe Kama anauelewa wa kutosha kuhusu wajibu wa serikali kwa wananchi?Ebu tuwekee ushauri wako hapa ili corona tusipate.. Nipe hata 3 ways ambazo Wizara ya Afya au WHO hawajazisema.
Muwe waaelewa, vita hii ni zaidi kwa kila mmoja wetu zaidi ya serikali tu, taarifa kila siku zinaendelea kutolewa namna ya kujikinga, hii ni vita yako na yangu, chukua hatua ww na waambie ndugu, jamaa na marafiki taarifa sahihi na njia asili za kutumia, maji ya moto yenye limao, tangawizi kali, kitunguu maji, kujivukiza na pia kukwepa vitu vyote vya baridi, hasa maji baridi, ice cream, soda ua bia baridi, AC baridi
Sasa sema ww serikali ifanye nn, maana unalaumu tu, toa solutions nn unajua vema kuliko serikali, being negative wakati huna solution bora yoyote ni akili ya mtu mjinga
Alafu akamalizia 'Kibabe' Hii ni London😛😛😛😛😛😛😛😛😛Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Una akili timam kaka?Nani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
alisemaje wengine tulikuwa nje ya luningaNamshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Mtwange m2c wowote hautakuwa umekosea hata kdogo...Nikikutukana nitakuwa nimekosea?
Wasitupotezee muda, wao wakubaliane tu kwenye chama chao nani awe Rais wamalize miaka yao basi waondoke.Uchaguzi wa mwaka huu unapaswa kuwa
JPM vs The people
Acha ujinga. Nimefutailia ndiyoG Sam wewe ni mchonganishi Sana. Jitahidi kufuatilia habari vizuri kabla ya uchonganishi wa mtanzania mwenzio kwa Serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona una hasira manka?........umepima joto lakini!!!Hiyo wizara ipo chini ya ukoo wenu au ipo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Who is the head of United Republic of Tanzania?
Kama Baraza la Mitihani walikutunuku cheti kesho jitahd sana ukichome moto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi yako.Una akili timam kaka?