Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

Kwa akili yake inavyomtuma anaelewa dunia yote wanasikiliza BBC na wanaelewa kiswahili. Kama ana hamu saana ya kujifungia ndani kwake si ajifungie tu kwani mpaka aamuriwe na serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hi nchi ina viraza wengi yani hata hujui lockdown maana yake nini

Serikali kama haijatangaza lockdown wewe ukijiamulia kukaa nyumbani maana yake wewe ni mtoro kazini mwajili wako atakufukuza kazi na mshahara hutopata

Na ndio maana kabla ya lockdown kunaweza kukawa na kamkutano kadogo kati ya waajili na serikali

By the way usihofu kwa Tanzania lockdown haiwezekani tena tumesha chelewa itakuwa haina faida yoyote

Kwa Hiyo nyinyi viraza endeleeni tu kusifia ujinga uliopita, uliopo na ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.

Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
Kwani nchi hii kuna wizara hata moja inayofanya kazi itakikanavyo? Au ni kujaribu kupendeza kwa bwana mkubwa kila siku
 
Stupid, pumbaf, ww solution yako kuhusu Covid-19 ni ipi? Toa hapa tuone, arrogant, upuuzi mtupu umeandika, solution hata moja huna, bastard, umeona Tz pekee ndio Covid inaua zaidi ya nchi zingine? Una data za nchi zingine au hujui kitu, hizo nchi zingine zina kila kitu ila vifo ndio vimezidi, wana vifaa, fedha, hosp za kisasa, utaalamu wa kutosha, ww hata solution moja huna, una bweka bweka huku, stupid, ndio maana nasema watu stupid kama ww narudi stupid hawana hata single solution kazi kulaumu tu. Stupid kabisa

Coronavirus Update (Live): 3,118,590 Cases and 216,209 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer

Ahurumiwe aliyepata uchungu wakati wa kukuzaa na kwa kukulipia ada ya kusoma kwa level yoyote uliyofikia
 
Uchaguzi wa mwaka huu unapaswa kuwa
JPM vs The people
2015 hata kwa bahati mbaya tu tiketi angepewa BM tu, maana baba mpaka sasa kafeli big time, kwenye masuala ya umoja wa kitaifa, na ushirikiano wa kimataifa ndio sifuri kabisaaaaa.











kush and Wisdom
 
Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.

Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!

Waziri wa afya wa Tanganyika !?
 
Back
Top Bottom