Naona kapongezwa sana! Nimekuwa anxious kujua what transpired! johnthebaptist kama uko karibu na Jiwe mwambie kuwa anaandika legacy moja mbaya sana. Usidhani wote ni wapumbavu, watu wana akili sana! Jana nimesikiliza hotuba ya Museveni for 3 or so hrs. Unaona kuwa kweli yuko concerned na corona usivyotegemea. Anajua hata basics za/biology immunology of the virus. Humdanganyi katu! Google hotuba yake utaisikia, you will be impressed. Utaona gap kubwa kati ya Jiwe na yeyeKikeke hajasema kitu......yeye alisikiliza kinachozungumzwa na ripota wa BBC aliyeko Dodoma kadhalika mwananchi wa Arusha aliyefiwa na shangazi yake na kuzikwa na serikali katika mazingira ya kutatanisha!
Usiniridhishe mm maana sihitaji. Kata povu lako kwanza?Dunia nzima inaiangalia, umeridhika?
Hahaha kamanda wiki nzima naona unapigana humuDunia nzima inaiangalia, umeridhika?
Akiangalia ata mama yako tu inatosha mkuuNani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Nyie wasifiaji mnaharibu nchiUmepost nini...? ..Embu ficha aibu yako
Ukifiwa wazazi wako wote utaacha kuropokaEbu tuwekee ushauri wako hapa ili corona tusipate.. Nipe hata 3 ways ambazo Wizara ya Afya au WHO hawajazisema.
Muwe waaelewa, vita hii ni zaidi kwa kila mmoja wetu zaidi ya serikali tu, taarifa kila siku zinaendelea kutolewa namna ya kujikinga, hii ni vita yako na yangu, chukua hatua ww na waambie ndugu, jamaa na marafiki taarifa sahihi na njia asili za kutumia, maji ya moto yenye limao, tangawizi kali, kitunguu maji, kujivukiza na pia kukwepa vitu vyote vya baridi, hasa maji baridi, ice cream, soda ua bia baridi, AC baridi
Sasa sema ww serikali ifanye nn, maana unalaumu tu, toa solutions nn unajua vema kuliko serikali, being negative wakati huna solution bora yoyote ni akili ya mtu mjinga
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni stomach deffenderYap, coz IMF, WHO, WORLD BANK, KIKEKE, WAZUNGU, KIGOGO, MANGE, SARUNGI na FATUMA KARUME ndio watapiga na kuhesabu kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Amepokea agizo kutoka juu kaa kimya ni mwendo wa kufa na kuzika usiku biashara kwishwa utu hakuna Tena kabisa huyu kiazi basi tuKwa nini?
kama hujaelewa soma comments.
Yy na alie muweka hapo wanafaaNimeshangaa na sijui kwanini anang'ang'ania ofisi. Si aondoke? Unakula mshahara juu ya damu za watanzania? Kweli?
Ambao wameteuliwa na nani?Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.
Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
Which people! Tanzanians?Uchaguzi wa mwaka huu unapaswa kuwa
JPM vs The people