SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Shalom Wana WA Mungu alie hai
Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio

Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka

Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa

Siohaba kukuomba jitahidi usali sana jirpushe na maovu ya DUNIA hii

Hivi naandika na misiba miwili

1.kijana anaitwa enock siku ya juzi alikuja SEHEMU wanauza kitimoto akanunua tukakaa nae sana

Siku ya Jana akaelekea rainbow beach kuvua...ameishia huko majini

Na Leo wanamwaga

N majuzi tu nilikuwa na mamayetu MMOJA pale kmr alituasa sana haya naandika muwe makini sana siku mtaona chache n nyingi sana

Jana kalala Leo asbh hayupo na sisi Tena DUNIAN

Naaga mbezi NAELEKEA kmr

N maombi Yangu kwa Mungu adui WA Mautii asikuotee kabisa na uuonee MWAKA 2025
 
Hizi sikukuu za kipagani zina shida sehemu mkubali mkatae ukweli utabaki pale pale
 
Usiogope sana ;kufa utakufa tuu mkuu,tuzidi kuishi kwa utakatifu
 
Kwa nini watu mnaogopa kufa ilhali mnaamini mbinguni kuna maisha mazuri kuliko hapa duniani?
 
Back
Top Bottom