Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Unavomwita Magonjwa Mtambuka "kaka" una hakika gani kama yeye ni mwanaume!!Una akili timam kaka?
Unavomwita Magonjwa Mtambuka "kaka" una hakika gani kama yeye ni mwanaume!!Una akili timam kaka?
Hahaha.. nani akikwambia BBC swahili ni local channel ya tz tu?Nani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Lama.hawajui kiswahili sisi tunajuaje kiingereza na ni lugha yao? Tena baadhi yetu tunatizama bbc world?Inakusaidia nini. Huko duniani hata hawajui kiswahili wala nchi inaitwa Tanzania. Acha kupoteza muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kujifukiza na ile dawa ya madagascar??
Ebu tuwekee ushauri wako hapa ili corona tusipate.. Nipe hata 3 ways ambazo Wizara ya Afya au WHO hawajazisema.
Muwe waaelewa, vita hii ni zaidi kwa kila mmoja wetu zaidi ya serikali tu, taarifa kila siku zinaendelea kutolewa namna ya kujikinga, hii ni vita yako na yangu, chukua hatua ww na waambie ndugu, jamaa na marafiki taarifa sahihi na njia asili za kutumia, maji ya moto yenye limao, tangawizi kali, kitunguu maji, kujivukiza na pia kukwepa vitu vyote vya baridi, hasa maji baridi, ice cream, soda ua bia baridi, AC baridi
Sasa sema ww serikali ifanye nn, maana unalaumu tu, toa solutions nn unajua vema kuliko serikali, being negative wakati huna solution bora yoyote ni akili ya mtu mjinga
Usipo angalia BBC,kuna kitu gani utaangalia.Nani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Ulivyo tahira unadhani bbc swahili ni nje ya bbc.Nani alikuambia "dunia nzima" inaangalia BBC Swahili?
Dunia nzima inaiangalia, umeridhika?Hahaha.. nani akikwambia BBC swahili ni local channel ya tz tu?...
Dunia nzima inaiangalia, umeridhika?
Dunia nzima inaiangalia, umeridhika?Usipo angalia BBC,kuna kitu gani utaangalia.
Nikuinamisha ndio utaelewa vizuri....una hakika gani kama yeye ni mwanaume!!
Hivi kwanini watu mnadhani dunia imekaa inasubiri matatizo ya Tanzania yatumwe kwao wasuluhishe? Mataifa makubwa yamewekeza nguvu na resource zao kwenye kupambana na Covid 19 na uchumi uliosimama na ni mjinga pekee anayedhani huu ni muda wa kuomba msaada. Kuna hatari kubwa kwa watawala wa mabavu kuongeza nguvu zao na kunyamazisha wakosoaji wao kupitia kigezo cha kupambana na huu mlipuko wa Corona. Wanasiasa na wanaharakati wema waekeze kwenye kutoa elimu ya siasa na kujitambua kwa wananchi kama wanataka matokeo chanya sababu siyo siri tena hili taifa lina wananchi wanaohitaji kujua haki zao na umuhimu wa mchango wao kwenye kulinda na kutunza hili taifa. Watanzania siyo wajinga wanahitaji kuongezewa maarifa tu.Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Hashindi hata kwa ndumba!
Blaza umechungulia mbali aiseeUnadhani tatizo lipo kwa nani? Ni kwanini ujinga huu ujitokeze baada ya hotuba ya Rais Magufuli?
Kama waziri ni dhaifu na aliye mteua naye ni dhaifu maana asiye dhaifu hawezi teua dhaifu.Udhaifu uko kwa waziri kwa sababu yeye ndio katiba ya JMT imempa dhamana ya kusimamia afya za watanzania.
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.
Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
Wabongo bana,ushaharibu kibarua cha kikeke.Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.