Uchaguzi 2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

Hizi ndo unaita akili kweli? Shirika la Umeme siyo business oriented, ni service oriented. Kwa nini hukumpigia hata simu Mh. Mwalimu akakufafanulia alichosema kuliko kujidhalilisha hivi?
Kuna vitu vinaitwa "goods" na " services". Vyote viwili vinaweza kutumika katika kusababisha miamala( monetary transaction) ya faida ama hasara mara chache ( profit/loss). Ni kwa utaratibu huu biashara (businesses) ufanyika. TTCL wanauza services (huduma, mfano, bado, muda wa maongezi nakadhalika). Mangi anauza goods( mfano, spea za magari, sabuni, nakadhalika).

Baada ya kukupatia darasa hilo, objectively, sote tujitafakari kama kati yangu na wewe Mkuu tunakijua kweli kitu kinachoitwa akili?!

Karibu.
 
Ndio nchi sasa yaani nchi nyingi duniani zipo na uendeshaji wa aina hiyo ni mipango na mikakati madhubuti,wala sio jambo jipya tatizo mumedumazwa na siasa za maji tope za CCM,CCM hawana jipya wapo kulekule kwenye reli na ndege wakati dunia inahamia kwenye hyperloop.
 
Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
Hao watu binafsi watalipa kodi na wao watachukua faida wataenda kula na familia zao na biashara hizo zikiwa chini ya serikali kodi italipwa serikalini na faida itaingia serikalini kumuhudumia mwananchi. Kipi bora?





MAGUFULI4LIFE.
 
Mate yanawatoka wakiio a miradi ya JPM wanatafuta namna ya kuila.



MAGUFULI4LIFE.
 
Net solutions ilikuwa kampuni iliyoletwa na CCM . Chadema hawatafanya huo ujinga. Wao wataleta kampuni competent zenye uwezo na nitajitahidi uhakika
hebu niondolee huo upumbavu, hawahawa wajinga chadema ndio wafanye tofauti? hivi kichwani uko sawa kweli? hayo wanaotaka kuleta yalifanikiwa wapi? au mnataka kutufanya specimen za form six?
 
wapumbavu tu
 
 
Useme basi tujue na wewe upo huko juu ili tujue na sisi

Nina walakini na huko juu unakokusema kama sio mshenzi fulani unapigwa na jua pale simu 2000
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Hata mbeleko moja ya mbeleko yenu tsiaraei yafaa kubinafsishwa ili kuipa ufanisi na ushindani.
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Hawa jamaa ni wa kupima akili ! Hayati mkapa alijaribu ubinafsishaji matokeo yake tuliyaona ! Net group solution na Tanesco, Reliance na TRC...Major and strategic infrastructures and strategic businesses must remain in the hands of government! Washindwe !!!
 
Baki na maushenzi yako huko huko juu ! Sisi wa chini tunamuelewa Magufuli na tunayaona anayofanya.
 
Soma ulichoandika: β€œ...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa.”
private sector ya wapi hiyo unayosema?
in China 98% ya companies profitable ni private sector
America private and public ipo
India and South East Asia na Europe yote majority business is done by private sector
 
Hili genge la CDM sio salama sana wao wanachowaza n kujikomba kwa wenye fedha tu hakuna kingne apo
 
Upo juu wapi angani..acha porojo toa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…