Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini


Bora hiyo utapambana utapata wateja wapya

Kwenye Vipodoz wanachomeana stoo zinasafishwa na mamlaka

Unaanza upya
 
Ngada haihusiki hapa?
 
Jamaa alidhani yeye ni jeuri kumbe avumae papa baharini kumbe wengine wapoo...! huyu alikuwa na vigogo wengi na connection nao sema akagusaa pa motooo
 
Ila tuacheni utani kodi TRA kubwa sana bila ujanja janja hakuna kutoboa.
Na hili ndiyo tatizo kubwa, kuna siku nimekuta vitenge pale Tunduma vinauzwa bei chee sana nikashangaa na kuuliza ndiyo nikaambiwa Zambia kodi iko chini, kama ilivyo kwenye mafuta ya magari. Yaani kuna wauza vitenge wanaweza kwenda Zambia kununua mzigo na kuuleta kwetu kuuza. Angalia kwa mfano ushuru wa magari, yaani ushuru unazidi bei ya kununua hilo gari.
 
Possibly Kuna msururu wa vigogo aliwaweka mifukoni.
->hii ni weakness ya watendaji, alipie mzigo wake kihalali na inavyostahili tusonge mbele under spesho monitoring!
Niwapongeze tra kwa kazi hii maana nchi inahitaji kodi ili kufanikisha yale yote ambayo yanatarajiwa. Hii ni haua nzuri kwa mamlaka na hii itafanya wengine waogope mchezo huu.nadhani kila mtu akilipa kodi kiukweli namatumaini kiwango cha kodi kitashuka sababu tunapenda kwepa lakini mwisho wa siku maendeleo ya nchi yetu yataletwa na sisi wenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…