PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu Mwashamba ni haki yako kama mwana ccm mtiifu kuchukua fomu ya Ubunge au Udiwani changamkia fursa usiwe chawa wa muda wote.
 
Kwani wewe hufahamu ya kuwa hata idadi ya watu inaongezeka kila mwaka? Kwa hiyo unataka matundu ya vyoo pamoja na vyumba vya madarasa vibakie vilevile wakati idadi ya wanafunzi inaongezeka kila mwaka?

Kwahiyo hatuna haja ya SENSA maana misukule hainaga idadi maalum.
 
Baiskeli umepata?
 
Hata mwalimu Nyerere aliombwa na wananchi wa Taifa hili asing'atuke lakini kwa hekima zake hakuwakubalia.Angejitadhimini na kuwachia wengine ni ushauri tu
 
Hata mwalimu Nyerere aliombwa na wananchi wa Taifa hili asing'atuke lakini kwa hekima zake hakuwakubalia.Angejitadhimini na kuwachia wengine ni ushauri tu
Je alikuwa ameongoza Taifa letu kwa Miaka mingapi?
 
Wananchi wa mchinga
Wananchi wa Mchinga wanaojitambua na wanajua ni nani anafaa kuwatumikia na mwenye uchungu na Maisha yao. Ndio maana wamempa kibali na nafasi Mama Salma Kikwete ya kuendelea kuwaongoza mpaka achoke mwenyewe. Kama una ubavu nenda ukachukue Fomu ushindane naye uone utakavyo dondokea pua lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…