Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #61
Nenda kagombee ushindane naye uone namna atakavyo kugaragaza kwenye sanduku la kura.1:Amezuia ajira kwa mtu mwingine, wakati yeye anaendelea kufaidi masurufu ya mume wake, na pia ya "MWENZA WA RAIS"
2:Amepunguza mzunguko wa fedha, ambazo zingetumiwa kutoka kwa m'bunge mwingine tofauti na yeye, kwani yeye karibia kila kitu analipiwa na Serikali!
Endelea kuweweseka na kupiga porojo zako wakati Mheshimiwa akiendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya wapiga kura.Huyu bungeni amekuja kupiga umbeya, hakuna analofanya....Elimu hana kama huyo mumewe. Eti hadi uchoke? Wananchi gani wamesema? Tupe ushahidi.......Kama ni kura halali utashindwa vibaya, lakini kwa vile mumeo yupo karibu na Samia, na kwamba yeye ndiye anayemuongoza Samia, yaani ni defacto President, ubunge utaupata bila shida.
Acha bangi dogoAna tamaa kama ya chawa Lucas Mwashambwa
Hii ni mada kwa wenye akili Timamu na siyo machiziHuyu mama anatamaa kupita kiasi hafai kwenye jamii
inaonekana hao wananchi hawajielewiWanamchimnga wamempa kibali na nafasi ya kudumu mpaka achoke mwenyewe kuwaongoza na kuomba kupumzika. Napo inaonyesha watamlazimisha aendelee kuwaongoza.
Kuongoza na uongozi ni akili na siyo umri. Ni suala la hekima ,busara ,maono , uzalendo, uchapakazi na ubunifu.uongozi siyo kubeba nzege au kunyanyua vyuma.
Kwani Trump ana miaka mingapi?So wewe ni wale wakina museven au sio
Kwani Trump ana miaka mingapi?
Jibu swali acha ujinga wako hapa weweUjajibu swali, wewe ni muumini wa aina hiyo?
Usitoe mifano ya inchi zilizonyooka, mbona mambo ya ushoga hamtaki mifano ya US?
Mzee aliahidi shule, barabara, maji, hospitali na shule... Miaka 20 baadaye bado ahadi zile zile,, na tena wanampa wa kudumu... The United Republic of Misukule, naungana na yeye mama aendelee tu kula hakuna baya..Wanamchimnga wamempa kibali na nafasi ya kudumu mpaka achoke mwenyewe kuwaongoza na kuomba kupumzika. Napo inaonyesha watamlazimisha aendelee kuwaongoza.
Ameenda bungeni kupoteza muda, kachoka kukaa nyumbani.Kutoka kuwa 1St lady hadi kuwa mgonga Meza, hata km ulafi wa madaraka,
Inashangaza kwa kweli. Lol
Jibu swali acha ujinga wako hapa wewe
Ridhwani atakufanya mke mdogo usiwe na wasiwasi.Acha bangi dogo
Kwani wewe hufahamu ya kuwa hata idadi ya watu inaongezeka kila mwaka? Kwa hiyo unataka matundu ya vyoo pamoja na vyumba vya madarasa vibakie vilevile wakati idadi ya wanafunzi inaongezeka kila mwaka?Mzee aliahidi shule, barabara, maji, hospitali na shule... Miaka 20 baadaye bado ahadi zile zile,, na tena wanampa wa kudumu... The United Republic of Misukule, naungana na yeye mama aendelee tu kula hakuna baya..
Na wewe hamia kwangu kunipongeza kwa uchapakazi wangu katika kilimo.Anza wewe kujibu nilichookuliza
So ni sawa hata mkuchika kugombea newala
Ulianza na makonda, ukasifiaaaaaaa
Ukaja kafulila ukasifiaaaaaaaa
Now umeingia familia ya kikwete
Hahaha, ulianza na Ridhiwani Now umeamia kwa mama Salma π€£
Ndo utajua hujui,Unafikiri hata Machizi wanakuwa Maraisi ππ
Ila sitokuacha , kuna kazi nyingi za bustani pale Ikulu, nitakuafanya uwe Mnilikulu ,kwa maana ikulu zote zitakua chini yako hapo vipi ,ila ukileta uchawa kwangu nakufukuza ndani ya masaa 3Unafikiri hata Machizi wanakuwa Maraisi ππ
Na wewe hamia kwangu kunipongeza kwa uchapakazi wangu katika kilimo.
Kumbe mambo ya Marekani mnayapenda mpendeni na Tume huru ya USAKwani Hiraly Clinton Mke wa Bill Clinton alikuwa ni Nani baada ya mume wake Kumaliza muda wake madarakani