Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Natamani niseme kwa jina la JMT, juu ya uhuru wa mitandaoni, sasa basi.

Wizi wa namna hii, UKEMEWE tena kwa nguvu. Ikimpendeza Raisat Samia afanye maamuzi magumu.

Hata kama ni kumwajibisha Bashungwa na Katibu Mkuu wake. Walaghai wanaibuka na kila uongo wa habari ili tusome uongo, lakini wako wameongoza dola mifukoni. Waziri wa shetia haoni hilo.

Umakonda una mapungufu yake, lakini una pia MAZURI YAKE. Unafikiri mateja Makonda asingethubutu, Leo vijana wangekuaje?

China hii Leo inayompiku mmarikani kwa kila hali, haikuwa na mchezo upande wa Malezi ya utu wa watu wao. Tambua kwamba Vyombo vya habari ndiyo SHULE ya WATU WAKO Samia Mama yetu Mpendwa kwa kuwajengea fikra, mtazamo, utambuzi, muelekeo, ilimu, uoni, ubunifu, marejeo, mabadiliko n.k.

Hili sio jambo LA kuchekeana, ikiwa tu wa kweli wa nia, maneno na matendo.

MATENDO, MATENDO Mama yetu Raisat Samia, ndiyo Mtangulizi wako hayati Magufuli alizamia. Hivi kweli, mtu ili auze habari, ana danganya kimtandaoni, je huyo si mwizi? Mh Bashungwa, unashindwa kuwalundika magereza wezi hawa ambao ushahidi uko live. Inahitaji kweli hadi Ikulu ijitetee! Naibu Spika mko wapi? Hii ni nchi yetu. Muda wakukaa kwenye nafasi za uongozi kama ajira, sasa basi. Tunautaka uzalendo. Tunataka nchi yetu taifa la USWAHILI linyanyuke kiutambuzi, TUJITAMBUE. Itawezekanaje tujitambue ikiwa Vyombo vya habari ni mamluki majambazi, maharamia mabaradhuli makuu?

Makamu wa Rais yupo anangojea kutumwa na Rais. No!

Tunataka tuwe kama Korea, japani, dubai, Singapore n.k; hii ni kazi yako mpendwa MAKAMU. UJASUSI MZURI, UIBE UTAALAMU, TEKELINALOKUJIA UIBE, TAIFA LA USWAHILI LIKWAMUKE. Unayo majeshi Tisa. Ya nini hayo kama sio miradi ya wazungu? JWTZ limekuwa jeshi LA ulinzi kwa miaka mingi tu. Makamu wa Rais! Tuambie linalinda nini, ili hali hata kijiti cha kuchokonolea nyama kwenye meno tunaagiza kutokana nje?

Enyi wateuliwa na Rais, huko kwenye majukwaa kulonga hili au kile waachieni makatibu tarafa na madiwani. Ofisi zenu ni kubwa, fanyeni makubwa. Mitandaoni, makonda makonda! Kulikoni? Hata mimi simpendi Makonda. Kwani mimi ni mkewe?

Ila enyi WATEULIWA, igeni UMAKONDA (matendo, acheni umbea [UTENDAJI]). Magufuli kama mtu, mimi simtaki, simtaki kabisa. Mimi sikuwa make wake, wala mwanaye. LAKINI "UMAGUFULI" UTAENDELEA KUWA PAMBO LA MOYO WANGU!

Raisat Samia, maneno haya siyasemi tu, ila kwa uchungu mkubwa. Katika kila taifa, ili JAMII itoke katika hali duni kufikia hali yenye nafuu katika huu ulimwengu wa manyang'au -UMAGHARIBI, inahitaji UMAGUFULI {UMAO TSE TUNG}, UMAKONDA [UTENG SHIO PING]. U u sote hizo, vichwa kukatwa ndio kawaida. Hii ni KWA sababu u u zote hizo ni msemeno. Ukiweka mkono wako kwenye njia ya msemeno, unatarajia nini kama sio kukatwa?

Huu ndio UMAGUFULI unataka sisi Waswahili tuwe na chetu. Ikiwa wewe kwenye mfumo huu ulitaka uendelee na umagharibi ghushi, vichwa vikaanguka; wakulaumiwa ni wewe, nyie au SISI.

KWA NINI SOMO HATULIPATI:

1) Wairaqi walipo jaribu kujinafasi na kuwa na chao, wale wairaq wasioutaka USADAMU, wakatumiwa na maadui. Sadamu akanyongwa hadi kufanya.
Leo Iraq imechakaa.
2) Walibya, Gaddafi wakamuua wenyewe. Leo Walibya wanajuta. Gaddafi alitaka Bara letu "BARA LA WATU" tuwe na fedha yetu, mtandao wetu n.k. HAWAKUMUACHA. Je! Lumumba, Sankara, A. T Balewa wa Nigeria, sina nigeria wanasota hadi Leo. Je! Nyerere? Walianza kumuita Musa Nabii. Baada ya hapo walikuwa wamuite kichaa. Huku ya mbwa kichaa ni mini? Si kuawa? Basi walipopata mchepuko wa kwenda hispitali ulaya, basi ndio hivyo tena!
3) HAYATI MAGUFULI, miezi mitatu haijaisha. Yuko wapi? Magufuli yule ambaye sote kwa utashi wa kila mmoja, tulijitamba naye, KAONDOKA. A' Alituambia tuko vitani. Lakini ni nani alimsikia? Jemedari mkuu wa majeshi ya taifa letu USWAHILI kafa vitani, watu sote KIMYAAAA! Majeshi 9 -sungusungu, mgambo, magereza, JMT, polisi, ffu, jwtz, usalama wa taifa, sote ziiiiiiii. Mama Raisat Samia, watu namna hii ndio tuliokuzunguka. USIWE KAMA SISI!

TAIFA:
Taifa tunakuangalia wewe. Ukituangakia sisi, umekwisha.
1) Nyerere aliangalia juu, akitafuta MUELEKEO, akajenga barabara, mashule, mahosipitalu, vyuo, viwanda, majeshi n.k.
2) Mwinyi na mazuri aliyofanya, alimwangalia Nyerere, akaishia Mtanikumbuka, akasemwa, mkewe ndiye mshauri wake.
3) Mkapa na makubwa aliyofanya aliishia kuwauzia mamluki viwanda na mashirika bila kujipanga.
4) Kikwete na ukweli wake, wachache walinona; wakaishia kumuita dhaifu wale wale alio walinda
4) Magufuli na umagufuli AKAUKWAA MUELEKEO. MUNGU AWEKWE MBELE. Tukaona matunda kwa muda mfupi.
5) Samia, tayari mvua zimekuwa fupi. Ile kauli ya Mungu awe mbele imeachwa; njaa hiyo inakusogelea. Usiseme tu 'kwa jina LA JMT', LA. Bali sema KWA JINA LA "MOLA" WA JMT, KAZI IENDELEE.
Tambua Mama Malkia wa Uingereza ni mkuu wa dini ya taifa lao - uanglikani. Makel ni mkuu wa chama cha kikristo. Na wewe uwe mkuu wa dini ya taifa letu - UNYENYEKEVU:
Misingi hii mitatu ya maisha-
1) UAMIMIFU,
2) HESHIMA na
3) UTII,
Ndiyo dini yetu watu weusi, iliyoletwa na Manabii wa Mungu Nuhu, Ibrahimu, Musa, Yesu/Isa na Muhammad. Q42:13, ya kwamba ikulu isomamishwe bila Kufarakana. Ndio maana Uingereza sana vyama vingi. Lakini yeyote atalayeshinda, ataenda ikulu kusailiwa. Ikulu hatoki mtu pale.

HITIMISHO:
HUU UVHONGANISHI, SOJUI FULANI KAFA, AU KAVHOMWA NDANI, MIMI KAMA RAIA NAAGIZA VYOMBO HUSIKA, WAHALIFU HAO WAKAMATWE, NA KUTIWA HATIANI NA CHOMBO HUSIKA, SIO KUWAPELEKA MAHAKAMANI LA!

TAIFA LETU USWAHILI (ZANZIBAR, SHELISHELI, COMORO, KENYA, SUDANI KUSINI, UGANDA, RUANDA, BURUNDI, ZAIRE n.k) TUKO KWENYE TRANSITION. HAPA NO WAY, NI USAMIA TU -(kaanza na malezi).
Nonsense!

Umetupigia kelele na utopolo wako mpaka masikio yameziba!
 
Paulo alilipia makosa yake kwa kufanya Kazi ya Mungu kuliko mitume wote,ndie aliyefungua makanisa mengi Sana ulimwenguni.
At the end alikuja nae kuuwawa Ili kutimiza ile andiko la auwae kwa upanga sababu aliuwa Wakristo wengi sana alipokuwa akiitwa sauli.
Yohana mbatizaji na yeye aliuwawa kwa kukatwa kichwa yeye alimuua nani ili andiko litimie?
 
Nonsense!

Umetupigia kelele na utopolo wako mpaka masikio yameziba!
USAMIA:

Kwa Jina la MOLA wa JMU {Jamhuri ya Muungano ya Uswahili}, kelele tuendeleze huwenda waliotopoloka masikio yao yakazibuka, wasikie kitu.

1- KITU:

Hicho ambacho twatamani kifahamike, ni USAMIA {mfumo wa uongozi na utawala wa enzi hii ya Mama Raisat Samia}.

Ni kweli kwamba zote awamu tatu za wale watoto waliotumwa na Nyerere na Mwinyi kwenda kuleta ELIMU YA KUJENGA NCHI (Mkapa, Kikwete na Magufuli), waliongoza na kutawala kwa uhodari wao, Mungu wa kila mmoja wao alivyo muwezesha. He awamu hii, tunyamaze tu.

Hapana.

Kwa nini hapana?

Ni kwa sababu, mkoloni katujengea na kuturithisha mfumo wa utawala na uongozi ambao watu waliotayarishwa kisekyula (asio mjua Mungu wa pekee, wakusadikishwa na mjumbe anaye mkiri Mungu [UZIMA WA MILELE yh 3:17]), watu ambao wamependezeshwa na kunywesha umagharibi nyoyoni na vifuani mwao; ndio viongozi na watawala. Na wale ambao ni 99.9999%, ya jumla ya RAIA, hawana nafasi. Wako ni kuburuzwa tu. Na hivi sasa ni miaka 60 baada ya uhuru wa bendera, kazi ni kujenga na kubomoa. Nyerere alijenga. Viwanda, mashirika n.k; yakauzwa. Na vingine vikatelekezwa tu. Watu wanacho angalia ni ajira -pesa.

Awamu hii tusikubali. Hao hao wanasema bungeni, Mama Raisat Samia ana zote kadi ya manjano na nyekundu. A'a. Hiyo HAITOSHI. Awe na maamuzi MPIRA uchezewe KIWANJA KIPI? Ndio maana kabla ya kuchomoa kadi ya njano au nyekindu, watu walelewe UPYA, wadogo na wakubwa, waume na wanaweke. Wakoloni wametufanya kitu kibaya. Ingia nyavuni na ushushe na kupakia (download) semi za Lord Macauley, utajuta.

2) MALEZI:

Malezi ndio chachu ya Maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na jamii nzima. Raisat Samia ndio KAULI aliyoanzia (kikao na wazee wa dar) -usimamizi wa nchi yetu hii ambayo haina jina mbinguni.

a. JINA LA NCHI:

Jina la nchi huwezi kulitohoa kivile, bali linatokana na LUGHA ya wenyeji wake. Kwa mfano:
1) wachina wanakaa uchina, wanazungumza kichina.
2) waingereza wanazungumza kiingereza wanakaa uingereza.
3) wasukuma walikaa usukumani na walizungumza kisukuma.
4) wapare walikaa upareni na walizungumza kipare.
5) vivyo hivyo ni waganda, warusi, waitaliano n.k n.k; hiyo ndiyo silisila ya majina ya nchi na watu wake walivyo sajiliwa mbinguni na kufahamika kwamba Jina LA nchi linatokana na lugha ya watu hao. Haiyumkini basi UTOHOZI uliofanyika kupata Jina LA Tanzania, mbona viegezo havipo. Nchi inatwa Tanzania. Wakazi tunaitwa Watanzania. Mbona hatuna lugha ya Utanzania? Badala yake tunazungumza lugha safi, tamu na maarufu KISWAHILI. Heko Marais wetu, taifa letu ni LA WASWAHILI hivi sasa. Kwa hiyo nchi YETU ina Jina tukufu hadi mbinguni. Nalo ni USWAHILI.

b. USU:

Kwa ufasaha nchi yetu ina JINA -THE UNITED STATES OF USWAHILI (USU). Hii ni kwa sababu Tanganyika tu pekee, ni nchi iliyokuwa na mataifa (wazungu wakatuita makabila. Hapana ni mataifa) 120. Wazungu walipotuunganisha, ilikuwa watuite ni. UST -MUNGANO WA MAJIMBO YA TANGANYIKA. Bali Nyerere alipotutawala, akafanikiwa kutujengea lugha yetu ya KISWAHILI. Kwa hiyo kwa kuwa tunazungumza kiswahili sote na tumeingiliana sana, sisi ni WASWAHILI, hivyo nchi yetu it we USWAHILI.

Raisat Samia kasema ULEZI. Ni jukumu LA Mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, madiwani na matarafa, Kazi iwe IMEANZE. Lakini nami amestuka? Kila aliyepewa madaraka, anakuta mezani booklet yenye kumuonyesha majukumu bila wajibu wake. Hatumii akili tena.

c) TAZAMA:

Ona! Nchi yetu USWAHILI, sisi ni WASWAHILI na tunazungumza KISWAHILI. Hivi Ndugu Mama yetu Raisat Samia, ULEZI tunaanza.
nchi yako hii anza kuipa Jina;
USWAHILI, watu wako ni WASWAHILI, kwa sababu wanazungumza KISWAHILI. Na hapa ndipo yatazaliwa MAMBO:
a) UONGOZI wa nchi ya USWAHILI.
b) UTAWALA wa nchi ya USWAHILI
c) URAIS wa WATU wa nchi ya USWAHILI
d) URAIA wa nchi ya USWAHILI
e) MILA, DESTURI NA JADI za watu wa nchi ya USWAHILI
f) DINI ya NCHI ya USWAHILI
g) DINI ya WATU wa taifa LA USWAHILI.
h) NEMBO ya taifa LA USWAHILI
I) ITIKADI ya WASWAHILI
J) MIHIMILI ya nchi ya WASWAHILI
k) SERA ya Mungu wa WASWAHILI
l) ILANI YA UONGOZI YA MUNGU WA WASWAHILI
m) ILANI YA UTAWALA WA MUNGU TAIFA LA WASWAHILI
n) KALENDA YA UCHAGUZI iliyokuwepo tangu mbingu na ardhi kuumbwa Q9:36 ya taifa na watu wake.
o) NJIA ILIYOSAWA NA KUNYOOKA
p) KANUNI ZA TAIFA LA USWAHILI
q) KATIBA IHESHIMIWAYO YENYE TWO IN ONE
r) IMANI ya watu taifa LA USWAHILI.
s) TOBA
t) LILE NENO
U) KILE KILICHO MAARUFU.
v) DINI ya RAISAT IKULU
w) DINI ya IKULU
x) DINI YA BABA
y) DINI YA MAMA
z) DINI YA WATOTO.
 
Serikali haifanyi kazi kwa kuagizwa na chadema
Serikali ni nini? Hao chadema siyo watanzania? Kwamba makonda alipokuwa anafanya ujinga wake walikuwa mbinguni!?
Hovyo sana wewe uliyelaaniwa tangu tumbo mwa mamako
 
Sifikri kwamba majibu kama haya dugu Saidi, yana tufaa kwa ajili ya uchumi.na maendeleo yetu. Tunataka HOJA. Na kama mwenzio kateleza, pambanisha hoja zako na zake na sio kebehi na........ Oh!

Tumehujumiwa na Ukoloni na pia UKOLONI MAMBO LEO. Inahitaji AKILI ya ziada tufikie KUJITAMBUA, KUBADILIKA NA KUACHA MAZOEA.
 
Kuna kila dalili kuwa mshikaji anawasaidia kutoa mafaili mbali mbali kwa makubaliano kuwa hawatamshitaki kwa makosa yake.

Maana ukiangalia huyu jamaa alikuwa karibu sana na mzee. So my doubt zipo hapo.
 
Haki ikitendeka Sabaya ataachiwa mapema tu
Hujui kuwa sio tu itendeke Bali ionekane imetendeka???? Unaanzia wapi kumuachia muhuni yule aliyeamua kuingia mitaani na kuanza kupora watu mali zao akijiita tasca force???
 
Alikupora shs ngapi? Au kama kawaida watoto wa gaidi kushuhudia uongo wengine
Wewe acha kujitoa ufahamu hapa... ukiulizwa kati ya mbowe na sabaya nani gaidi unataka nani??? Akili zipo sawasawa mzee au uliondoka nazo yule aliyefyekwa na Covd hapo 17.3.2021?
Ulikuwa husikilizi ushahidi mahakamani?
Ati nawewe unaipenda nchi huku unatetea watu aliwahi kuunda serikali ndani ya serikali?????
 
Waulize polisi maana ya uagaidi
Hujui kusoma ??? Soma sheria ya ugaidi ya tz mzee? Police hajui hata kutafsir PGO mwongozo wa kazi yake ndo nimtegemee aniambie maana ya ugaidi kweli???
Rejea case ya rwakatare ndo kama alifungwa na mbowe nae ni gaidi.
Vinginevyo unajitia kidole matakoni mwenyewe Afu unanusa na kushangilia!
Akili ndogo sana
 
Refer mauaji ya Wangwe
Acha upumbavu wewe. Una refer mauji ya wangekuwa wakati Mangula kawekewa sumu juzi tu hapa?
Nimegundua wewe una akili ndogo sana mkuu! Mbona huja refer mauji ya korimba!?
 
Back
Top Bottom